ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Special Thread: Matukio ya Rafu za uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, Wakati tunaeleka kwenye Uchaguzi Mkuu ambao tutachagua Madiwani, Wabunge pamoja na Rais mengi hutokea kabla ya kuwapata viongozi hao. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wanatengeneza "elite clique"?

    Watu mnaojua kiingereza mnaweza kunisahihisha kama neno nililolitumia siyo sahihi. Kiranga na Nyani Ngabu msaada tutani. Kwa mtazamo wa kijuujuu huwezi kuona kinachotengenezwa na CCM hasa viongozi wake wa juu. CCM inatengeneza aina fulani hivi ya usultani ndani ya chama hicho na Kwa nchi kwa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zanzibar: Katibu Uenezi CCM aridhishwa na zoezi la Uandikishaji wapiga kura

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar, Mbeto Hamis amesema zoezi la uandikishaji wa wapiga kura katika Wilaya ya Micheweni, Zanzibar linalomalizika leo limefanyika kwa ukamilifu wa hali ya juu na kwamba wao kama chama, wameridhishwa. Soma, Pia Special...
  4. JamiiForums Tanzania Katika sherehe za miaka 48 ya CCM Ludewa, mbunge ahaidi kukamilika kwa ujenzi wa shule ya sekondari mwezi Machi wanafunzi wasisafiri umbali mrefu

    Serikali imeanza kujenga shule ya Sekondari Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe ili kupunguza adha ya watoto kusafiri umbali wa takribani Km 15 Hadi Manda Sekondari na Km 30 Hadi Mchuchuma kupata elimu. Kwa hatua za awali Tayari madarasa mawili yapo mwishoni kukamilika na Mbunge wa Jimbo la...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: CCM yachangia madawati Shule ya Sekondari Mgwashi

    Katika kusherehekea miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga na Mjumbe wa Kamati Kuu, Rajabu Abdulrahaman, ametembelea katika Shule ya Sekondari Mgwashi iliyopo Korogwe Vijijini Kata ya Mngwashi na kutoa mchango wa shilingi milioni saba (7,000,000) kwa...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni Job Ndugai pekee anaeweza kuishake CCM uchaguzi ujao! Muhimu ni wapinzani kuungana wamshawishi awe mgombea kupitia CHADEMA

    Wenzetu huko Ulaya ukigombea mara Moja ukashindwa hutakiwi kugombea Tena. Ni Tanzania pekee ambapo mtu anagombea Kila mwaka. Leo badala ya kutafuta chuma kipya Cha kuitikisa CCM. Bado tuna mawazo mgando ya kutaka Freeman au Lissu wagombee Tena kwa sera zipi mpya? Watu wamemzoea na hana jipya...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtwara: Vijana watakiwa kutumia vizuri mitandao ya kijamii kwa manufaa ya CCM

    Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaenda kutimiza miaka 48 tangu kuanzishwa kwake vijana wameshauriwa kutumia kwa faida mitandao ya kijamii ili iwanufaishe kwenye shughuli zao na shughuli za kichama. Soma Pia: Mtwara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Akizungumza kwenye hafla...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii wanahamasisha vijana kushiriki UVCCM marathon, ila kwenye baadhi ya mambo mfano kutekwa kwa raia wapo kimya

    Hivi kwani ukiwa msanii ni lazima u support CCM wakuu? Jamaa kwenye mambo ya chama wapo mbele sana ila kwenye mijadala muhimu kuhusu taifa wapo kimya yani inshort ni kama roborts jamaa. Mastaa wa Hiphop na Bongofleva, Fid Q, AY, Chege na Madee wameungana na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma: Maadhimisho ya Kuzaliwa Kwa CCM 05 Februari, 2025 kutakuwa na uji bure kwa wananchi

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Rosemary Senyamule Amewaomba Wakazi wa Dodoma na Wananchi Wote Kwa Ujumla Kufika Mapema Katika Maadhimisho ya Kuzaliwa Kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Yatakayo Fanyika Katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma Tarehe 05 Februari 2025. “Hapa ningependa kutumia nafasi hii...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani, CCM mna mgombea wa kukabiliana na mabadiliko yanayokuja duniani kupitia Rais Trump?

    Hellow Tanganyika, USAID inadaiwa kufutwa, makampuni Toka nje yanafunga ofisi, misaada ya madawa inaondoshwa nk nk Nawauuliza swali dogo tu, maana muda Bado upo na uchaguzi haujatangazwa Bado, hivyo kutangaza wagombea sasa Bado Si HOJA sana, mabadiliko yaweza fanyika. Tujiulize yafuatayo; 1...
  11. JamiiForums Tanzania Kama CCM imeshindwa kuisimamia katiba ya chama chake, inawezaje kuisimamia katiba ya nchi?

    Utangulizi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na historia ndefu na yenye umuhimu katika siasa za Tanzania. Hata hivyo, kwa miaka ya hivi karibuni, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu ufanisi wa CCM katika kusimamia katiba yake yenyewe. Hali hii inatupa swali muhimu: kama chama hakiwezi...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee

    Wakuu Katibu wa CCM Wilaya ya Rufiji Prudence Sempa amesema atalifanyia kazi Ombi la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji la kuwataka kumpitisha Mbunge Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee wa Ubunge kupitia CCM. Bw. Sempa alitoa kauli hiyo baada ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji Abdul...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari ya CCM kutoka kuwa chama cha wananchi na kuwa chama cha familia na koo

    Wananchi na wanachama wa CCM msipokuwa makini ,kuna hatari ya chama kutoka kuwa chama cha mapinduzi na kuwa chama cha familia na koo tu. Hapa nazungumzia hasa katika ngazi ya juu ya kiutawala ya chama hiki, nafasi ya Urais katika utawala na siasa. Familia fulani na koo fulani zinaelekea...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasafi Media ishakuwa media ya CCM, wame-brand magari yao kwa rangi za CCM, kuelekea miaka 48 ya chama hicho

    Wakuu Hii Wasafi Media ibadilishwe tu ijulikane ni media ya CCM Soma: Watangazaji Crown FM wageuza kauli ya "Mitano Tena" pambio kwenye kipindi, kweli wataweza kukemea uovu hawa? Vyombo vya habari vinapaswa kuwa huru na kuepuka kuegemea upande wa kisiasa ili kudumisha uaminifu na uwajibikaji...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Morogoro waonyana tabia ya makada kuanza kampeni kabla ya muda elekezi. Mjumbe wa kamati kuu atoa neno

    Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Morogoro kimewataka wanachama wa chama hicho pamoja na watia nia katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu kuacha kujishughulisha na kampeni za uchonganishi ambazo tayari baadhi ya watu wamedaiwa kuanza kupita mtaani kuomba kura badala yake...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rukwa: Aliyekuwa Katibu wa CCM Tawi la Kalepula auawa kwa kukatwa kichwa. Wanne washikiliwa

    Watu wanne mkoani Rukwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kumuua kwa kumkata kwa panga ndugu yao Mashaka Sichone, mkazi wa kijiji cha Kalepula, wilaya ya Kalambo ambaye alikuwa Katibu wa CCM Tawi la Kalepula. Baada ya kufanya ukatili huo walitenganisha kichwa na kiwiliwili kisha...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Tanga: Tumeshuhudia uchaguzi wa CHADEMA wakitukanana, ni uthibitisho kuwa hawafai kupewa nafasi ya kuongoza nchi

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdulrahman Abdallah, amesema wanasiasa wa vyama vya upinzani hawana cha kuwaeleza wananchi juu ya kile walichokifanya, na kwamba wanafaa kupuuzwa. Badala yake, amewataka wananchi wamuunge mkono Rais Samia Suluhu Hassan. Rajabu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania CCM KUSOMESHA VIJANA WOTE NCHI NZIMA BURE

    Serekali kupitia afisi ya waziri mkuu imetoa Tangazo la vijana miaka 18- 35 kujiunga vyuo vya ufundi katika mikoa na wilaya zilizo karibu na wao huku Serekali ikigharimia mafunzo hayo 100%.. Nawashauri chadema na wao waombe pesa za wazungu wawasomeshe vijana ili iwe kivutio kwao. Vyenginevyo...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa: Mzee Wassira utakuja kumeza maiki. Tuambie Deusdedith Soka yuko wapi?

    Wakuu, Ni wazi kuwa kwa sasa huyu CHADEMA imeanza kazi rasmi ya kuwapopoa CCM na hii ni baada ya Mahinyila leo kumuwashia moto Wassira ========================== Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Wakili Deogratius Mahinyila akizungumza katika mkutano wa hadhara na...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa zamani wa Sumbawanga: Viongozi msing'ang'anie kukaa bungeni muda mrefu

    Mwanasiasa mkongwe aliyewahi kuwa M bunge wa Sumbawanga, Paul Kimiti, amesema wanasiasa wanatakiwa kukaa bungeni kwa muda maalum na kuondoka wakiwa bado wanahitajika na wananchi, badala ya kusubiri hadi wachokwe. Kimiti amesema si vizuri kukaa muda mrefu bungeni, na kwamba hata yeye aliamua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…