ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Naichukia CCM ila sioni utayari wa Watanzania kuiondoa madarakani.

    Kati ya Watanzania zaidi ya millioni 60 huenda ni Watanzania laki 5 tu ndio wako tayari kuiondoa madarakani CCM, wengine wapo tu kufuata upepo. Atakayewapa kula siku ya uchaguzi huyo ndiye watampa kula. 0.0001% ya Watanzania ndio wana moja mbili tatu kuhusu Tanzania na siasa . Ila majority ya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania CCM mtajibu nini kwa Mungu?

  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi ni kweli CCM mmemtuma Msemaji wenu Amos Makalla aseme huu UCHAFU ambao kiukweli unawatia AIBU?

    Nimejiuliza maswali mengi sana na nimebakia tu kuwa na Aibu kwani CCM ni Chama ambacho nakishabikia (japo siyo Mwanachama) na yawezekana kwa huu UCHAFU ambao uko Ubongoni mwa Msemaji wa CCM Amos Makalla ukanifanya niendelee kuwa Mzito wa kutaka kuwa Mwanachama halali wa CCM. Hivi CCM ambaye...
  4. JamiiForums Tanzania Kauli zinazotolewa na CCM azichukuliwagi hatua tofauti zile zinazotolewa na upinzani

    Dokta silahaa alitoa kauli kuhusu hoja yake lakini jeshi la polisi liliwahi kumkamata sababu ya kauli. Zipo kauli nyingi ambazo vyama pinzani utoa lakini ni za kujenga hoja na kukosoa pale serikali na chama kilichopo madarakani zitakapo kuwa zimekosea. Kitendo cha Amos makala kutoa kauli...
  5. JamiiForums Tanzania Wanachama wa CCM wanakiri wazi wazi kuwa Wasira na Makalla ni mizigo mizito kwa Chama chao, hawatoshei kabisa

    Kama kuna vitu vya ovyo ambavyo vimewahi kufanywa na mwenyekiti wa CCM katika utendaji wa CCM basi huenda ni uteuzi wa Stephen Wasira kuwa makamu mwenyekiti wa CCM na Amos Makalla kuwa katibu mwenezi Wanachama wa CCM taifa. Wanachama wa CCM wengi kwa sasa wanakiri wazi wazi kuwa hao jamaa ni...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Milioni 178 kutumika kujenga maduka ya CCM Iringa

    Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Iringa Mjini kimezindua mradi wa maduka 22 yenye jumla ya thamani ya Milioni 178 ambayo yatakayokwenda kutoa huduma mbalimbali Kwa Jamii pamoja na Kuongeza Mapato ya ndani ya Chama. Akizindua mradi huo Machi 23, 2025 tawi la stendi Kuu, Kata ya Kitanzini, Wilayani...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM B Ndani ya Chama Cha Upinzani, kushindana na CCM A , Inawezekana akina Bishop Gwajima , Mpina , Kuhamia Chama kidogo Cha Upinzani!!

    No Reforms ,No Election unazidi Kutia watu matumbo joto. Inasemekana, MFUMO unataka kuwalazimisha baadhi ya WANACCM wale wanaoonekana Timu Magufuli , Kuhamia Chama chochote Cha Upinzani , wawape na Ufadhili mkubwa wa Kampeni . Kampeni zitainanga sana CCM, chama hiki kidogo kitaonekana chama...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wasema kauli ya Makalla kuhusu CHADEMA kuingiza Ebola Tanzania, inafukuza watalii

    CHADEMA inamshutumu Amosi Makala ikidainalieleza Uma kuwa CHADEMA ina mpango wa kununua Virusi vya kuangamiza Wanachama wa CCM. ========== Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeagiza wanasheria wake kuwafungulia mashtaka, waliohusika kusambaza taarifa zilizodai kuwa CHADEMA...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuhusu madai ya kubeba wanachama wa CCM. Polisi Simiyu wasema walisaidia kubeba Wananchi walioharibikiwa gari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekanusha madai kuwa gari lake lilitumika kubeba wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo Machi 22, 2025, kama ilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi hilo, gari la polisi lenye namba PT.4342 lilikuwa likitoka Wilaya ya...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godfrey Sitta: Katibu wa CCM Meatu amenunuliwa na mfanyabiashara mkubwa, amekua akisumbua kwa kugawa hela mchana na usiku kukigawa Chama

    Kada wa CCM, Godfrey Sitta amedai kuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu, Naboth Manyonyi amenunuliwa na mfanyabiashara mkubwa ambaye amekua akisumbua kwa kugawa hela mchana na usiku na kukigawa Chama na matokeo yake 'tutaingia vita ya sisi kwa sisi' na kuwapa wapinzani nafasi.
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simiyu wamuomba Rais Samia akafanye ziara huko

    Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Simiyu kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara katika mkoa huo, kwani wananchi wake wana shahuku kubwa ya kumuona na kumpa shukrani kwa kazi kubwa ya utekelezaji wa miradi mingi ya maendeleo ndani ya mkoa huo. Ombi hilo limetolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwezi wa Ramadhan umegeuzwa kuwa mtaji wa wanasiasa wa CCM, hongo ya kufuturisha imevuka mipaka sasa

    Wanasiasa wanapigana vikumbo kuhonga wapiga kura kwa mtindo wa kufuturishwa katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan. Kuanzia mtia nia wa udiwani, ubunge mpaka urais wote wako kwenye kapu moja, ni kuhonga futari tu kwa kwenda mbele. Haijalishi mtia nia ni muislamu au sio muislam, ni...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CCM inakuja na ilani yake ya uchaguzi mkuu , ambayo itakuwa na majawabu ya changamoto mbalimbali za vijana

    Chama Cha Mapinduzi CCM kimesema ilani yake ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu, itakuwa na majawabu ya changamoto mbalimbali za vijana ikiwemo namna ya kutatua changamoto ya ajira. Hayo yameelezwa leo Machi 22, 2025 na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira alipokuwa akiwahutubia...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 MNEC Ussi: Lissu asitugawe sote ni Watanzania

    Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa kupitia kundi la vijana kutoka Zanzibar, Muhsin Ussi , amesema wao kama vijana kazi yao kubwa ni kulinda amani ya nchi na kwamba hawatamvumilia yeyote atakaye thubutu kuharibu amani ya nchi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
  15. JamiiForums Tanzania Muda wa Kuanza Kurudi kwa Wajumbe Umekaribia; This time usiende kizembe!

    Aisee, Comrade! Unajua fashion ya kitaa ni identity yetu, right? Sasa, iMart Discounts Kariakoo wameleta kitu kitamuuu, hii kitu ni ! Jezi hii ya kipekee, yenye picha ya Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan, inapatikana hapa Kariakoo. Hii sio tshirt ya kawaida, ni moto sana! Ni kielelezo...
  16. 4

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reform no election, CCM mtashidana ila hamtashida

    Wakuu amani ya Mungu ikawe juu yenu na kila mmoja kwa Imani yake. Mungu ananiambia ,akili yenu yote mmejikita namna ya kutoka kwenye hili la no reform no election. Sasa Mungu anawambia wazi mipango yenu ya giza au ya kheri ipo wazi , na rada ya Mungu ipo popote pale mpangapo maovu juu ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukitaka kujua CCM haifai na inatakiwa kuondolewa madarakani, tembelea nchi nyingine

    Ukitaka kujua CCM haifai na inatakiwa kuondolewa madarakani tembelea nchi zingine na wala usiende mbali, nenda tu hapo Zambia utajifunza yafuatayo 1. Bando la elfu moja Zambia ni Gb 1 na utatumia kwa muda mrefu kwani haliishi haraka na nter net ni ya kasi. Tanzania kwa elfu moja unapata...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa walimu wenzangu: uchaguzi 2025 tuikatae CCM na iwe fursa ya kuiadhibu

    Miaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kigoma yapiga marufuku kampeni za mapema kabla ya Uchaguzi Mkuu

    Chama Cha Mapinduzi CCM kupitia kwa Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Deogratius Nsokolo kimepiga marufuku wanachama wote walioanza na wanaotarajia kuanza harakati za kujinadi kuelekea Uchaguzi mkuu kabla ya muda kutangazwa Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Viongozi wa CHADEMA wamekiri kushindwa Uchaguzi, waogopa, wakubali ushindi wa kishindo CCM

    Wakuu Je, Ni kweli viongozi wa CHADEMA wamekiri kushindwa Uchaguzi, waogopa, wakubali ushindi wa kishindo CCM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…