ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Mkumbo afananisha tuzo aliyopewa Rais Samia na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, asema haya nimafaniko ya CCM

    Wakuu Mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, ameifananisha tuzo Maalum ya Kimataifa ya 'The Global Goalkeeper Award' aliyopewa Rais Samia Suluhu Hassan na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, akisema ni ushindi mkubwa kwa Tanzania na mafanikio ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma, Pia: Rais Dkt...
  2. JamiiForums Tanzania Hongera CCM kwa Kutimiza Miaka 48: Haya ni Baadhi ya Mapungufu Yenu

    Leo Februari 5, Chama Cha Mapinduzi kimetimiza miaka 48 tangu kianzishwe. Chama hicho kinaadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwake mkoani Dodoma ambako Mwenyekiti wake wa Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan ni mgeni rasmi. Kwa vile takriban wiki nzima kabla ya sikukuu hiyo, viongozi na wanachama wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huu ndiyo ubunifu wa wasanii au ni kujitoa akili?

    Wakuu nimeona Msanii Stan Bakora akiwa na mwijaku wanaigiza kama wamepatwa na kichaa huku wanagalagala chini, lengo likiwa ni kusheherekea miaka 48 ya CCM. Soma pia: Pre GE2025 - Wasanii wanahamasisha vijana kushiriki UVCCM marathon, ila kwenye baadhi ya mambo mfano kutekwa kwa raia wapo kimya...
  4. JamiiForums Tanzania Katika Siasa za Sasa je Wasira alitakiwa kuwa Makamu wa Mwenyekiti wa CCM?

    Wakuu ,Nimefuatilia hotuba za Mh Wasira anapokuwa katika majukwaa nikajiuliza je amechelewa kuwa Makamu Mwenyekiti??Je ni kwamba CCM hawana mtu mwingine katika kushika wadhifa huu ambaye bado anaweza kwenda na Kasi? Kama aliyekuwepo ana miaka 70+ Na akaona sasa niwakati wa kupumzika ila...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CCM nia yetu ni kuwapatia Wananchi maisha mazuri, huwezi kuwa na nchi watu wanatembea uchi

    Wakuu Mzee Stephen Wasira anasema nia ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kuwapatia Wananchi Maisha mazuri, huwezi kuwa na nchi watu wanatembea uchi. Soma, Pia: Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo halafu Watanzania waamue, adai CHADEMA kwasasa imekatika "Sisi, CCM sera yetu ya ki-socialist, nia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Picha zinajieleza CHADEMA Vs CCM

    CCM vs CHADEMA. Picha ipi hasa imeelekea kuongoza nchi kwa amani. Utulivu? CCM wamekalia hasa kiongozi uongozi, picha inajieleza, pia hekima na busara uongozi wa CCM CHADEMA ya Lissu imeelekea uharakati harakati zaidi na kukosoa kosoa. Katika suala la kujenga amani nchi yetu CHADEMA ya Lissu...
  7. W

    JamiiForums Tanzania CCM inahitaji kufanya reform

    👉Kwa Nia njema Nina Machache kuhusu maadhimisho ya kuzaliwa kwa Chama changu Cha Mapinduzi (CCM), niseme tu kwamba CCM inahitaji kufanya 'Reform' yaani Mageuzi au Mabadiliko ili kutengeneza ari na mwamko mpya wa Chama na kuleta mvuto kwa wanachama wake pamoja na watu wengine wasio wanachama wa...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanachama UWT: CCM haina haja ya kujielezea maana imeshatekeleza kila kitu

    Mwanachama wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Jamila Ally Ashery kutoka wilaya ya Dodoma Mjini amesema CCM ikisherehekea miaka 48 inajivunia rekodi ya kutekeleza Ilani ya uchaguzi kupitia Wizara mbalimbali za Serikali. Ameongeza kuwa, uteuzi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Special Thread: Matukio ya Rafu za uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, Wakati tunaeleka kwenye Uchaguzi Mkuu ambao tutachagua Madiwani, Wabunge pamoja na Rais mengi hutokea kabla ya kuwapata viongozi hao. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wanatengeneza "elite clique"?

    Watu mnaojua kiingereza mnaweza kunisahihisha kama neno nililolitumia siyo sahihi. Kiranga na Nyani Ngabu msaada tutani. Kwa mtazamo wa kijuujuu huwezi kuona kinachotengenezwa na CCM hasa viongozi wake wa juu. CCM inatengeneza aina fulani hivi ya usultani ndani ya chama hicho na Kwa nchi kwa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zanzibar: Katibu Uenezi CCM aridhishwa na zoezi la Uandikishaji wapiga kura

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar, Mbeto Hamis amesema zoezi la uandikishaji wa wapiga kura katika Wilaya ya Micheweni, Zanzibar linalomalizika leo limefanyika kwa ukamilifu wa hali ya juu na kwamba wao kama chama, wameridhishwa. Soma, Pia Special...
  12. JamiiForums Tanzania Katika sherehe za miaka 48 ya CCM Ludewa, mbunge ahaidi kukamilika kwa ujenzi wa shule ya sekondari mwezi Machi wanafunzi wasisafiri umbali mrefu

    Serikali imeanza kujenga shule ya Sekondari Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe ili kupunguza adha ya watoto kusafiri umbali wa takribani Km 15 Hadi Manda Sekondari na Km 30 Hadi Mchuchuma kupata elimu. Kwa hatua za awali Tayari madarasa mawili yapo mwishoni kukamilika na Mbunge wa Jimbo la...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: CCM yachangia madawati Shule ya Sekondari Mgwashi

    Katika kusherehekea miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga na Mjumbe wa Kamati Kuu, Rajabu Abdulrahaman, ametembelea katika Shule ya Sekondari Mgwashi iliyopo Korogwe Vijijini Kata ya Mngwashi na kutoa mchango wa shilingi milioni saba (7,000,000) kwa...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni Job Ndugai pekee anaeweza kuishake CCM uchaguzi ujao! Muhimu ni wapinzani kuungana wamshawishi awe mgombea kupitia CHADEMA

    Wenzetu huko Ulaya ukigombea mara Moja ukashindwa hutakiwi kugombea Tena. Ni Tanzania pekee ambapo mtu anagombea Kila mwaka. Leo badala ya kutafuta chuma kipya Cha kuitikisa CCM. Bado tuna mawazo mgando ya kutaka Freeman au Lissu wagombee Tena kwa sera zipi mpya? Watu wamemzoea na hana jipya...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtwara: Vijana watakiwa kutumia vizuri mitandao ya kijamii kwa manufaa ya CCM

    Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaenda kutimiza miaka 48 tangu kuanzishwa kwake vijana wameshauriwa kutumia kwa faida mitandao ya kijamii ili iwanufaishe kwenye shughuli zao na shughuli za kichama. Soma Pia: Mtwara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Akizungumza kwenye hafla...
  16. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii wanahamasisha vijana kushiriki UVCCM marathon, ila kwenye baadhi ya mambo mfano kutekwa kwa raia wapo kimya

    Hivi kwani ukiwa msanii ni lazima u support CCM wakuu? Jamaa kwenye mambo ya chama wapo mbele sana ila kwenye mijadala muhimu kuhusu taifa wapo kimya yani inshort ni kama roborts jamaa. Mastaa wa Hiphop na Bongofleva, Fid Q, AY, Chege na Madee wameungana na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma: Maadhimisho ya Kuzaliwa Kwa CCM 05 Februari, 2025 kutakuwa na uji bure kwa wananchi

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Rosemary Senyamule Amewaomba Wakazi wa Dodoma na Wananchi Wote Kwa Ujumla Kufika Mapema Katika Maadhimisho ya Kuzaliwa Kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Yatakayo Fanyika Katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma Tarehe 05 Februari 2025. “Hapa ningependa kutumia nafasi hii...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani, CCM mna mgombea wa kukabiliana na mabadiliko yanayokuja duniani kupitia Rais Trump?

    Hellow Tanganyika, USAID inadaiwa kufutwa, makampuni Toka nje yanafunga ofisi, misaada ya madawa inaondoshwa nk nk Nawauuliza swali dogo tu, maana muda Bado upo na uchaguzi haujatangazwa Bado, hivyo kutangaza wagombea sasa Bado Si HOJA sana, mabadiliko yaweza fanyika. Tujiulize yafuatayo; 1...
  19. JamiiForums Tanzania Kama CCM imeshindwa kuisimamia katiba ya chama chake, inawezaje kuisimamia katiba ya nchi?

    Utangulizi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na historia ndefu na yenye umuhimu katika siasa za Tanzania. Hata hivyo, kwa miaka ya hivi karibuni, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu ufanisi wa CCM katika kusimamia katiba yake yenyewe. Hali hii inatupa swali muhimu: kama chama hakiwezi...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee

    Wakuu Katibu wa CCM Wilaya ya Rufiji Prudence Sempa amesema atalifanyia kazi Ombi la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji la kuwataka kumpitisha Mbunge Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee wa Ubunge kupitia CCM. Bw. Sempa alitoa kauli hiyo baada ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji Abdul...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…