Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Kama upinzani utakomaa na no reform no election ni rasmi vituo vya kupiga kura vya kawaida kutatokea vurugu ambazo zitaharibu utulivu na polisi hawawezi tuliza ghasia vituo vyote nchi nzima!
Namna pekee ni kutumia vifaa vya electronic kama sim kupiga kura,yaani Kila raia mwenye sifa za kupiga...
Katika muktadha wa siasa za Tanzania, moja ya changamoto kubwa inayokabili nchi ni muundo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Muundo huu umejenga hali ambapo ni vigumu kutofautisha kati ya CCM na serikali.
Katika nafasi za kiutendaji, kichama, na kiutawala, kuna ukaribu mkubwa ambao unakwamisha...
Nimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM.
Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM.
Kujitokeza kwa...
Gwajina yupo CCM kwa nguo tu Moyo wake upo upinzani. Heche anaongea haya haya lakini machawa wamampiga madongo Je anayo ongea Gwajima hapa anampinga nani?
https://youtu.be/2gvSQKmNeWw?si=xBlSbTN1zgqnahP_
Makada nane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Buchosa wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hii imetokana na kuridhishwa na kazi zinazotekelezwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo.
Miongoni mwa...
Mkuu wa Mkoa ni kiongozi wa watu wote, taasisi zote na vikundi vyote. Anapokuwa anatumia pesa ya watu wote kuwapa Tabora United inayoshiriki ligi kuu sawa na timu nyingine sio sawa. Hii ni tofauti na goli la mama ambalo linatolewa kwa timu yoyote inayoshiriki mashindano makubwa. Mkuu wa mkoa...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa No reforms No election ni ya Watanzania wote ndiyo maana hadi viongozi wa dini wanaiongelea. Kama wewe huungi mkono mabadiliko maana yake unaiunga mkono CCM.
Ikumbukwe kuwa kuna kundi huko CHADEMA limesema wao hawaungi mkono Ajenda hii na...
Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa, wakati akiomba kura za uenyekiti na kunadi sera zake kwa wajumbe mnamo Novemba 21, 2022. Alidai kuwa CCM mkoani humo kimekata pumzi na hawawezi kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2025 kwa Chama kilichoishiwa pumzi.
DEo Mushi kada wa Chama cha mapinduzi(CCM)ameshinda vita kubwa dhidi ya tajiri mtoto wa mwanasiasa mkongwe(marehemu)Philemon Ndesamburo aitwaye Thomas Philemon Kiwelu ambaye amekuwa katika jitihada za siku nyingi za kupora eneo la shule ya msingi Wereni iliyopo kata ya Kibosho Magharibi wilaya...
Diwani wa Mchoteka kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Seif Dauda pamoja na Katibu wa Wilaya ya Tunduru, Said Mponda na baadhi ya wanachama wa chama hicho, wamejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) Jumatano, Aprili 2, 2025.
Tukio hilo limetokea katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM, Dk...
Endapo mwaka 2040 nikitangazwa Kama Rais
Nitafuta
Kamali
Simba
Yanga
Ccm.
Pia wakamalia wote watafungwa gerezani mwaka mmoja .
Na sitoruhsu unywaji wa pombe bali wine tu
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara,Stephen Wassira alifanya ziara katika mkoa wa Simiyu kuanzia Machi 28-30 mwaka huu kwa kutembelea wilaya zote za mkoa huo ambazo ni Maswa, Meatu, Itilima,Bariadi na Busega.
Akiwa wilayani Maswa ambapo akizungumza na wanachama wa Chama Cha...
Dada na kaka wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama vile KANU, MCP, UNIP na wengine walishasahaulika. Ajabu, CCM bado inatesa.
Je, pamoja na ukale wake kiutawala na kisera, nini siri ya CCM kuendelea kuwa madarakani. Ina maana watanzania wanapenda mambo ya kikale kuliko ya kisasa?
Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, mkoani Ruvuma imeanza kwa kishindo, huku mamia ya wanachama wa vyama vya upinzani wakihama na kujiunga na CCM.
Katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jumatano, 2 Aprili 2025, katika Uwanja wa Shule ya Msingi...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho tayari kimejipanga kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Ukitazama hali halisi ilivyo sasa ni wazi kabisa matajiri, watu wenye uchumi mzuri, biashara kubwa, na watu wa serikali ndo wanaridhika na mwenendo wa serikali kwa sasa. Sasahivi wanasukuma magari ya mill 300 na 400 kama wanaigiza ila ndo kweli hivo.
Kula kwa urefu wa kamba ndo slogan ya...
Sikumbuki tarehe ila ilikuwa kati ya mwezi wia 9 au wa 10 hivi 1995 nikiwa na miaka 8 hivi kwenye kitongoji chetu walikuja watu waliovaa nguo za kijani na njano wakitokea wilayani kuja kutuwekea muziki na kisha baadaye kuanza kuongea.
Wale watu nilikuja kuwakumbuka baadaye kidogo nilipokuwa ...
𝗗𝗞𝗧. 𝗡𝗖𝗛𝗜𝗠𝗕𝗜 𝗞𝗨𝗔𝗡𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗨𝗡𝗚𝗨𝗥𝗨𝗠𝗔 𝗠𝗞𝗢𝗔𝗡𝗜 𝗥𝗨𝗩𝗨𝗠𝗔
𝙉𝙞 𝙯𝙞𝙖𝙧𝙖 𝙮𝙖 𝙠𝙞𝙠𝙖𝙯𝙞 𝙮𝙖 𝙨𝙞𝙠𝙪 5
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi , anatarajia kuanzia ziara yake ya kikazi katika Mkoa wa Ruvuma ambapo tarehe 2 Aprili 2025 atakuwepo Tunduru, 3 Aprili atakuwepo Namtumbo, 5 Aprili...
Kama wewe uko ndani ya CCM na unategemea kupata vyeo au kuwa mkubwa huko mbeleni eti kwa kuwasifia Viongozi wako na kuwatukana Viongozi wa upinzani,basi sahau,maana utakuwa kama Lucas Mwamshamba,
Njia rahisi wewe nenda upinzani,hasa Chama Cha Chadema,vumilia kule hata miaka mitano halafu anzisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.