ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Yoyote anayejaribu kuiyumbisha CCM ni msaliti wa Taifa

    Ukongwe wa CCM umetokana na kukosoana vikali lakini kupitia taratibu za ndani ya chama za kukosoana. Ukimuona anayetoka nje kuikosoa CCM huyo ni msaliti kwa chama na muhaini kwa Mama Tanzania. Tunao wajibu wa kuilinda CCM kwa nguvu zote pale inapokuja suala la kutaka kumbagaza Mwenyekiti...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inaacha upande mmoja wa Muungano kujitenga zaidi?

    Kadri kero za huu Muungano wetu zinavyozidi kutatuliwa ndivyo upande mmoja wa Muungano Zanzibar inajitenga zaidi na mamlaka zinaruhusu hiyo hali. Angalia mfano wa hivi vitu walivyojitenga 1. Ajira zao zao za Tanganyika zetu sote 2. Ardhi yao yao ya Tanganyika yetu sote 3. Bodi ya mkopo yao yao...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: CCM hakuna makundi

    “Nguvu yetu ndani ya CCM ni umoja, na umoja tunao, CCM iko sawa sawa kabisa, kuna mshikamano wa kutosha, …ndani ya CCM hakuna makundi…”-Makamu Mwenyekiti wa CCM-Stephen Wasira.
  4. JamiiForums Tanzania CCM tusiruhusu majina matatu Urais, sio utamaduni wa Chama

    Ili kutunza Amani yetu ni vizuri likabaki jina moja tu. NB: Mboe aende CHAUMWA apitishwe chap kuwa mgombea Urais kuzuga wapiga Kura na wafadhili.
  5. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Chadema walipigania kumpata mgombea "weak" wa CCM ili wamsumbue kwenye kampeni

    Ni ukweli na uwazi usiopingika wafuasi wa chadema walijaribu kwa kila hali na mbinu zote kulilia CCM ipate mgombea ambaye ni "weak" ili waweze kuinanga CCM wakati wa kampeni. Samia asingepitishwa wangesema CCM imepasuka na kuuaminisha umma kuwa Samia hakufanya kitu. CCM isingempitisha Rais...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mwanadamu awezaye Kubadilisha au kupinga Maamuzi ya CCM. Rais Samia ndiye Mgombea wa CCM na itabakia kuwa hivyo

    Ndugu zangu Watanzania, Liwake jua au inyeshe mvua, Dunia isimame au Dunia izunguke katika mhimili wake. Kamwe na katu maamuzi ya CCM ya kumpitisha na kumuidhinisha Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama yetu Mpendwa kuwa Mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM hayatabadilika wala kubadilishwa...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Anayetaka kulisaidia Taifa ahakikishe Sheria zinazoipendelea ccm zinafutwa

    Taifa litapona endapo zitasimikwa sheria za haki nchini ambazo hazionei chama chochote,,, Rais asiwe m/kiti wa chama cha siasa,,, Mahakama zihakikishiwe Uhuru kwa kupewa vyanzo vya fedha kikatiba na bunge vilevile, hii ndiyo kansa inayosumbua Nchi , mahakama na bunge kutwa kucha kuipigia...
  8. JamiiForums Tanzania Uchaguzi ndani ya UWT umethibitisha kuwa CCM hii haifai. Rushwa kila kona ya Tanzania mithili ya mvua ya mawe

    Wamehongana mchana kweupe kuanzia nje ya ukumbi mpaka ndani ya ukumbi. My take kama wanaCCM wanahonga namna hii kupata udiwani tu. Je kwenye ubunge na urais? Kwa ujumla hawapo kwa ajili ya kutumikia umma wa Watanzania. Wapo kwq ajili ya matumbo yao.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kosa juu ya kosa: Kusogeza mkutano mbele, ni kuwapa nafasi ya kujipanga wapinzani wako.Bora tu ujitoe umeshakosea

    Huu ndio ukweli na Mr. Slow Slow alikulia timing vizuri sana na ukaingia kwenye mtego. Kama ulishindwa kukaza kutokana na pressure iliokuwepo au kutokana na dalili mbaya ulioiona, basi ujue kuahirisha ndio lilikuwa kosa kubwa zaidi na salama yako ni kuachia ngazi tu. NB: Mungu wa Lissu...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ikiwa CCM ilikiuka katiba yake, Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa imechukua hatua gani?

    Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais. Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani? Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe? Wanaionea chadema hata inapokuwa haina...
  11. JamiiForums Tanzania Chini ya kikwete huwezi kupata CCM imara

    GT Kati ya watu ambao waliiokoa CCM kimawazo hasa siku za hivi karibuni alikuwa ni hayati Ben Mkapa kikwete ilikuwa imeshamshinda. Ujio wa Magufuli ulirudisha heshima na nguvu ya chama lakini kikwete hana nguvu hiyo ni mstaafu lakini ana makundi. CCM ina bahati.mbaya sana Kuwa na mstaafu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Wa Majina Ya Wagombea Wa Udiwani CCM Mambo Si Shwari

    https://www.facebook.com/share/v/15eTpk7HpN/
  13. JamiiForums Tanzania CCM la kuvunda halina ubani

    Ni wazi kwamba Chama cha Mapinduzi kina la kujibu kuhusu hoja alizotoa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole na hasa suala la lkumpitisha mgombea urais wa chama hicho, Rais Samia Suuluhu Hassan. Katika barua yake aliyotangaza kujiuzuku Julai 13 na baadaye mkutano wake na...
  14. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kumpitisha mgombea uraisi ccm ni batili ni mhimu kurudiwa

    Ikumbukwe kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2021 alipatikana kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania baada ya john pombe magufuli kufariki kwa maana hiyo umma wa watanzania unajuwa wazi katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ilipaswa ashindanishwe na wenzake...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO GE2025 Mgombea adaiwa kugawa pikipiki kwa wajumbe Mkoani Shinyanga

    Mbunge mmoja Mkoani Shinyanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amedaiwa kugawa pikipiki kwa baadhi ya viongozi wa kata wa chama hicho ikiwa ni kishawishi cha kumpigia kura kwenye kura za maoni za kuwania Ubunge. Kitendo hicho kimelalamikiwa vikali na watia nia wenzake katika jimbo lake wakidai...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa wagombea wa ubunge kupitia CCM ufanyike kwa umakini mkubwa

    Tunashuhudia Sekretariet ya CCM ikiendelea na uchambuzi wa wagombea Ubunge na Madiwani. Naishauri Sekretariet ifanye kazi hii kwa umaakini mkubwa kwa kuangalia CV ya kila mgombea. Katika Bunge lililopita baadhi ya Wabunge walidanganya wasifu wao yaani CV na wengine kudiriki kusema kuwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa Mamlaka kudhibiti uhalifu wa vikundi vinavyojifanya Washirika wa CCM na kuumiza watu

    Vikundi vinavyojifanya washirika wa CCM na kushiriki katika vitendo vya uhalifu dhidi ya jamii visipodhibitiwa na polisi, wasilaumu jamii itakapochukua hatua za kujilinda. Kila jambo lina kikomo chake.
  18. E

    JamiiForums Tanzania Dk Muchunguzi: Mwaka 2020 Polepole alisimamia mgombea mmoja CCM, waliotaka kugombea walifukuzwa

    Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Dk Muchunguzi: Mwaka 2020 Polepole alisimamia mgombea mmoja CCM, waliotaka kugombea walifukuzwa

    Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Haki itendeke CCM nao wanyimwe Ruzuku, Kwa kutofata katiba yao

    Hii nimeipenda sana, na itatumika kama reference siku za mbeleni, sijui Msajili wa vyama atachomoka vipi. Jaji Mtungi amekuwa mwiba mkali kwa kukandamiza CHADEMA, amewafanyia ushetani mkubwa eti katiba yao haikufatwa. Mara paa kimewakuta CCM ambapo ilimpitisha Rais Samia kiharamu bila kufata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…