ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. GE2025 Mwanachama CUF: Ahadi za CCM ni zile zile wameshindwa kutimiza ndani ya miaka 30

    Akizungumza leo Septemba 15, 2025 Kutoka Kijiwe cha Kivulini, Mikocheni – Hanifa Mgonela, Mwanachama wa chama cha CUF anaweka wazi namna ambavyo suala la ajira Tanzania limekuwa fumbo lililokosa majawabu.
  2. GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi. Agosti 27, 2025 Mwenyekiti wa INEC, Jaji Mstaafu Jacobs Mwambegele kwa mamlaka aliyopewa amemteua Samia Suluhu...
  3. GE2025 Kigoma: Kwa jinsi Zitto anavyojinadi jukwaani ni dhahiri anashinda Ubunge. Comedian wa CCM anapayuka hovyo.

    Naona sasa Zitto taa ya kijani imewaka. Comedian anapayula hovyo. Zitto anamwaga madini.
  4. R

    GE2025 ACT Wazalendo kumwekea Pingamizi Samia ikidai uteuzi wake haukufuata Katiba na Kanuni za chama hicho

    Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kuwa kitaweka pingamizi dhidi ya uteuzi wa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kikidai kuwa uteuzi wake haukufuata Katiba na Kanuni za chama hicho Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 14 Septemba 2025 jijini Dar es...
  5. R

    GE2025 Mkazi wa Mchinga: Tieni akili CCM hawana nia njema, Mbunge wenu Mama Salma anadharau ni akili gani kusema watu wa Mchinga wanamkubali

    Mkazi wa jimbo la Mchinga akerwa na ahadi alizotoa Mbunge wao nakudai anawaomba wananchi waamke maana Chama cha Mapinduzi kinawachezea akili
  6. R

    GE2025 Sheria inasemaje juu ya watoto kuhusishwa kwenye kampeni za Uchaguzi? Maana CCM sasa imefika mbali

    Tume huru ya uchaguzi Tanzania inatgkiwa itoe ufafanuzi wa kanuni na sheria juu ya watoto kuhusishwa kwenye kampeni za siasa Sidhani kama hawa watoto wanauelewa wa chochote ========= Mkutano Wa Uzinduzi wa Kampeni Za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata Ya Vingunguti, na meya wa jiji la dar ameeleza...
  7. R

    GE2025 Tafakuri ya Askofu Bagonza kwa yanayoendelea CHADEMA, CCM na Tume huru ya Uchaguzi Tanzania

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook Askofu Bagonza ameandika tafakuri hii: FIKIRI MPAKA UTOKE JASHO: Usihukumu na Usibariki. 1. Ukiona makatibu wenezi wa Upinzani wanapita nyumba kwa nyumba kukusanya kadi za wapiga kura na namba za NIDA wakati chama tawala kiko kimya ujue wapinzani wanataka...
  8. Sijawahi kumuona Dully Sykes akihudhuria mikutano ya CCM

    Niseme ukweli katika wasanii ninaowaheshimu wa bongo flavor Dully Sykes anashika nafasi za juu pamoja na Jongwe na Jize. Hivi mmeshawahi kumuona Dully Sykes akiimba kwenye majukwaa ya CCM kama chawa wengine wafanyavyo?
  9. GE2025 Hakuna kampeni CCM ni makelele ya kumsifia mkuu wa nchi na kujikomba kwa mkuu wa nchi

    Nimewasikiliza wagombea wengi wa udiwani kupitia CCM hasa nafasi za ubunge na udiwani. Hakuna wanachonadi hiyo ilani yao na sera zao. Watanadi vipi ilani ambayo kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru ni hayo hayo tu maahadi yasiyotekelezwa? Kipi kipya? Kero za maji, afya na hata elimu ni zilezile...
  10. GE2025 Deo Sanga: CCM inakubalika kutokana na mambo yaliyofanyika makubwa

    "CCM inakubalika kutokana na mambo yaliyofanyika makubwa. Huko ukienda kwenye majimbo, kazi zilizofanywa na Dkt. Samia ni kubwa haijawahi kutokea, haijawahi kutokea! Ukienda kwenye afya, ukienda kwenye maji...kwenye afya zipo zahanati na hospitali zingine zinakosa wagonjwa",- Sanga. Aliyekuwa...
  11. Ajali Rufiji: Mwenyekiti wa CCM Kilwa na Wengine Watatu Wafariki, 28 Wajeruhiwa

    Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda (Higer T574 DZY) kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kiwanga, Wilaya ya Rufiji, Barabara Kuu ya Kilwa - Dar es Salaam...
  12. GE2025 Nguvu wanayotumia CCM kukusanya watu kwenye mikutano ni kubwa mno na inawatesa

    GT Asikwambie mtu. Hakuna mda CCM wanateseka kama kipindi hiki unajua kumshawishi mtu ahudhurie mkutano ambao hana shida nao ni kazi ngumu sana. Yaani kumpa.hela tu huyo mtu peke.yake haitoshi maana anaweza kula hela na akaingia chocho ha ha 😂 😄 Sasa inabidi uwakusanye watu kama mbuzi...
  13. Bongo Movie wana vitu vingi vya kujifunza kupitia Trailer ya Mbosso ya MAD MAX kuliko kukaa kusifia viongozi na CCM

    Steve Nyerere na genge lake la machawa wanabidi watumie muda mwingi kutafuta Maarifa na mbinu nyingi za kutengeneza filamu nzuri kama za enzi za kanumba kuliko kujikita na uchawa tu wa kusifia CCM na viongozi serikalini. Mbosso ambae ni msanii wa mziki kuachia trailer ya MAD MAX iliyofanywa kwa...
  14. Kwahiyo tumekubaliana vipi kuhusu hoja ya Polepole ya NIDA, Kadi ya Kura na Kadi ya CCM kuunganishwa?

    Nimewahi kumsikia Ndg. Humphrey Polepole (aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania Cuba) akisema pale chamani walikwisha kuanza michakato ya kuunganisha kadi mbili muhimu — Kadi ya NIDA na Kadi ya mpiga kura — na hatimaye kuunganishwa na kadi ya Chama Cha Mapinduzi. Kwa tafsiri rahisi, kama kweli...
  15. W

    GE2025 Mimi hadi sasa sielewi CCM wanashindana na Chama gani?

    Ukweli ni kwamba CCM wanatumia nguvu kubwa sana ya kufanya kampeni na kushawishi umma kuhusu uchaguzi kama vile wako vitani. Wameshadhibiti miiba na mizumari sijui kwanini wanahangaika sana na tunajua kwamba hivyo vyama vingine ni kama matawi yake tu. Hadi sasa CHADEMA hawashiriki kwenye...
  16. GE2025 Baada ya Simba jana Kuvimba, CCM kuandaa Mamluki Tamasha la Yanga

    GT Jana lilikuwa ni bonge la suprise CCM hawakutegemea kabisa walidhani simba wamesombwa ķwa malori kufika taifa. Sasa ili kufuta makosa kesho camera man ataonyeshwa angle ya kuweka camera yake kwa kikundi ambacho kitakuwa kimeandaliwa kupiga vigelegele. Mpaka sasa CCM wamenunua tickets 5000...
  17. Wanasimba waikataa live CCM jana

    Wanasimba jana wamefanya tukio ngumu sana ni mara baada ya msigwa kumtwangia simu mgombea urais wa CCM Samia watu waligoma kabisa kuitikia salamu ya mgombea huyo. Kwangu ni jambo zuri sana tuko tunaenjoy zetu mpira wewe unatuletea siasa Conclusion: Akili za watz zimeanza kuchangamka sasa...
  18. Pamoja na kuwa mimi ni mnufaika wa CCM sana ila nashauri Tundu Lissu anapaswa alindwe sana

    Watu kama Tundu Lissu ni adimu sana. Hawapatikani mara nyingi. Nashauri tutumie akili zao kwa manufaa ya nchi. Chadema msiwe wabinafsi. Akili ya Lissu msitake itumia ninyi peke yenu. Inatakiwa ifaidishe Taifa. Tunaomba Nchi nzima ipambane kuhakikisha Lissu anatumika kuisaidia kwenye mambo mengi...
  19. Watanzania mkataeni yule mstaafu wa ACT kutoka Magharibi anapokuja kuomba kura. Huyo ni mradi wa CCM

    Watanzania msikubali kurubuniwa na huyo anayetoka kanda ya magharibi mwa ziwa Tanganyika tambueni kuwa huyo siyo mpinzani bali ni mradi halali wa chama tawala( CCM). Wapinzani halisi ni chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ambao wanadai reform zifanyike ndio washiriki uchaguzi...
  20. GE2025 Wajue Audience wa CCM na Chadema

    GT. Naanza na fans wa CCM 1. Mafisadi/Wezi 2. Mama ntilie 3. Boda boda na machinga 4. Wakulima/wafugaji wa kujikimu 5. Wasiokuwa na kazi maalumu (wazururaji) Audience wa Chadema 1. Wasomi 2. Wafanyakazi That is Why Chadema wanaonekana wako smart kwa kila kitu kuwazidi CCM waporipori na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…