ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM tunavyojimaliza wenyewe ndani kwa ndani!

    Nimefanya utafiti kwa mikoa sita haraka haraka kwa kusafiri mwenyewe na mikoa mingine 15 kwa kufanya mawasiliano ya simu. Jumla nimejitahidi kuwafikia na kuwasiliana na wadau takribani katika wilaya 57 ya mikoa hiyo na kugundua jambo moja baya sana kwa CCM. Uwezekano mkubwa asilimia zaidi ya...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Ukataji holela majina ya wagombea,waleta Vurugu za Kisiasa Moshi Mjini: Kikao cha Kamati ya Siasa ya Wilaya ya CCM yavunja kwa makusudi kanuni ya 14

    Katika hali ya kutatanisha iliyojitokeza mjini Moshi, kikao cha kamati ya siasa ya Wilaya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimezua maswali mengi kuhusu uwazi na uaminifu wa viongozi wa chama. Kanuni ya 14 ya chama, inayosisitiza umuhimu wa kuheshimiwa kwa vikao vya ndani na kutokutoa Siri za teuzi...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo Kigoma: Umaskini wa Watanzania haukuletwa na Mungu. Umeletwa na CCM

    Umaskini wa Watanzania haukuletwa na Mungu. Umeletwa na CCM. Leo akina mama wakienda kujifungua wanaambiwa lete beseni, lete wembe, lete mpira, lete sindano. Walitakiwa wakivikute hospitali.” Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: CCM inathamini zaidi tembo kuliko Raia, sasa waacheni wapigiwe kura na tembo

    CCM wameona wanyamapori wanamaana zaidi kuliko nyinyi Raia, hivi sasa ukiwapanga madaraja raia wa Tanzania nyinyi watu wa Tunduru ni daraja la nne. Ambapo daraja la kwanza ni wawekezaji wa nje, daraja la pili wawekezaji wa ndani, daraja la tatu ni tembo na daraja la nne ni nyinyi watu wa Tunduru...
  5. JamiiForums Tanzania Vijana muwe makini na wanaharakati wa msimu na wanasiasa maslahi mtaacha generation yenu katika hali mbaya, taifa litakufa play safe

    Salute to you all hustlers ..... Direct to the topic, Niongee na mtu ambaye kwao hamna DED, RCO, RC, NAIBU WAZIRI, WAZIRI , VICE - PRESIDENT n.k. Nimeanza Kwa kusema hivyo Kwa sababu wanaotoka kwenye familia hizo kiuhalisia hawawezi kunielewa ni sawa na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi hawawezi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Teuzi CCM Simiyu Zisiwe Biashara" – Wanachama Waonya Kamati ya Siasa

    Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Shemsa Mohamed, wametakiwa kutumia busara, uadilifu na uzalendo katika kufanya teuzi za awali kwa watia nia ya ubunge na udiwani, huku wakionya dhidi ya vitendo vya rushwa vinavyodaiwa kushamiri...
  7. JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa CCM kuiangamiza Tanzania: Kama sifa ya kuwa Waziri ni kuwa mbunge, Ilikuwaje Mawaziri wanaendelea wakati Bunge limevunjwa?

    Kwa sie tuliozaliwa zamani kidogo tulikuta mfumo mzuri sana uliokuwa unaliendesha hili Taifa. Mfumo huo ni kwamba, baada ya Bunge kuvunjwa, Wizara zote zilikuwa zinaongozwa na Makatibu Wakuu hadi baada ya Uchaguzi na baraza jipya la Mawaziri kutangazwa na kuapishwa. Pia Katibu Mkuu kiongozi...
  8. JamiiForums Tanzania Himaya ya Usultani inarudi Tanzania, hata wana CCM tunashangaa

    Siyo kila wazo la wapinzani ni baya. Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi. Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada. Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense. Viongozi waliopo sasa na waliopita...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini CCM iliwapunguziamamlaka ya kuchagua wagombea wanachama wake walio wengi?

    Nakumbuka mwaka 2015 kurudi nyuma wanachama wote wa CCM walikuwa wana haki ya kuchagua wagombea ubunge na udiwani, kuanzia mwaka 2020 ikawa wajumbe tu ndio wana haki ya kuchagua wagombea, Sasa mwaka 2025 nasikia wagombea wanachaguliwa kwanza kwenye ngazi ya mkoa ndipo wajumbe wanapewa kuchagua...
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtia nia CCM Meatu anavyogawa pesa kwa wajumbe, tumelalamika hatusikilizwi

    Huyo hapo kwenye video anaitwa Hamis Salum Hamis, ni mmoja wa watia nia kupitia CCM nafasi ya Ubunge kwenye jimbo la Meatu Mkoani Simiyu. Hapo yupo katika moja ya kijiji uko kata ya Makao, na yupo na Diwani wa kata hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu anaitwa Anthony...
  11. JamiiForums Tanzania CCM wamefanikiwa sana kutengeneza nidhamu ya uoga kwa wanachama wake, huwezi amini Kassim Majaliwa ndio amefikia Tamati kisiasa

    CCM imefanikiiwa mno kutengeneza nidhamu za uoga kwa wanachama wake. Hawawezi furukuta nje ya CCM na pia ndio maana CCM hawataki reform kumbe hizi reform zingewasaidia hata wao wenyewe. Kassim Majaliwa ndio mwisho wa siasa kama kungekuwa na reform angeweza pambana nje ya CCM ila ndio kama...
  12. JamiiForums Tanzania CCM mbona wanahangaika sana! Propaganda za kipuuzi kama, haziwezi kuimaliza nguvu CHADEMA ya Lissu labda angekuwa Mbowe

    Lissu anakubalika kama shujaa na mkombozi wa kweli acheni siasa za kiduanzi 👇
  13. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO GE2025 Rushwa na ubabe watawala uchujaji wa wagombea CCM Moshi Vijijini

    Mchakato wa uchujaji wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetawaliwa na tuhuma nzito za rushwa, upendeleo na ubabe wa viongozi, hali iliyopelekea sintofahamu kubwa na kuibua mjadala mkali miongoni mwa wanachama wa chama hicho. Kwa mujibu wa duru kutoka ndani...
  14. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Mkisusia uchaguzi CCM hawajali, wanachukua

    Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura na kuwaepuka wanaosema watasusia, akisema kususa hakutawasaidia, kwani CCM hawajali. Ameyasema hayo leo Julai 15 wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara.
  15. JamiiForums Tanzania Shida sio CCM shida ni Watanzania

    Habari Wakuu. Ukiwa makini utaelewa kwamba hapa Tanzania shida sio CCM shida ni Watanzania wenyewe (ambao wanaunda CCM). Hivyo basi hata kama chama kingine kikiingia Madarakani shida na vilio vitakuwa ni vilevile tena inawezekana ikawa zaidi. WHY? kwasababu shida sio chama shida ni watanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Uchukuaji fomu CCM ni Siasa za Urithi, Umaarufu, Uwekezaji ndani ya chama au upendeleo wa uteuzi baadae?

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeingia kwenye mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa kasi ya aina yake. Hadi sasa, zaidi ya wanachama 5,475 wamejitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za ubunge na uwakilishi. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa Julai 3,2025 na Katibu wa Itikadi, Uenezi na...
  17. JamiiForums Tanzania Profesa Mkumbo: Serikali na CCM tunahitaji vyombo vya habari madhubuti

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa Serikali ya awamu ya sita na Chama Cha Mapinduzi Kinathamini uwepo wa Vyombo vya habari imara, katika kukuza uwajibikaji na kuimarisha utawala bora nchini. Akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari na...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Tundu Lissu aliwahi kusema chama chake ni CCM

  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna Mwana CCM alitaka kufungua shauri kupinga fomu moja ya uchaguzi wa kugombea rais CCM. Aliishia wapi?

    Mwenye taarifa atujuze Malisa atinga kortini kupinga Samia kuwa mgombea urais
  20. JamiiForums Tanzania CCM wameamua kutafuta kura kwa nguvu, yaani nchi nzima imepata zero 68 pekee?

    Sio poa, ziro 68 kwa zamani ilikuwa ni ziro ya shule mbili kubwa pekee lakini sasa hivi ni nchi nzima. Yaani kupata ziro unakuwa celebrity, maana mko wachache sana. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Dr. Said Mohammed ametangaza matokeo ya kidago cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…