ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA mnarudia Makosa ya 2015

    Nakumbuka Maxine Mello akitoa tathmini juu ya mchango wa media katika uchaguzi 2015 aliweka wazi kuwa CCM Ilitawala media na kusambaratisha wapinzani. Kuelekea October 2020 sijaona juhudi za dhati za chadema Kukamata kiungo yaani media. Japo ilionekana kuzidiwa na CCM Chadema walikuwa na nguvu...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Serikali ya hovyo, Bunge la hovyo na Mahakama ya hovyo. Tumefika hapa kwa CCM kwa kuiba kura na kumlazimisha kuwa rais

    Tuliambiwa hapa kazi tu. Imekuwa kinyume. Serikali hii ya Magufuli inaendelea kukopa pesa kwa matumizi yasiyo sahihi, kuna miradi inaendelea kufanywa bila idhini ya hilo bunge dhaifu la Ndugai. Huyu bwana naye amekuwa kichekesho. Rais amekimbilia Chato wiki ya 7 bila ya maelezo ya kutosha (Kuna...
  3. J

    JamiiForums Tanzania CCM ina wanachama zaidi ya milioni 15 lakini bado inachukua wapinzani na kuwapa ubunge, shida ni nini?

    Hili swali nimemuuliza kada mkongwe mzee Mgaya lakini majibu aliyonipa yamenitatiza kidogo, amedai huenda CCM kuna Binadamu wengi lakini " watu " ni wachache. Kwa kunifafanulia amesema binadamu huzaliwa lakini mtu hutengenezwa. Mdau wa siasa wewe unalionaje hili la wapinzani kuhamia CCM na moja...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wa madiwani ACT Wazalendo ahamia CCM

    -Jimbo tutalichukuwa.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Wananchi tunaona sana tu, tena sisi wengine ni CCM wenzenu!

    Inasikitisha sana sana. Kuanzia Mkulu wa Nchi, Spika, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Sirikali, Mkuchika wa Utumishi, Waziri anayehusika na masuala ya kazi. Hawa wote wamejaa ukomoaji. Wanaendesha uongozi wa ki-imla. Wakati Mkulu akidai ananyoosha nchi wananchi wananyanyasika hasa. Hawa wengine...
  6. JamiiForums Tanzania Swali: Hivi nini kitafuata baada ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa na wabunge wa CCM tu?

    Habari waungwana, Huhitaji kuwa na Degree ya Political Science kuamini hili. Kwa hakika kabisa majimbo yote Tanzania bara yanakwenda kuchukuliwa na CCM kwa gharama yoyote. Ninaposema kwa gharama yoyote nadhani mmenielewa. Labda tu Rais kwa sababu zake yeye mwenyewe aamue kuchagua baadhi ya...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

    Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM. Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana. HOTUBA YA DR. BASHIRU KWA UFUPI CCM inatoa salamu za mwaka mpya 2020, niwahakikishie watanzania kuwa tutaongoza siasa safi,ni mwaka wa kuheshimu maoni na uamuzi wa...
  8. JamiiForums Tanzania CCM Imepoteza dira, haina hoja tena

    Eti wangepewa muda wajitetee! Majibu ya kujitetea kwa Membe yako wapi? Lissu alijitetea wapi? Nasari alijitetea? Meya wa Jiji mpaka anafungiwa ofisi!, Meya wa Iringa Je? Meya wa Ubungo je? Ccm mmepoteza dira ni chama ambacho hakina hoja mbele ya umma. Naunga Mkono Mbowe Safisha Chama bado kuna...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wanaoamini NCCR Mageuzi itaachiwa majimbo na CCM wanaota ndoto za mchana

    Nijuavyo mimi ni kuwa wale wabunge waliotangulia kuingia CCM wakitokea Chadema na Cuf akina Waitara na wenzake itabidi wapitie utaratibu wa kawaida wa kura za maoni na hakuna mbeleko safari hii. Sasa kama hawa akina Waitara itawalazimu wapambanie ubunge wao hao akina Selasini ubunge wa bure...
  10. JamiiForums Tanzania Mataifa jirani yanatuthibitishia kuwa sisi tunaopiga kelele kwenye mitandao kuhusu Corona tuna uelewa mpana kuliko CCM na Serikali yake

    Hili suala la COVID 19 kabla halijaanza kusambaa huko kwa majirani sisi huku tulipiga kelele sana. Tulipiga kelele tukabezwa, tukadharauliwa, tukatukanwa. Kumbe waliokuwa wakitutukana walikuwa hawajui chochote kuhusu huu ugonjwa. Aibu! Kikundi cha sisi wa kwenye mtandao tumeonyesha mapenzi mema...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu hayataisha Tanzania, pamoja na yote haya wananchi wataichagua CCM

    Habari wakuu! Kwa umri wangu mdogo wa miaka takribani 30 nimejifunza mengi, sijabahatika kuvuka mipaka ya Tanzania lakini nimefika karibu mikoa 20 ya Tanzania bara. Hulka na silka za Watanzania zinafanana. Kwa uelewa wangu wa mambo ya kisiasa niliojifunza mitaani na mitandaoni nimehitimisha...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ahadi za CCM: Binadamu wote ni sawa, Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko na Sitatoa wala kupokea rushwa. Je, zinatekelezeka?

    Jumapili ya leo najaribu kuvirejea viapo mbalimbali nilivyowahi kuapa na ahadi mbalimbali nilizoahidi kuzitekeleza. Miongoni mwa hizo ni ahadi nilizoahidi wakati napokea kadi yangu ya uanachama wa CCM kutoka kwa mwalimu JK Nyerere katika Uwanja wa Samora mjini Iringa. Hizi ahadi zimekaa vizuri...
  13. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati Kuu ya CCM itakutana lini kutangaza tarehe za kutolewa fomu za wagombea urais Zanzibar? Muda unaenda ujue!!

    Mada hapo juu yahusika. Nashangaa kuna ukimya sana ilihali uchaguzi upo palepale mwezi October. Dr. Shein anamaliza muda wake, sioni wala sisikii cherekochereko za kumtafuta mrithiwe. Ndiyo maana mie Freed nauliza kamati kuu CCM mbona kimya sana?
  14. JamiiForums Tanzania Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

    Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao. Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema. Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari...
  15. JamiiForums Tanzania Mwenye ukweli kamili juu ya Mzozo wa Mtangazaji Maulid Kitenge (CCM) na John Mrema (CHADEMA) auweke wazi

    Nimeambiwa kuwa Wasafi FM Leo asubuhi wamenichafua saana na kusema kuwa mke wangu ni Mbunge kwa sababu tu nilimtaka Spika wa Bunge aache Propaganda. Ndugu Maulid Kitenge aniombe radhi Ndani ya 24 hours as Sina mke Mbunge na sijawahi kuwa naye. Asipofanya hivyo nitajiongeza! John Mrema
  16. JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, ndugu Lugano Mwafongo afariki dunia

    Katibu wa Jumuiya ya wazazi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro ndugu Lugano Mwafongo amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya rufaa ya KCMC mkoani Kilimanjaro alipokimbizwa kwa matibabu. Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!
  17. JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

    Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema "Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."
  18. J

    JamiiForums Tanzania Je, bunge linaongozwa na Mwenyekiti wa CCM?

    Kwa mfano Spika wa Bunge kwa mujibu wa katiba ya CCM ni mjumbe wa kamati kuu ya chama na anaripoti kwa mwenyekiti. Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM. Mnadhimu wa bunge ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu anayeteuliwa na Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM...
  19. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wabunge watoro warejeshe fedha zote walizolipwa kuanzia Mei 1-17 jumla ya Tsh. Milioni 110

    Spika Job Ndugai amesema wabunge wa CHADEMA ambao hawashiriki vikao vya bunge kwa madai kuwa wapo karantini wanahesabika kama watoro na wanatakiwa kurejesha fedha zote walizolipwa kwa kipindi ambacho hawatakuwepo bungeni. Pia wamepaswa kufanya kipimo cha Covid19 kabla hawajaingia bungeni ==...
  20. JamiiForums Tanzania Michango ya wabunge wetu ipo chini sana, hawana HOW kwenye michango yao

    Na Thadei Ole Mushi. Nimekuwa nikifuatilia michango ya wabunge wetu bungeni naona tuna tatizo kubwa mahali. Mbunge anapewa dakika kumi kuchangia mfano wizara ya viwanda na Biashara. Dakika tano anatumia kuwashambulia Chadema. Dakika tatu anasifia Serikali ya awamu ya tano, dakika Moja anasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…