certificate

  1. Iwepo sheria kuwalazimisha wafanyabiashara wote wenye turnover ya zaidi ya Tsh 400m kwa mwaka wawe na wahasibu angalau ngazi ya certificate.

    Hii ninashauri ili kupunguza tatizo la ajira na pia kusaidia kupunguza migogoro kati ya serikali na wafanyabiashara. Kuna kutokuelewana pakubwa kati ya serikali na wafanyabiashara kwenye hesabu zao. Mamlaka zinaona wafanyabiashara wanakwepa kodi huku nao wakiona mamlaka wanawaonea. Kupunguza...
  2. N

    Hivi NBAA huwa wanatoa cheti Cha atec 1?

    Habari Wana jukwaa naomba kuuliza hivi NBAA huwa wanatoa cheti Cha atec 1 Kwa maana Kuna nafasi za kazi zimetoka za msaidizi wa hesabu daraja la pili za MDA and LGA wanahitaji mtu mwenye atec 1 ya NBAA
  3. Anataka kusoma certificate ya tourism lakini ana D nne

    Wakuu kwema! Jamani nina mdogo wangu anataka kusoma ngazi ya cheti, sasa naomba mwenye kujua kwa mkoa wa arusha chuo gani pale anaweza akapata nafasi kulingana na ufaulu wake kama nilivyosema hapo juu. Naomba msaada wakuu kama kuna mdau anajua chochote basi anisaidie hapo mawazo. Nawasilisha.
  4. Kozi ya Architecture kwa ngazi ya Diploma au Certificate

    Habari wana JF. Naomba kujua vyuo vinavyofundisha kozi ya usanifu wa majengo (Architecture) kwa ngazi ya Diploma au Certificate. Natanguliza shukrani.
  5. Mbunge Wanu Hafidh Ameir apokea Certificate of Recognition ya kuhamasisha Utunzaji Bora wa Mazingira

    Wanu Hafidh Ameir, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (Zanzibar) Amepokea Cheti Maalum cha kutambua mchango wake wa kuhamasisha Utunzaji wa Mazingira katika Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 2024. Wanu Hafidh Ameir amepokea Cheti hicho...
  6. Courses za ngazi ya cheti (certificate)

    Wakuu habarini za muda huu, poleni na majukumu na ni matumaini yangu kuwa mko vizuri kabisa. Niende Moja kwa moja kwenye jambo langu, Naomba kuuliza ni course Gani ya certificate ambayo kijana akiisoma kiasi Fulani haitamchukua muda sana kupata kazi? Kijana amesoma Art subjects but alisoma pia...
  7. O

    Kuna ulazima wa kuanza Certificate kama unataka kusoma Diploma?

    Wakuu habari za majukumu. Naomba kuuliza kama Kuna ulazima wa kuanza na certificate kwa mtu mwenye matokeo ya o level Physics-C, Chemistry B na biology-B na anataka kusoma diploma in clinical medicine
  8. K

    Chuo gani cha Cha community Development kinatoa certificate online?

    Habarini za mchana wadau wa JF, Jamahaani naomba kujuzwa Kama Kuna chuo chochote cha maendeleo ya jamii kinachotoa certificate online? Mimi nimemaliza chuo cha maendeleo ya jamii mwaka 2013,lakini mpaka Sasa sijawahi kupata ajira yoyote,kwa hyo nimeona Bora nikasome certificate maana Mimi...
  9. M

    Madhara ya Vyuo Vikuu Kufundisha CERTIFICATE na DIPLOMA kwa Wanafunzi

    Habari ndugu wana JF, Leo nimependa kuzungumza nanyi mada kuhusu vyuo vikuu kufundisha ASTASHADA na STASHAHADA. ni ukweli usiopingika sera ya elimu inabidi kufanyiwa marekebisho kwasababu vyuo vikuu siku hizi zinachukua watoto wanaomaliza kidato cha nne (4) wengi wao chini ya miaka ya 18...
  10. UALIMU: Muongozo kwa vyuo vinavyotoa kozi ya Ualimu (Arts) kwa ngazi ya Certificate na Diploma

    Salaam Wakuu, Kidato cha nne mwaka 2021 Kijana alipata Division Two ya Arts. Hakwenda kabisa Advance kwa sababu za kiafya hivyo sasa ameamua kwenda chuo kusoma ualimu. Kijana anataka kusoma DUCE au Mwalimu Nyerere (MNMA). Msaada: Ni utaratibu gani hutumika kufanya maombi ngazi...
  11. Kwa matokeo haya anaweza kusoma Certificate in Nursing au kuchaguliwa advance?

    CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D' COMM - 'D'
  12. Chuo kinachotoa certificate in Biomedical engineering

    Kama kichwa cha mada kinavyoeleza,naombeni wanajukwaa mnifahamishe chuo gani kinatoa certificate ya hiyo course na fee structure imekaa je?. Asanteni
  13. U

    Certification of birth certificate

    Habari WanaJamvi,, hivi hizi affidavit of birth zinatakiwa kuwa certified.
  14. MSAADA: Utaratibu wa kupata Police Clearance Certificate (Criminal Record Check Certificate)

    Habari, Naomba kujua jinsi ya kupata police clearance certificate. Na je, inatuchukua siku ngapi au naweza kupata online? Msaada tafadhali.
  15. P

    Natafuta kazi kati ya hizi

    Wapendwa, Ukiwa 2mil unaweza anzisha biashara ya uwakala/miamala ya cm Na je inalipa ?? Nahitaji kufahamu faida na changamoto zake
  16. N

    Msaada: Certificate ya Clearing and forwarding inayotolewa TRA

    Habari Wakuu! Naulizia kuhusu hii certificate ya clearing and forwarding hii ya kupractise ya East Africa inayotolewa na chuo Cha TRA pale Mwenge. Nahitaji kuisoma kozi hiyo Ili niingie kwenye field ya kuagiza bidhaa au mizigo kutoka nje. Pia mtu aliyesoma hiyo kozi uwanja wake katika Ajira...
  17. HESLB; Uzinduzi wa Maombi ya Mkopo kwa Vyuo vya kati (Certificate & Diploma)

    Habarini Wakuu, Hatimaye Mama kaupiga mwingi tena. Kwa Maelezo zaidi pitia pdf mimi nitagusia Vipaumbele tu. 6.0 MAENEO NA PROGRAMU ZA KIPAUMBELE KATIKA UTOAJI WA MIKOPO 6.1 Maeneo ya Kipaumbele Mkopo utatolewa katika maeneo makuu sita yakiakisi vipaumbele vya Taifa kama ilivyoainishwa katika...
  18. Vyuo Ulaya au America vinavyotoa certificate kwa ada nafuu

    Ndugu zangu naomba mnisaidie majina ya vyuo ulaya au US vyenye ada nafuu kwa kozi za muda mfupi. Viwe kwenye European Union kwa ulaya kama Scandinavia etc. Nataka nipambane nikasome majuu.
  19. N

    Certificate verification number RITA

    Habari za mchana wakuu? Poleni na majukumu ya hapa na pale. Naombeni mwongozo jinsi ya kupata certificate verification namba baada ya cheti kuhakikiwa RITA. Nimehakiki tayari na nimeendelea na maombi ya mkopo ila sehemu ya demographics inataka verification number ambayo kwenye vyeti...
  20. Utaratibu wa kusajili chuo ngazi ya certificate

    Naomba msaada wa kufahamu utaratibu wa kuanzisha na kumiliki chuo kinachotoa certificates program. Pa kuanzia, unavyohitaji kuwa navyo, idadi ya waalimu na elimu yao na mamlaka zinazo husika na utaratibu wote. Shukran
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…