ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwandambo: PM unasema akina Diamond walikuwa kwenye ajira ya kutumbuiza CCM, kwa nini akina Roma na Nay wa Mitego wakiimba CHADEMA wanafungiwa?

    Clemence Mwandambo amemuhoji Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu hoja yake aliyoitoa akieleza kuwa wasanii wanapokuwa katika majukwaa ya CCM ni miongoni mwa sehemu ya kazi zao. Mwandambo amehoji je kwanini wasanii kama Roma na Nay wa Mitego wakiimbia Upinzani wanazuiliwa na BASATA ingali na wao...
  2. JamiiForums Tanzania Watu wanatweka mubashara sio kificho tena, mnataka nini nyie CCM

    Yalikuwa ni kificho ila sasa wakikukosa wewe wanatafuta ndugu,jamaa na marafiki wawe kwenye target yao. CCm sio chama ni chama cha kigaidi tukubari. Kwa sasa wanabajeti ya kulipa watekaji wenye mwamvuri wa vyombo vya ulinzi. Sasa hivi unafatwa hata ukiwa karibu na kituo cha polisi mchana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania TEC naomba muitishe maandamano makubwa kuwakumbuka wote waliotekwa, kuuawa na CCM

    Yawe maandamo ya Amani na siku hiyo ifanyike ibada kubwa .Tena kubwa kabisa. Baada ya maandamano mfanye ibada kubwa . Maandamano haya yawe Tanzania nzima. Muwakumbuke wote bila kubagua dini. Mumkumbe Mzee Ali Kibao na wenzake wote ambao baada ya kutekwa na kuuliwa ilitoka kauli kuwa kifo ni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kulikoni CCM na Serikali kutokutoa mkono wa pole kwa Polisi na wananchi waliofariki katika vurugu za Oktoba 29?

    Wanadai kuna Polisi waliouwawa katika vurugu za Oct 29. Kitu cha ajabu hatujaona wala kusikia serikali na CCM wakitoa mkono wa pole kwa marehemu hao. Pia kuna wananchi kibao wamefariki katika vurugu za Oct 29. Baadhi yao walikuwa mashabiki wakubwa wa Rais Samia na CCM. Mfano mzuri ni Sharifu...
  5. JamiiForums Tanzania Followers wa CHADEMA kwenye x.com ni 32K pekee wakati CCM wapo 882.9K

    CHADEMA ilishajifia muda, kwa sasa inaendeshwa na mashirika ya wanaharakati. Siyo chama cha siasa tena. Check hapa: Wameshindwa hata ku verify account yao
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bila ya kutegemea dola CCM haiwezi kushinda uchaguzi

    Fikiria Sheria za uchaguzi ziwe Bora kuliko za sasa, wasimamizi wa uchaguzi wawe huru na wawajibike Kwa makosa ya kiuchaguzi watakayoyafanya. Wazia jeshi la polisi lisizuie au kuingilia shughuli za kisiasa za vyama pinzani kwa CCM wakati wa uchaguzi. Itokee kuwe na tume huru ya uchaguzi...
  7. JamiiForums Tanzania Wasira alisema CCM ilisimamisha mgombea wao lakini wanachama wa CHADEMA wakawa wanatukanana kwa siku 31 badala ya kuchagua mgombea wao

    Wasira alisema CCM ilifanya uchaguzi wa mgombea wao na wakafanikiwa kumpata na kumsimamisha huku wakiwa wanasubiri mgombea wa CHADEMA Badala yake CHADEMA haikupeleka mgombea wake ilikuwa ikitukanana kwa muda wa siku 31 Ilikuwa ikimtukana Mbowe na Wasira akashangaa sana kuona nguvu yao ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania ya Nyerere baada ya Vyama vyingi ilikuwa ndiyo hii au yalifanyika mabadiliko baada ya kifo chake?

    Hii kitu mimi najiulizaga sana kama yeye ni baba wa Taifa ndiyo alituachia inchi ikiwa chini ya Vyama vingi na katiba mbovu hivi? Basi Huko aliko afutiwe sifa zake zote tulizodanganywa kumuhusu yeye
  9. JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Peter Msigwa na Wenje wambieni wavae sare za CCM za mama mitano Tena wapite barabarani waone kitakachojiri zaidi ya kuwachumu

    Je, Wenje na Peter Msigwa wakivaa nguo za CCM na kuvaa kale kakofia kalikoandikwa mama mitano Tena, tutawachumu au tutawapa zawadi gani? Mimi nitawachumu kwa busu la kenge. "Nyokorikoooooo" wewe je utawafanyaje?
  10. JamiiForums Tanzania Suala la Bandari tunajihujumu Sisi Wenyewe

    Katika siku za karibuni, taarifa zimeibuka kuwa Bandari ya Mombasa, Kenya, imeanza kupokea meli za mizigo ambazo hapo awali zilikuwa zikitia nanga Bandari ya Dar es Salaam. Kwa lugha nyepesi kabisa, mizigo imehama, yaani wateja wamehama. Lakini kwa lugha ya siasa nyepesi zaidi, lawama...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ruvuma: Spika Mussa Zungu anataka mtoto wa Jenista Mhagama kupendekezwa Ubunge jimbo la Peramiho?

    "Mkuu wa Mkoa uko hapa, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi upo hapa na Nyota Mtoto wetu yupo hapa. Nafikiri nikisema hivyo mmenielewa. Mmenielewa? Nyota ya mtoto wetu yupo hapa, nawashukuru sana Familia. Dodoma niliwaambia mshikamane, mpendane. Hiki ni kipindi kigumu kwenu." Spila wa Bunge la...
  12. JamiiForums Tanzania Zamani ilikuwa hivi CCM wakishirikiana na polisi kuzimisha mikutano ya vyama pinzani

    Miaka ya nyuma watu wengi walikuwa wajashtuka kuwa hiki chama kilianza michezo ya uhalifu tokea zamani. Kipindi cha kampeni kulikuwa kuna matokeo ya fujo na kuweka hofu watu wasiende kwenye mikutano ya vyama pinzani. Ilikuwa hivi CCM ilikuwa ikiandaa vijana wenye silahaa za kawaida na...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaosema CCM ni kikundi cha Kigaidi wasikilizwe wana hoja

    GT. CCM imejaa unyama haina ubinadamu hata kidogo. Hakuna mtanzania yupo salama chini ya CCM. Ni chama kinachohatarisha maisha ya kila mtu. CCM inatakiwa ipingwe kwa nguvu snaa kwa usalama wa Watanzania wote 1. Mdude 2.kibao. 3. Polepole 4.Mawazo 5. Ben saanane 6. Soka 7. Ndugai 8. Jenista 9...
  14. JamiiForums Tanzania Kupinduliwa kwa CCM hakujapatikana chanzo ila siku kitapatikana chanzo kidogo mfano TUNISIA

    Zipo nchi nyingi zilizopata chanzo kidogo mfano ufaransa ilishawai kupindiliwa kwa mkate tu. Tuje tunisia hapa kulifikia shida zote zao mpaka kunuka shida huku watawala wakila keki ya nchi. Ilitokea kijana mmoja baada kumaliza chuo kwa tabu na kukosa ajira ikabidi kujiajili mwenyewe kuuza...
  15. JamiiForums Tanzania Michango iliyofanywa na CCM kabla ya uchaguzi ilikuwa kwa ajili ya uchafuzi na mauaji

    Zile pesa zilizochangwa za CCM na list kubwa ya matajiri mpaka timu ya mpira ilikuwa kwa ajili ya uchafuzi wa uchaguzi. Pesa ile ilitumika kuonga idara za ulinzi na tume ya uchaguzi ndio maana ulisikia kashinda asilimia 98. Ilikuwa nilazima mauwaji yatokee kipindi cha uchaguzi sababu waliopewa...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Kamonga: Je, Ni Mipira 193 ya Milioni 13?

    Ni masaa machache sasa kumekuwa na mjadala mkali uliosambaa kama moto porini kuhusu ununuzi wa mipira 193 kwa Sh. 13,510,000 na Mbunge wa Ludewa, Mheshimiwa Joseph Kamonga, akikumbwa na lawama kutoka kwa wananchi na wadau wa michezo. Ripoti zilizotengwa mtandaoni zinaibua maswali tele: Je, bei...
  17. JamiiForums Tanzania Mbinu za kujisafisha kwa mataifa mengine zinvyozidi kuonesha udanganyifu wenu serikali ya CCM. Na hili la UN limebuma

    Picha anayoonyesha Kombo baada ya kumbabatiza Katiba Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayosema ni ofisini kwa Katibu Mkuu, siyo kweli. HAIKUWA OFISINI kwa maana nyingi, hakuna, Mkutano rasmi wa Kombo na Katibu Mkuu uliofanyika hili alipokea document tu Mazingira ya ofisi za Katibu Mkuu wa UN ni...
  18. JamiiForums Tanzania Kimya cha CCM katika matatizo makubwa ya kijamii ndiyo mwanzo wa kifo chake

    CCM sasa hivi ni kama bubu. Kuna matatizo makubwa ya kijamii, chenyewe kimya kama bubu. Watu wameuwawa wakati wa uchaguzi. CCM haijatoa tamko rasmi. Sasa hivi maji hakuna sehemu nyingi nchini, CCM kimya. Inaelekea sasa CCM ni gulio tu la uongozi na haisimamii matakwa na kero za wananchi. CCM...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Je, CCM ni political party au aina nyingine ya taasisi?

    Je CCM ni political party au ni organization nyingine tishio??? Hii ni case study!!!!!!
  20. JamiiForums Tanzania Huu mpasuko ndani ya CCM ndio ukombozi wa taifa letu. Bila CCM kupasuka hatuwezi kupona

    Tangu tumepata uhuru zaidi ya hayati Nyerere kupata msukomsuko ule wa 1964 mimi binafsi sijawahi kumsikia mkuu wa nchi yetu akitamka hadharani kuwa watu walitaka kuangusha dola. Utawala wa Hayaji Julius nimeushuhudia. Utawala wa mzew Mwinyi ndio kabisa. Nisiongelee juu ya Mzee Mwinyi, Mzee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…