ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wasira baada ya Rais kumtupa nje ya Kamati Kuu CCM ndio unawaita wenzako wanafiki?

    Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wasira amesema Taifa limeanza kupoteza watu kusema ukweli, badala yake kumeibuka utaratibu wa kusifiana hata pasipokuwa na sababu za Msingi. Alisema siku za hivi karibuni jamii imeanza kuogopa kusema kusema ukweli kuliko hata kuogopaugonjwa wa Ukimwi. Wasira...
  2. JamiiForums Tanzania CCM watatoana Roho kwa Sababu kiongozi anaruhusu upigaji.

    Kwa kawaida mtu akiona mwenzake anapiga pesa bila buguza kila mtu hutamani kupiga. Na akipita nafasi huwa hataki kuiachia na aliyeko nje huwa anataka aingia kwa nguvu. Kwa sasa CCM kuna motooooo.. yaani wanapelekeana motoo hatariiii. Kabla ya 2025 tutaona kila aina ya rangi.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG, CCM mnasaka laana kwa udi na uvumba, pona yenu ni udhaifu wa walamba asali

    Siku ya Jumatatu usiku kuamkia Jumanne Party Cocus ya CCM ilikutana Dodoma kuwekana sawa kabla ya vikao vya Bunge kuanza kama ilivyo kawaida. Kikao kiliratibiwa vizuri na Mbunge Rashidi Shangazi kama Katibu wa hiyo Cocus akisaidiwa na Mzee Kinana na Sekretariet ya chama. Hoja ya CAG ikachukua...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa nikijitahidi kuzikemea ndoto zangu lakini wapi! 2025 CCM watanyukana ngumi!

    Shalomu Tanzania! Nimekuwa nikiota ndoto za ajabu na kwa upande mwingine ndoto hizo, huwa zinanifurahisha na naamini pia iwapo itakuwa ni kweli' wote waliowahi kusababishiwa umasikini na ama kuteswa na wanaojiita CCM, basi tutakuwa na kila sababu ya kufanya sherehe anguko hili tukufu la wana...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Haya Maridhiano ni ya CCM kujipendekeza kwa CHADEMA? Mbona Lissu anaisimanga sana CCM kwamba mambo ni yale yale?

    Nilitegemea baada ya kuingia kwenye Maridhiano viongozi wakuu wa CCM na Chadema wangekuwa wanatoa kauli za kujenga siyo kubomoa. Lakini ni viongozi wa CCM Ndio wamekuwa watulivu pamoja na Mbowe pekee kwa upande wa Chadema. Kauli za Tundu Lisu na Mnyika zimekuwa za Utata sana. Juzi Mnyika...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Chama cha Waganga wa Tiba Asilia Simiyu, wakana chama chao kujaa makada wa CCM

    Mara baada ya kuibuka maneno mengi mitaani kuwa Chama cha Waganga wa Tiba Asilia na Tiba Mbadala Mkoa wa Simiyu kina makada wengi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwenyekiti wa umoja huo, Mayunga Kidoyai amefafanua kuwa taaluma yao au kazi ya mtu binafsi haiwezi kuingiliana na suala la kichama kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Simiyu: Mwili wa mtu wakutwa ukielea kwenye maji, siku chache tangu Mwenyekiti wa CCM aliposema 'Mkoa wa Simiyu hali si shwari'

    Machi 25, 2023 akizungumza mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Bi. Shemsa Mohamed ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu alidai kuwa kuna watu wanapotea pasipo kujulikana wanapoelekea ndani ya Mkoa huo. Pia akabainisha kuwa kuna matukio ya wizi yameongezeka hasa maeneo ya nyumbani wakati...
  8. JamiiForums Tanzania "Mama wa Shoka, Mama shupavu na hodari, Mama mwenye kujiamini na asiye babaika, mwenye uzoefu wa kutosha"

    Sio mwingine, bali ni Katibu Muenezi wa sasa CCM Sophia Mjema. Ni mnukuu Bwana Lucas ... Naamini ya bwana Lucas, manake mifupa inayotupwa humu jamvini baada ya Ripoti ya Mkaguzi mkuu wa Serikali CAG kutoka, imekuwa hatare. Mama Sophia Mjema anastahili pongezi kweli kweli.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ubadhilifu wa fedha za vijana, walemavu na wanawake ni lawama kubwa kwa isiyokwepeka kwa ccm

    Tumesikia kiasi kikubwa cha fedha zilizotengwa kwa vijana, walemavu na wanawake zikiwa zimetafunwa ktka halmashauri, na hili limekuwa likifanyika waziwazi kwa makada wa chama kukopeshana kwa kigezo cha vyama badala ya uwezo wa kibiashara. Leo hii ni deni hili linalowalemea Wananchi. Ccm walipe...
  10. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuhamia CCM, CHADEMA inaanguka?

    WanaJf, Salaam! Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni: (a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa mashitaka mazitomazito; (b). Mbowe kukubali kwenda kula futari na kunywa Juice iliyoandaliwa na Mwenyekiti...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu, ufisadi, wizi, upigaji, ufisadi mkubwa nchini ni kutokana na mfumo CCM tuliojijengea wenyewe kwa miaka zaidi ya 60

    Watanzania wenzangu tufike mahali tufunguke macho yetu na tuchoke na huu upotevu wa matrilioni ya fedha zetu tulizochuma chini ya jua kali na baridi kali. Kila siku tumekuwa tukisikia habari za ubadhirifu, tangu enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia, wimbo ni ule ule...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwenyekiti wa CCM Mkoa: Miili ya Watu inaokotwa kwenye Mifuko ya Rambo, Simiyu si salama

    Ipo hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika ziara zake anazofanya hivi karibuni, alifika Mkoani Simiyu na katika moja ya mikutano yake na Watumishi wa Umma kuna mambo mazito yalizungumzwa. Katika Mkutano huo pia wadau wengine walikaribishwa ikiwemo viongozi wa dini na viongozi wa CCM...
  13. JamiiForums Tanzania CCM imedumaza uwezo wetu wa kufikiri, hadi wanaofikiri sawasawa wameanza kuchukiwa

    Baada ya Mapinduzi (matukufu?) ya Zanzibar Mwaka 1964, chama cha ASP kikapiga marufuku vyama vingine vya siasa na kuharamisha viongozi wake. Ukiwa Zanzibar ilikuwa ama uwe ASP au uwe adui wa Mapinduzi. Kwa ivo kila mtu aliyetaka kufanya siasa Zanzibar ilibidi ajiunge na ASP ili afanye siasa na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mjema ataka Wanahabari kueleza kwa kina yanayofanywa na CCM

    Na Bwanku M Bwanku. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema amewaeleza wanahabari kwamba Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imefanya mambo makubwa sana kwenye maeneo yao hivyo wao wana jukumu kubwa la kueleza mambo hayo kwa wananchi ili...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania inamilikiwa na nani. CCM, Dola, au kila Mtanzania?

    Kuna wakati nawaza sana kuwa nimo kwenye nchi ambayo sijui kama mimi ni mmiliki wake ama nani ndiye anayeimiliki. Nadharia ziko nyingi lakini sijaona hata moja inayonifanya nijue nani hasa ni mmiliki wa hii nchi ninayoishi. Kila siku nikiwaza umiliki wangu kwa Tanzania nautilia shaka sana...
  16. JamiiForums Tanzania Kabla ya katiba mpya ya nchi, tunahitaji maboresho ya katiba za vyama hasa CCM

    Nawaza kwa sauti ya kizalendo, Kweli tunahitaji katiba ya nchi kama taifa hiyo haiepukiki kwa sasa kwa maana mambo mengi yapo hovyo hovyo kabisa. Ila naona kwenye hivi vyama vya siasa bado kuna mambo hayako sawa kabisa, hususani namna ya miongozo na kanuni. Nitolee mfano CCM hivi kwa dunia...
  17. JamiiForums Tanzania Chadema wamewasaliti Watanzania

    Angalia leo hii tunaambiwa taifa letu linakusanya tozo kodi na ushuru kibao. Zaidi ya tril 1.3. Wananchi hawana hakika hata ya kula ugali dagaa. Wananchi wanaishi maisha duni. Ufisadi umetamalaki na huyo rais anayejinasibu yupo na maridhiano hana uchungu na raia wanaoteseka kwa umasikini.
  18. JamiiForums Tanzania Pamoja na udhaifu wake wote ilionao, ni kwanini CCM inaamini itatawala Tanzania milele?

    Hicho chama kinahusika kwenye kila madudu yanayotokea kwenye nchi yetu. Hakuna jambo baya kwa Watanzania ambalo halijatokana na CCM kuwa madarakani. Lakini CCM wenyewe kwa kujiamini kabisa wanasema kwamba watatawala Tanzania milele? Haya ni maneno yanayoonesha CCM ina kiburi cha uzima kiasi...
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi iliyopatikana kwenye uchaguzi wa 2020 ikitumika vizuri ni faida kubwa kwa CCM

    Uchaguzi wa mwaka 2015 ulikuwa mgumu mno kuwahi kutokea tangu vyama vingi vya siasa vianzishwe. CCM ilipita kwenye tundu la sindano kushinda ule uchaguzi. Chama kilikuwa hoi mno. Kabla hata ya Lowassa kuhama tayari upinzani ulikuwa una nguvu mno kutokana na kuwepo vichwa hatari mno kisiasa...
  20. JamiiForums Tanzania CCM yatoa onyo kali kwa viongozi wastaafu

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewaonya vikali Viongozi wa Chama hicho Waliostaafu na kumaliza muda wao wa uongozi na ambaohawakubahatika kupata nafasi katika uchaguzi uliofanyika 2022 ndani ya chama hicho kuacha mara moja tabia ya kuvuruga chama. Viongozi hao wameonywa kuacha mara moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…