Kwa mara ya kwanza nilikidhi vigezo vya kupiga kura mwaka 2005, hata hivyo sikuwahi kupiga kura mpaka mwaka 2015 katika uchaguzi mkuu kulipovuma sana wimbi la mabadiliko, tangu wakati sijawahi kushiriki uchaguzi mwingine wowote tena baada ya kugundua kura yangu haibadilishi chochote. Hii...