ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Kutumia katiba na ilani ya CCM kumepelekea wananchi wa Tanzania kudumazwa kiakili, kifikra, kiroho na kimwili

    Hii ni kwa great thinkers tu. Habari zenu na poleni pia kwa majukumu. Kama mada inavyojieleza naomba tujadili wadau. Mimi naona mfumo wa elimu yetu baada ya uhuru haujaleta tija yoyote katika umma wa kitanzania ukilinganisha na mfumo wa elimu uliokuwepo kabla ya uhuru. Naomba tujadili kwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kuchangisha pesa si jambo baya wala si geni

    Baada ya CCM kutangaza kupitia vyombo vya habari kuwa Mwenyekiti wake mama Samia Suluhu Hassani kesho ataongoza harambee ya kuchangia Uchaguzi Mkuu ujao, baadhi ya watu wameibuka wakikosoa na kupinga mkakati huo wakitoa sababu mbalimbali. Binafsi naona watu tumekosa Cha kujadiri au tumeishiwa...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanasheria nendeni mahakamani haraka kuzuia Rais kuchangisha pesa za kampeni ya CCM

    Hapo kesho tarehe 12 mwezi wa 8 rais Samia ataongoza harambe ya kuchangisha pesa kwa ajili ya kampeni ya CCM, rais kuongoza uchangishaji huo kutawafanya baadhi ya wafanyabiashara kulazimika kuichangia harambe hiyo kwa woga badala ya hiyari kwa kuwa tukio litachukua sura ya kitaifa. Soma Pia...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nchi hii tatizo sio CCM wala wanaCCM, tatizo ni wananchi wasio wana CCM

    Ukiangalia kwa undani sana na ukatafakari mambo kwa nyuzi 360, utagundua CCM na wana CCM wala hawana tatizo lolote bali tatizo lipo kwa watu ambao sio wana CCM. Nitafafanua!! CCM ni chama cha siasa na wana CCM ni wanasiasa ambao kwa hali na mali watatumia njia sahihi na haramu kutafuta namna ya...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaichangia CCM pesa ya Kampeni. Wewe je?

    Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu. NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo...
  6. U

    JamiiForums Tanzania CCM wana takwimu sahihi ya Wanachama kuanzia ngazi ya Shina hadi juu kabisa, Wanaingia kwenye Uchaguzi bila hofu, Wapinzani jifunzeni

    Ni ukweli wa kisayansi mfano wa kuigwa wanaenda kwenye vita Uchaguzi wakiwa na takwimu kamili, Wapinzani msione aibu njooni Lumumba mpewe Shule CCM ni Baba lao
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni

    Wakuu! Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema, "Tukipokea kila aina ya mchango tutaainisha inapotoka." "Lakini hatutapokea...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Benson Kigaila: Vijana wana uwezo wa kuipelekea CCM likizo ya bila malipo

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bara, Benson Kigaila, ametoa wito kwa watanzania, hususan vijana, kujitokeza kwa wingi kushiriki kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 kwa kupiga kura ili kuleta mabadiliko ya kweli nchini. Akizungumza Agosti 10, 2025 katika kongamano...
  9. JamiiForums Tanzania Ccm inadumu kutawala kwa kukandamiza upinzani

    Ni miaka yote ila imejidhihirisha sana awamu hii kwamba tegemeo kubwa la ccm kuendelea kutawala ni kukandamiza upinzani. Suruhu ya hilo ni moja , nguvu ya Umma. Umma utakapokua tayari CCM ndipo wataondoka kwa nguvu.
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ninaishauri CCM irudie upya kura za maoni nchi nzima

    Kuna malalmiko mengi nchi nzima kuhusiana na kura za maoni zilizopigwa hivi karibuni. Wengi wamelalamika kuwa rushwa ilitawala sana na hasa wale walioshika namba moja hawakushika namba moja kwa haki. Ninaishauri CCM irudie zoezi hili kwa mara ya pili ili haki ipatikane. CCM inapiga vita...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa CCM Geita walalamikia kukithiri kwa rushwa kura za maoni

    Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Geita Mjini mkoani Geita wameeleza kusikitishwa kwao na namna mchakato wa kura za maoni za kupata wagombea ubunge na madiwani ulivyokwenda huku wakidai kugubikwa na rushwa kwa baadhi wagombea na wajumbe. Wakizungumza na JAMBO...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CCM mtandao na CHADEMA masalia kuna muunganiko. Nadharia za HP. Tujadili

    Nimemsikiliza Polepole kwa umakini mkubwa inaonekana ameibua dhana ya CCM mtandao na Chadema Masalia yaani G 55 waliokimbilia Chaumma je kuna uhusiano wa dhana au narration hizi mbili polepole tuambie tujadili nini kilichopo.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea Viongozi wa CCM kuweka Maslahi ya Tanganyika pembeni

    Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
  14. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania: Tishio kwa CCM uchaguzi 2025

    Sote tunakumbuka kuwa tangu nchi yetu ipate uhuru kumekuwa na ukuaji mkubwa wa siasa za upinzani. Hali hiyo ya ukuaji imeanza tangu uchaguzi wa mwaka 1958,tukazuia vyama vingi lkn bado ndani ya TaNU kukawa na tishio la upinzani mkubwa uliotishia falsafa za Hayati Nyerere. Wakaibuka akina...
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yaani Bilion 700 kwa uchaguzi wa CCM! Tunapigwa kweli

    Uchaguzi bila reform ni sawa na u chaguzi wa chama kimoja sasa Bilioni 700 ni za nini hasa
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Raisi Samia na Dr Nchimbi ni wagombea wa CCM ambao hawajawahi chukua fomu za kugombea urais za chama

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana, ni watanzania TU tunapuuzia kila kitu paspo na sababu. Samia ni lini alichukua fomu kuomba ridhaa ya chama kimteue kugombea uraisi wa Tanzania? Kwenye mafaili ya maraisi wagombea kwa CCM Mwaka huu mtaweka nyaraka Gani? Je ni sehemu gan ya katiba yenu inasema...
  17. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kuwa CCM haiwezi kuzijibu hoja za Humphrey Polepole

    Hoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho. Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi...
  18. JamiiForums Tanzania Narudia, Zitto kama CCM wamekwambia usimjibu Polepole aise umechafuka mno mno mno Sasa nani swaiba wako?Kikwete au Rostam?

    NARUDIA ukimnya wa Zitto na wenzake dhidi ya kauli za Zitto zitafanya tumwamini pole pole dhidi ya Act kuwa TAWI la CCM aise ni aibu kubwa sana. Kumbe ndio maana wagombea wa Act ni masalia ya CCM? Tena wale utengenezewa ngiriba dhen sisi ulagaiwa yakuwa wamekataliwa kumbe uwa ni mpango wa CCM...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Chadema achana na maigizo ya ccm, Lissu ukitoka jela nenda kahubiri injili ya ukombozi CCM washatepeta

    Hata msipoahiriki uchaguzi 2030 mtakuja mkiwa Moto ,,,nendeni mkahubiri injili ,,Lissu sina mashaka na uadilifu wake anaweza kuongoza chombo kwa uadilifu bila kutamani shekeli za watawala na hatimae kujenga uungwaji mkono utakaoleta kimbunga achana na akina Zitto nk. Wao Wana mission zao...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Kondoa kiwewaka, wananchi wapinga mchakato wa kura za maoni CCM

    Wanachama wa CCM waomba Reforms zifanyike laa sivyo wanarudisha kadi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…