ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. A

    GE2025 Ahmed Shabiby aaminiwa tena na CCM kupeperusha bendera jimbo la Gairo

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby ameaminiwa tena na chama chake kupeperusha bendera kwenye mbio za ubunge wa jimbo hilo kwa mwaka 2025-2030. Akitangaza majina ya waliyoteuliwa kugombea ubunge katika Mkoa wa Morogoro kupitia CCM, aliyekuwa...
  2. Kuelekea uchaguzi mkuu, CCM inateua Katibu Mkuu na Mwenezi Taifa wapya. Seriously?

    Kamati Kuu imewateua makada wake Asha Rose Migiro - Katibu Mkuu Kenan Kihongosi - Mwenezi Taifa Uteuzi huo unafanyika mwezi mmoja kabla ya Uchaguzi Mkuu. Sasa naanza kuamini kwamba suala la Uchqguzi Mkuu siyo gumu kwa CCM. Mifumo imeshakamilisha ushindi wa kishindo kwa CCM Polepole amekuwa...
  3. CCM sio wajinga angalia mpango wao hapa

    Kutokana na hali ilivyo CCM hawawezi kukubali nchi nzima washinde wao tu.. Kumbuka kuna makubaliano na ACT na Chaumma kuachiwa baadhi ya majimbo ili kuaminisha taasisi na jumuiya za kimataifa kwamba kuna uhuru na demokrasia.. Sasa watafanyaje? Mtu kama Zito anaweza kuwa potential hivyo ili...
  4. Kenani Kihongosi ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo akichukua nafasi ya Amos Makalla

    Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, imemteua Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho kuanzia Agosti 23, 2025. Uteuzi huo umetangazwa baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika jijini Dodoma, chini ya uongozi wa...
  5. S

    GE2025 Asha-Rose Mtengeti Migiro ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Achukua nafasi ya Balozi Nchimbi

    Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa imemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ambaye ni Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho.
  6. J

    Ni kweli katika Serikali hii na kwenye CCM hii hakuna wazalendo?

    Japokuwa Serikali yetu haiongozwi na Malaika, lakini kusema kweli yapo mambo mengi yanayoendelea nchini yanayotia kichefu chefu, kukatisha tamaa na kusikitisha. Hali hii ya mambo imesababisha ukosoaji mkubwa dhidi ya CCM na Serikali yake kutoka kwa kada mbalimbali za wananchi na hata...
  7. GE2025 Mkeka: Uteuzi wa wanachama wa CCM watakaogombea nafasi za Ubunge na Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa Majimbo na Viti Maalum

    Chama cha mapinduzi CCM kinatarajia kutangaza wagombea ubunge wake waliopitishwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na hatimae kuthibitishwa na halimashauri kuu ya ccm taifa kugombea ubunge majimboni. mbivu mbichi kujulikana soon. TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA WANACHAMA WA CCM...
  8. B

    INEC ili kujibu tuhuma hizi za kutumika na CCM, walazimishwe ku print majina yote mil 37 ya waliojiandikisha kupiga kura

    Lengo ni watu wafanye Cross checking ya majina hayo kama kweli watu hao walienda kujiandikisha. Nje ya hapo Uchaguzi wa 2025 ni batili kwa sababu matokeo sio takwa la wananchi CCM B (ACT, CHAUMA, NCCR, TLP, CUF n.k) sijui mnaingiaje kwenye uchaguzi huu mkiwa tayari mmeshapigwa 3 bila.
  9. Kwanini NIDA, INEC na CCM ghafla wamepanic na kuropoka ovyo ovyo kimfanano baada ya Pole pole kumwaga siri zao?

    Kama wewe ni mdadisi wa kutaka kupima hisia za ukweli wa tuhuma fulani, basi angalia kwanza mrejesho wa mwanzo wa yule aliyetuhumiwa (yaani Reaction ya mtuhumiwa). Baada ya Pole Pole kuzilipua CCM, NIDA na INEC, ghafla ziliibuka taarifa nyingi za makada wa CCM kujaribu kujibu hoja za Pole...
  10. Mtu yeyote kama yuko CCM siwezi kumwamini. Polepole na Gwajima wanapigania matumbo yao

    Issue ya Polepole kutaja kuwa walikuwa wanaiba kura au kupindisha matokeo ya uchaguzi ni hatua ya mwisho baada ya kufanya mbinu zake arudi kwenye uenezi kugonga mwamba. Yaani maana yake ni kwamba kama angerudi kwenye nafasi ya ulaji ya uenezi au kupewa uwaziri angeendelea kuwaibia kura...
  11. J

    CHADEMA wangekuwa wanashiriki I Uchaguzi CCM pangelikuwa na utulivu?

    Nawaza tu maana Chaumma wameshasahaulika kama Sno Chama au Kampuni Baadae Mlale unono 🙏✔️
  12. Poleni sana Tume ya Taifa ya Uchaguzi: Polepole amekuja kututhibitishia tu kwa nini Viongozi wa CCM wamekuwa na kiburi cha Uchaguzi

    Ramadhani Kailima Polee sana Imeandikwa hadi kwenye vitabu vitakatifu kuwa kweli itatuweka huru. Utetezi uliotoa Kailima hauwezi kubadilisha chochote, zaidi unazidi kuongeza hasira zetu Wananchi dhidi yenu nyie Madhalimu na Wahuni mnaohujumu maamuzi ya Wananchi. Kwa muda mrefu tulikuwa...
  13. GE2025 Othman Masoud: ACT Wazalendo kuwa project ya CCM labda ilikuwa Behind The Scene. Sikukuta hata harufu ya hilo jambo

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye Mkutano huu wa wahariri unaofanyika leo Agosti 23, 08, 2025, katika ukumbi wa Serena Hotel, Dar es Salaam Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud amesema kuwa yeye hafahamu chochote kuhusu ACT kuwa ni project ya CCM Masoud akiwa anajibu hoja iliyoibuliwa...
  14. M/kiti wa UVCCM wa kipindi hiki hata hana reasoning capacity ya kutosha

    Huyu dogo M/kiti wa UVCCM wa kipindi hiki hata hana reasoning capacity ya kutosha na hii tunapima kwa namna ya anavyoshare view yake kwenye social media. Honest hata hii UV CCM imepwayaa na haina.mvuto na ni kwa sababu viongozi wake wenyewe thinking capacity ni ndogoo.
  15. Anachokifanya polepole ni kuvivua nguo vyombo vya ulinzi na usalama TZ siyo CÇM hata Raisi hayupo salama chini ya wanamtandao.

    GT Ukifuatilia kwa umakini madai ya polepole tatizo utagundua ni wanausalama wetu siyo CCM. Vyombo vyetu vipo corrupted na wanasiasa kiasi kwamba hawaoni mambo yenye kuhatarisha usalama na maendeleo ya nchi. Tujiulize. 1. Mpaka mkataba wa Bandari unasainiwa kinyemela walikuwa wapi. 2. Mtu...
  16. Ipo shida kubwa kwa Watanzania na sio siasa za ccm wala watawala.

    Ujue tatizi kubwa sana ni wananchi wa Tanzania. Wamekubali na kuridhia kuliwa kwa namna yeyote ile mlaji anvyotaka na sio kwasababu hawajui ila ni wavivu wa kujishughulisha na mambo yao wenyewe. Ndio maana hivi karibuni kabla ya uchaguzi unaenda kutokea mwezi wa 10 mwaka huu 2025 kumeibuka kundi...
  17. R

    INEC, NIDA CCM VEN DIAGRAM showing their interaction in the election

    X= CCM Y = INEC Z= NIDA Qn: Define the function and importance of each union interaction in the ven diagram among the three players in election rigging
  18. S

    Kwa watu makini, adui wa Chadema sio Samia na CCM, na wala adui wa CCM sio Lissu na Chadema; nyote mna adui mmoja - Wanamtandao!

    Kuna kitu kimoja wanamtandao wamefanikiwa sana kuchezea akili za watu wa CCM na Chadema. Wamewafanya wajione kuwa ni maadui wa kufikia hata kuuana. Sijui lini haya makundi mawili yatatambua kuwa yanakuwa playe dhidi ya mmoja na mwenzake. Na siku makundi mawili haya yakitambua hilo, basi...
  19. GE2025 INEC, NIDA wamkana Polepole

    Kauli ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kwamba mifumo ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imeunganishwa na ile ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), imewaibua wakuu wa taasisi hizo na kukanusha madai hayo. Wakuu hao...
  20. F

    Polepole anafahamu mengi ndani ya CCM tumsikilize kwa makini

    Polepole anaendelea kulifungua Taifa polepole. Polepole ni kada wa juu wa CCM na anafahamu mambo mengi sana ya ndani kuhusu CCM. Ni vyema tukampa nafasi apate kutufahamisha mengi tusiyoyajua kuhusu uhuni wa CCM katika nchi hii. Karibu ndugu Polepole tunakusikiliza kwa makini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…