ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Wakuu, Maelfu Kwa maelfu ya watu eneo la Gairo wamsubiria LISSU kuanzia Asubuh mpaka Jioni alipopita, CCM imeanza kuvikamata vyombo vya habari

    Hivi nyie vyombo vya habari, nyie sindo CCM ilikua inawafungia ? Na kuwawekea mitozo mingi na migharama mingi kwenye kuanziasha hizo Online TVs ? Mmeshajisahau. Kesho ni Mkutano Mkubwa wa LISSU , ila nauhakika Online TVs na Main Media zitajifanya kuupotezea Kwa sababu ya mlungura, biti na...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwijaku wa Kenya asema yeye sio chawa tena bali ni Balozi wa Rais Samia. Uchawa unaenda kuwa anguko la Samia!

    Wakuu, Kwa jinsi mambo yanavyoenda uchawa unaenda kuwa anguko la CCM. Rais Samia unaweza usiwe na ufahamu mkubwa kupambana na mavitu complex, lakini hata hili dogo la uchawa unaacha mpaka linakuwa out of hand namna hii? Anayekushauri anakupotosha, hawa machawa ndio watakuja kutumika dhidi...
  3. JamiiForums Tanzania One on one Interview: Mch. Godfrey Malisa (anayesemekana kufukuzwa CCM) akifungukuka. Asema wamevunja katiba, hawafai kuwa viongozi tena..!!

    https://youtu.be/-NdDsArLVlU?si=eH35yrxDVCmdL3QM ➡️Huyu mzee anayesemekana kuwa amefukuzwa uanachama CCM, ni wazi kuwa yuko so determined kuhakikisha kuwa mchakato wa kumpitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea urais huko CCM unarudiwa kwa kufuata taratibu na katiba...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM Vwawa ashauri Afrika iungane na kuwa taifa moja ili kupunguza umasikini wa Watanzania

    Mbunge wa Vwawa (CCM), Japhet Hasunga, amemsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayofanya katika kuleta maendeleo nchini, akisisitiza kuwa ni kiongozi shupavu anayehakikisha Tanzania inapiga hatua. Akizungumza bungeni wakati wa kuchangia hoja, Hasunga alipendekeza kuwa Afrika iungane...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Nchimbi: CCM kuendelea kuimarisha ushirikiano wa ndani na nje

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza dhamira yake ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa ndani na kimataifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. CCM ambacho ni chama tawala nchini kimeeleza kuwa kitasimamia Serikali...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwita Waitara: Kuna uwepo wa hujuma zinazofanywa na viongozi wa CCM Jimboni kwangu ili ni sishinde Ubunge

    Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amedai kuwa kuna uwepo wa hujuma zinazofanywa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimboni kwake zenye nia ya kuhakikisha hashindi kiti cha ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  7. JamiiForums Tanzania CCM msitumie Machawa kumjibu LISSU, ni Heri kua kimya, Ubaya wa Lissu anazungumza Ukweli na Haki, ni ngumu mno kujibizana naye

    Ukubali, Ukatae, Huyu LISSU ni Gifted, Brilliant, ana akili Nyingi mnoo, ana upeo Mkubwa sana alafu Ndani yake ana Nguvu kubwa ya Kiroho. Haingii Akilini Risasi 16 MTU anatoboa ,alafu bado umchukulie poaa, watu Huwa wanaondoshwa na Risasi Moja au Mbili !!. LISSU hatua alofikia ni ASOOGOPA...
  8. JamiiForums Tanzania Hatimaye! Lissu na CHADEMA wafanikiwa kuwashika CCM pabaya!

    Kuendekeza njaa na maslahi binafsi kwa wana CCM kumekifanya chama hicho kuwa kwenye wakati mgumu sana kupingana na hoja ya CHADEMA na Lissu kuwa No Reform No Election. Utafiti wangu umeonesha kuwa suala la No Reform No Election lilitangazwa na CHADEMA linawapa wakati mgumu sana CCM kwa sababu...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UWT Taifa: Lissu asiitishie serikali ya CCM "atulizane"

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi. Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  10. K

    JamiiForums Tanzania CCM ni kama Wasira na Chadema ni kama Heche

    CCM ni kama Wasira chama kilicho zeeka lakini kinafikiri bado ni kijana. Chama kilichojisahau na kufikia wakati sasa wanaona hata chaguzi sio lazima kama una Polisi na Usalama. Chama ambacho kinafikiri vijana wote ni wasanii! yaani wakiweka wasanii machawa watapata support. Chadema ni kama...
  11. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Ahmed Djellal,

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, Jumatano tarehe 12...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanahoji uteuzi wa wagombea wa CCM?

    Mwl. Nyerere aliwahi kusema, "kama CCM ikimtangaza mgombea wake huyo ndiye atakaekuwa Rais". Hivyo alitaka wagombea wa CCM wajulikane mapema ili watu wapate muda wa kuwajua na kuwajadili kwa muda mrefu kabla ya kuteuliwa na kabla ya siku ya uchaguzi. CCM wamefanya hivyo alhamdulilah kwa wagombea...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu anaipa ushindi CCM mapema sana

    Kwanza,kwenye chama chake tu kuna watu zaidi ya 40% hawamkubali,hiyo imethibitika kwenye uchaguzi mkuu wa chama,hata kama atapambana kuwarudisha, hutawarudisha wote.wengine atakua nao ila hawatakua upande wake abadani,na huo ndio ukweli akubali ukatae! Hoja ya kugomea uchaguzi na kutangaza...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyefukuzwa CCM baada ya kupinga Rais Samia kupitishwa mgombea pekee urais agoma kuondoka CCM

    Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais yako sahihi. Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili...
  15. JamiiForums Tanzania Mabeberu wanaisadia CCM au CHADEMA?

    Serikali ya Tanzania kwa sasa inaendeshwa na CCM. Kwa ivo kila jambo linalotendwa na serikali hapa nchini ni lazima iwe ni matokeo ya maelekezo ya CCM. Hivi karibuni Serikali ya Marekani chini ya uongozi wa Donald Trump imezuia misaada Kwa nchi mbali mbali duniani kupitia shirika lake la...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wasira ana haki ya kusinzia, tusimlaumu. Asema CCM inarejesha Viongozi waliochoka

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira ana haki ya kusinziaa kutokana na umri wake mkubwa na kuwataka wananchi wasipoteze muda kumjadili. Akizungumza katika...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Joseph Mahando: Kisheria CCM hawajakosea kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea pekee

    Wakuu Wakili wa kujitegemea Joseph Mahando atoa ufafanuzi wa kisheria kwa mujibu wa katiba ya nchi na katiba ya CCM ni kuwa chama hicho hakijakosea hata kidogo kumpitisha Rais Samia kuwa Mgombea pekee wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu 2025 katika ngazi ya urais. Pia, Soma: Aliyefukuzwa...
  18. JamiiForums Tanzania Utafiti wa Uchaguzi wa Madiwani: Changamoto na Sababu za Kutokuchaguliwa kwa Madiwani wa CCM October 2025

    Katika utafiti uliofanyika nchini, kupitia kila kata, imebainika kuwa madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliochaguliwa chini ya utawala wa Rais Magufuli, meaka 2020, kwa asilimia 90 hawataweza kuchaguliwa tena katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Hii ni kutokana na sababu mbalimbali...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Waondoleeni wananchi hofu dhidi ya matendo ya CCM,vitisho na kusakamwa na CCM

    Ukikaa na wananchi wengi wanaunga mkono mabadiliko na wanatamani sana madadiliko nchini, wamechoshwa kabisa na mambo ya CCM pamoja na ubinafsi wa CCM , ila tatizo kubwa ambalo kama chama mnatakiwa kulifanya ni kutafuta namna ya kuiondoa hofu iliyopo ndani ya wananchi dhidi ya matendo ya CCM...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza anaiponda CCM na wanasiasa wa siku hizi kupitia Sauti ya Ujerumani muda huu

    Anaponda kauli ya CCM wanayosema CCM itakaa madarakani hadi Yesu atakaporudi Wanasiasa wanaoelewa nini maana ya siasa wamekwisha sasa Anazungumzia hofu kubwa za kutekwa kwa watanzania kutokana na kuwa na mawazo tofauti na serikali 4R imetekwa na hakuna utekelezaji tena Walio madarakani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…