ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Mambo matano hatari ukiwa CCM, moja lilimkuta Comrade Chongolo

    Sisiemu ilishaacha kuwa chama cha siasa.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Haiwezekani sote tukawa wapole, tutaonewa sana

    Nimeipenda sana hii statement ya Mkuu wa Mkoa wa DSM Chalamila. Nakubaliana naye kuwa ni kweli kabisa haiwezekani kwa watendaji wote mkawa wapole lazima wengine wapo ni wakali kwa asili yao, na huo ukali wao ni faida kubwa kwenye kuharakisha maendeleo. ukali ni muhimu sana, bila ukali wabongo...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Je CCM yamuandaa Mh Anthony Mavunde kuwa Rais ajaye?

    Wakuu salamu kwenu. Je imawezekan CCM inamuandaa Mh Mavunde kuwa Rais Ajaye?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wazalendo ungeni mkono demokrasia, katiba mpya kwa manufaa ya nchi yetu

    Kuna watu wengi ambao wapo CCM na ni wazalendo. Lazima muelewe sio matakwa yote ya CCM ni kwa faida ya nchi kuna mambo mengi sana ambayo ni kwa mafanikio ya tabaka la utawala ndani ya CCM. Tabaka hili lenye mtandao mkubwa ni wale wakubwa ambao ndiyo wanafanya maamuzi ikiwa ni pamoja na kuingiza...
  5. JamiiForums Tanzania Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing). Furaha Dominic ni yule kijana ambaye Magufuli alimkata jina na kusisitiza kuwa hafai kuwa mbunge wa Kawe. Magufuli huenda alikuwa anajua...
  6. JamiiForums Tanzania Makalla: CCM nafasi zote zipo wazi isipokuwa ya Urais

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi, Amos Makalla amesema nafasi zote za kuchaguli katika chaguzi zijazo zipo wazi isipokuwa ya Rais wa JMT. Akizungumza leo Aprili 20 hapa Songea mkoani Ruvuma, Makalla amewataka wana CCM kuhamasisha Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu...
  7. JamiiForums Tanzania Maandamano ya Chadema yaanza kuiunguza CCM, Viongozi wake waweweseka

    Tlulionya Mapema sana kwamba haya maandamano ya Chadema yataleta madhara makubwa sana lakini tukapuuzwa . Ikiwa ndio kwanza yameanza leo , Tayari viongozi wa ccm washaanza kutoa machozi ya damu . Hebu mwangalieni Pedeshee Amos Makalla akilalamika huko Mbinga.
  8. JamiiForums Tanzania Kesi ya Diwani wa CCM Handeni yapigwa kalenda

    Kesi ya Diwani wa Chanika wilayani Handeni, Tanga, Abdallah Chihumpu imeshindwa kuendelea baada ya hakimu anayeisikiliza kutokuwepo mahakamani. Diwani huyo anashitakiwa kwa kosa la kumdhalilisha mfanyabiashara, Stanley Lyakundi kuwa ameiba eneo la wazi la Shule ya Msingi Chanika. Shauri hilo...
  9. JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed (Mwenyekiti CCM Mkoa wa Simiyu): Sikilizeni na Kutatua Kero za Wananchi

    SHEMSA MOHAMMED, MWENYEKITI CCM SIMIYU (M): SIKILIZENI NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed amewataka viongozi wa chama hicho na viongozi wa serikali wa ngazi mbalimbali katika mkoa huo kusikiliza na kutatua kero zinazowakabili...
  10. JamiiForums Tanzania CCM Simiyu Yampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwaletea miradi ya maendeleo

    CCM SIMIYU YAMPONGEZA RAIS DKT SAMIA SULUHU KUWALETEA MIRADI YA MAENDELEO. LALAGO; MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Shemsa Mohamed amempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa kupeleka fedha nyingi kwa ajili ya kutekeleza Miradi mbalimbali ya Maendeleo...
  11. JamiiForums Tanzania Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Paulo Makonda ameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi. Ameelekezwa kufika kwenye Kamati hiyo tarehe 22/04/2024. ===== Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemuita Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwenye Kamati ya Maadili. Makonda anatarajiwa kufika...
  12. JamiiForums Tanzania Patrick Mwalunenge (Mwenyekiti CCM Mkoa wa Mbeya) Atinga Site na Vipimo Kutatua Mgogoro wa Fidia Ujenzi wa Barabara Njia Nne

    PATRICK MWALUNENGE (MWENYEKITI WA CCM MBEYA) ATINGA SITE NA VIPIMO, KUTATUA MGOGORO WA FIDIA UJENZI WA BARABARA NJIA NNE Mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya amefika eneo la takio na vipimo baada ya Wananchi wa kata za Nzovwe na Mabatini Mkoani himo kulalamika kitendo Cha...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi pikipiki za CCM zilivyowagawa wanaccm majimboni

    Siku za hivi karibuni tumeona makatibu wa chama kwenye kata wakipewa pikipiki maeneo mbalimbali Tanzania Hata hivyo mgao huo umejenga chuki na makundi kwa wanaccm wenyewe kwa wenyewe Madai ya chuki Wengi wanadai kuwa kitendo cha kuwapa baadhi yao pikipiki ni cha ubaguzi kwani na wao ni wanaccm...
  14. JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed: CCM Haitambeba Mtu Katika Uchaguzi Mkuu Ujao, 2025

    Shemsa Mohammed: CCM Haitambeba Mtu Katika Uchaguzi Mkuu Ujao, 2025 MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amesema chama hicho hakitambeba mtu wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani na kuwa atabebwa kutokana na matokeo yake ya kukitumia chama hicho...
  15. JamiiForums Tanzania Kama lengo la chama cha siasa ni kushika madaraka, kwa sasa CCM ndiyo chama chenye mafanikio zaidi Afrika?

    Nimesikia mara nyingi sana viongozi, hasa viongozi wa vyama vya upinzani wakisema kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Maana yake chama kikishika madaraka kinakuwa kimetimiza lengo lake kuu. Na kikiyashika kwa muda mrefu zaidi ndivyo kinavyokuwa kimetimiza lengo lake kuu kwa...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Uvunjaji wa demokrasia ndani ya CCM utaisha lini?

    Rais Samia amekuwa akisifiwa na machawa wake kwamba ni mpenda demokrasia eti ndiyo maana ameanzisha 4R. Lakini kadiri muda unavyokwenda matendo yake ya kiuongozi ndani ya chama na serikali yanadhirisha kuwa Samia siyo muumini ya haki na demokrasia. Tumeshuhudia akikataa kufanya mabadiliko ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mikopo ya 10% ya Halmashauri imegeuka kuwa mikopo ya Wanachama wa CCM

    Habari wana jamvi. Naomba kuwasilisha mada hii kuviomba vyama vya Upinzani vipaze sauti kuhusu utaratibu mbovu ambao kwa sasa Halmashauri nyingi Nchini wanafanya kutoa mikopo kwa kigezo cha kuwa mwanachama wa CCM hasa vikundi vya wanachama wao ndivyo vinapewa mkopo. Niko Mkoa x na ninafanya...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Manyoni anadaiwa kuchangisha Wanachama wenzake kinyume cha taratibu

    Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Manyoni Bwana Jumanne Makhanga analalamikiwa na wananchi ambao ni wanachama hai wa CCM Wilaya ya Manyoni kwa kuchangisha pesa zisizo na tija. Mwenyekiti huyo kwa mwaka jana pekee amechangisha pesa kwa wanachama wote kwa kila Mwanachama kutoa Shilling mia tano kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Zanzibar, CCM vs ACT-Wazalendo kuelekea 2025

    Sera na mipango ya rais Mwinyi inavyoimaliza ACT- Wazalendo kuelekea 2025 Deogratias Mutungi Utawala bora, Uchumi imara, Demokrasia safi, nidhamu na maadili ya viongozi, Ufanisi na mweleko wa mafanikio ya serikali yoyote ile ulimwenguni upimwa kwa sera na mipango yake kimamlaka na ndani ya...
  20. JamiiForums Tanzania CCM yaanza kulamba matapishi yake

    Wasalaam, tunapoelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani naona viongozi wa CCM na WABUNGE wake wameanza kulamba chakula walichokula wakavibiwa Kisha kukitabika. WABUNGE na viongozi wa CCM WALIPITISHA KIKOKOTOO katili dhidi ya watumishi wa umma huku wao wakichukua asilimia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…