Ni muda sasa wa kuisusa CCM

Ni muda sasa wa kuisusa CCM

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,008
Reaction score
74,639
Haya matukio yaliyoanza kabla ya uchaguzi wa SM na baada ya uchaguzi yanadhibitisha kuwa sasa Chama kilichokuwa pendwa kimegeuka na kuwa Simba mla watu.

CCM haipiganii kuua na kutekana kuishe bali inaona ni drama huku ikijisifu kuwa ni "ushindi wa kishindo".

Kama tufanyavyo kwa Simba mlawatu tufanye hivyo kwa CCM, Ni rahisi tuu, ni kujitoa huko kabla haijatafuna nduguyo au rafiki na kujilaumu baadae.

Susia mikutano yao, shughuli zao zote na Chama kadi yao. Bila kusahau kujiunga na chama kingine. Na waacheni wabaki hao viongozi wao muone kama watakuwa na nguvu ya kuteka na kuua.

Wafanyayo dini zote hazikubaliani, labda zile sacoss za maokoto.​

Tumuombee usalama Abdul Nondo kama tumuombeavyo uzima Soko na wengine.
 
Tatizo linakuja wa kumuua huyo simba ni nani?
Ikiwa mtu anatekwa mbele ya hadhara na kadamnasi inakodoa mijicho kama inaangalia mazingaombwe unategemea huyo simba ataacha kula watu kwa kujinafasi.
 
Haya matukio yaliyoanza kabla ya uchaguzi wa SM na baada ya uchaguzi yanadhibitisha kuwa sasa Chama kilichokuwa pendwa kimegeuka na kuwa Simba mla watu.

CCM haipiganii kuua na kutekana kuishe bali inaona ni drama huku ikijisifu kuwa ni "ushindi wa kishindo".

Kama tufanyavyo kwa Simba mlawatu tufanye hivyo kwa CCM, Ni rahisi tuu, ni kujitoa huko kabla haijatafuna nduguyo au rafiki na kujilaumu baadae.

Susia mikutano yao, shughuli zao zote na Chama kadi yao. Bila kusahau kujiunga na chama kingine. Na waacheni wabaki hao viongozi wao muone kama watakuwa na nguvu ya kuteka na kuua.

Wafanyayo dini zote hazikubaliani, labda zile sacoss za maokoto.​

Tumuombee usalama Abdul Nondo kama tumuombeavyo uzima Soko na wengine.
Malizaneni kwanza na SACCOS
 
Unasusiaje CCM wakati wapinzani wanaopaswa kuhamasisha hili wanapelekewa mabegi ya pesa na wanalegeza misimamo yao?
 
Katika Africa baada ya uhuru hakuna taasisi ilikuwa na nguvu kama Makaburu wa Africa ya kusini, ilifika mahali muda ulipofika waliondoka , Madarakani, mimi ninaamini sana Nguvu ya karma . Watafika mwisho na hapo hawatakuwa na mtu wa kuwatoa. Watagota hapo na hawatakuwa na mtu wa kuwaonea huruma. Muda ni dawa ya ajabu sana duniani, inatibu magonjwa mengi sana. Ikiwa ni pamoja na ugonjwa wa kusahau. Haya wanayoyafanya sasa wanajifanya wamesahau, muda utawakumbusha
 
Unasusiaje CCM wakati wapinzani wanaopaswa kuhamasisha hili wanapelekewa mabegi ya pesa na wanalegeza misimamo yao?
Unapinga kitu kibaya kwa sababu una hamasishwa na mtu mwingine?
I didn't know Msanii you would go that much low!
Huko nyuma hukuwa hivyo!
 
Hakuna kuisusia CCM
Tupambane nayo kwa kila mbinu.

Wasaliti kibap kwenye huu msafara.

Dawa ni kupngeza wigo wa mapambano mkuu.

Kushindwa kunielewa siyo ishu bali omba ufafanuzi kwa nini nimesema kususia siyo dawa
 
Haya matukio yaliyoanza kabla ya uchaguzi wa SM na baada ya uchaguzi yanadhibitisha kuwa sasa Chama kilichokuwa pendwa kimegeuka na kuwa Simba mla watu.

CCM haipiganii kuua na kutekana kuishe bali inaona ni drama huku ikijisifu kuwa ni "ushindi wa kishindo".

Kama tufanyavyo kwa Simba mlawatu tufanye hivyo kwa CCM, Ni rahisi tuu, ni kujitoa huko kabla haijatafuna nduguyo au rafiki na kujilaumu baadae.

Susia mikutano yao, shughuli zao zote na Chama kadi yao. Bila kusahau kujiunga na chama kingine. Na waacheni wabaki hao viongozi wao muone kama watakuwa na nguvu ya kuteka na kuua.

Wafanyayo dini zote hazikubaliani, labda zile sacoss za maokoto.​

Tumuombee usalama Abdul Nondo kama tumuombeavyo uzima Soko na wengine.
Ilishasuswa kitambo tu,wanagawa sana hela ndio maana unaona kina mwashamba wanazidi kuchipua
 
Back
Top Bottom