ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM anguko lenu haliko mbali,Mungu hachelewi na wala hawahi hujibu kwa wakati

    Hiki mnachokifanya na mnachowafanyia watanzania wenye akili timamu kitawarudia. Karma is real. Kama mnadhani watanzania ni wajinga na waoga wote,jibu ni hapana. Ni kweli mtaji wenu ni baadhi ya watanzania kuwa na sifa hizo lakini si wote. Ujinga na uzandiki mnaofanya nyie siyo wa kwanza...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Babu Tale agawa kanga kwa wafuasi wa CCM huko Morogoro

    😁 Hili li nchi ni kichekesho , yaan kuitamaza Tanzania wakati ukiwa unaishi taifa lingine , nikama umepata ofa ya kutizama stand-up comedy Bure. Siasa za kipumbavu sana!
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Tanzania ingeamua kuwafunga wanasiasa waongo, karibu viongozi wote wa CCM wangekuwa jela, Amos Makala kifungo cha maisha kwa kauli ya Ebola!

    Naona mashitaka dhidi ya Lisu yamejikita kwenye mambo mawili; kwamba amesema uongo na pili uhaini. Kwanza, kusema uongo; kama kweli serikali ya Tanzania ina umakini wa kiasi hicho kuhusu wanasiasa kusema uongo, iweje Amos Makala hadi leo yupo nje anadunda tu baada ya kauli zake za kusema...
  4. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kabla ya kutumia vyombo vya dola kuumiza Watanzania mngejiuliza kwanini upinzani unaungwa mkono kwa hiyari na CCM inalazimisha kuungwa mkono.?

    Nadhani njia nzuri ni kujitafakari kwanini upinzani uungwe mkono kwa hiyari na huku CCM ikitumia Rushwa ,wasanii maarufu na watu maarufu, vitisho na mitutu ya bunduki kulazimisha kukubalika? Mjitathimini tu. vita yenu si vita mnayo pigana na upinzani bali ni vita mnayo pigana na watanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Enyi Kanisan Katoliki,Dini ilikuapo kabla ya Serikali , hiyo michango na Pesa za CCM mnazozipokea, ndizo zinawafanya Watawala kuwadharau!!.Zikataeni

    Kiongozi akitoa Rushwa za ujenzi, kukamilisha Makanisa yenu, Muikatae waziwazi . Mlipiga kelele, kuhusu Bandari, mkapiga kelele kuhusu Ngorongoro, mnapiga kelele kuhusu Uchaguzi, huko kote mnadharaulika na kupuuzwa kiasi mnaambiwa "Acheni kudandia dandia". Soma Pia: Rais Samia Achangia Milioni...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania wenzangu, tusipoamka sisi na kufunguka fahamu zetu, CCM wataendelea kutuona kama "toilet paper"

    Watanzania wenzangu, tusipoamka sisi na kufunguka fahamu zetu, CCM wataendelea kutuona kama "toilet paper". Watatutumia wapendavyo na kututupa. Hakuna cha maana zaidi hawa watu wanaweza kututendea kama taifa. Fikra zao zimefika ukomo. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanachama CCM: Kazi ya CCM ni kuboresha huduma za wananchi wake sio kudai serikali

    “Sisi tutaendelea kueneza mazuri ya viongozi wetu na mazuri ya chama chetu ili tuweze kuungwa mkono kwasababu kazi ya CCM ni kuboresha huduma za wananchi wake sio kudai serikali serikali tunayo sisi....." Abdul Kambaya - Mwanachama wa CCM
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bila Polisi CCM wepesi kama karatasi

    Anachotendewa mheshimiwa Lissu ni ushahidi wa wazi kuwa CCM uwezo wake mdogo sana kisiasa, na bila mabavu ya polisi hawewezi kudumu kisiasa hata kwa mwaka mmoja!. Wamepigwa operesheni moja tu ya NO REFORMS NO ELECTION, wamekimbilia polisi. Hii ikuonyeshe kuwa hiki chama ni genge la watu wepesi...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu amekamatwa huku Zay Lissa na Manara wametrend ghafla! Focus Watanzania, Focus!

    Wakuu, Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa hadi muda wa ripoti ya CAG. Jana Lissu amekamatwa chaaaap saga la Manara na twiga wake likawa...
  10. JamiiForums Tanzania Wito Kwa CCM hasa kwa Viongozi waandamiizi

    Mchana huu nimeona nilele wito kwa CCM ili kuweka mambo ya kisiasa sawa huko tunakoelekea. 1. Jambo la kwanza ni kuhusu Mugombea wa Urais. Kikubwa ni kwamba - Mgombea urais hauziki kwa wananchi, ila anaeleweka kwa makundi yenye watu wachache mfano.. wafanya biashara na wasanii. Huku mtaani...
  11. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mradi wa maji uliogharimu Bilioni 5.2 wakamilika Mbarali. Haya ni maandalizi ya Uchaguzi?

    Wakuu, Naona miradi inaendelea kukamilika kwa kasi ya ajabu kabla ya Uchaguzi Mkuu. CCM theatrics zenu tunazijua ========================================== Mradi wa maji Luduga-Mawindi wilayani Mbarali Mkoani Mbeya awamu ya nne umetekelezwa kwa kutumia Mkandarasi GNMS CONSTRUCTIONS LTD...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Peneza Achangia Milioni 2.5 kwa ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wazazi CCM Wilaya ya Nanyumbu

    MNEC wa CCM Taifa, Ndugu Joseph Peneza, amechangia milioni 2.5 kusaidia ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Nanyumbu. Akiwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Jumuiya hiyo, Peneza pia alishiriki shughuli ya kuchimba msingi wa nyumba hiyo. Katika kuunga mkono jitihada za...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Asilimia 90 ya Watanzania wana imani na Lissu kuwa sio kibaraka wa CCM. Tofauti na Mbowe. Hii itawasumbua sana wanaCCM

    Wananchi wameanza kupata maono kama kuna mtu ameibuka kuwapambania juu ya maslahi yao na taifa lao. Tofauti na yule Jamaa aliyekuwa anaenda Ikulu kunywa juic za Ceres. Na hii inakuja kuleta upinzani mkubwa kwa CCM. Maana wananchi wanaiona CCM haina msaada kwao Idu wa Igunga.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mjane amtuhumu Mbunge wa Tanga, Ummy Mwalimu kwa kumtapeli shamba la ekari 40

    Mjane amtuhumu Mbunge wa Tanga, Ummy Mwalimu kwa kumtapeli shamba la ekari 40
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanachuo: CHADEMA haiwezi kuzuia uchaguzi, msimamo wetu CCM ni kushinda kwa kishindo

    Katibu Uhamasishaji wa UVCCM Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa, Akida Mnyamisi Akida akizungumza katika mahojiano maalum na kituo cha redio cha Nuru FM.
  16. JamiiForums Tanzania Baadhi ya maneno ya kufuru ya baadhi ya wana CCM!

    1)"Tuta Tawala Milele" Kumbuka Umilele ni wa Mungu pekee 2)"Tuta Tawala mpaka Yesu arudi" , Masihi wa BWANA anashirikishwa kwenye Siasa za ghiriba 3) "CCM kushinda sio lazima Mungu apende," Wanachagizana kuhujumu uchaguzi,wanaamini hata asiporidhia Mungu wanashinda. 4) "Unaiba kura Kwa njia za...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Kamba: Jokate ni nguvu mpya ya ushindi wa CCM 2025

    *JOKATE NI NGUVU MPYA YA USHINDI WA CCM 2025 * Kalamu ya: Mrisho H. Kamba – Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Wazazi CCM Taifa Ndugu Jokate Urban Mwegelo, Salamu nyingi za pongezi na heshima nyingi kwako. Natumaini ujumbe huu unakufikia ukiwa na afya njema na ari ileile ya kuwatumikia Watanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA

    Wanabodi Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe. Juzi na jana, Wahariri zaidi ya 200, ambao ni wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, toka vyombo vya habari vyote nchini, tumekutana kwa siku mbili mjini Songea mkoani Ruvuma, kwenye mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa TEF, ambapo wana...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yakamata mtandao, CCM yangu hoi

    Na Veronica France 🇹🇿 🇹🇿 Well, Dunia imebadilika sana, Dunia ya Leo Ktk Siasa lazima uwe na nguvu ya kudhibiti na kuendesha mitandao ya kijamii...huu Ni Wakati ambao tunaishihudia CCM ikiwa hoi bin taaban mitandaoni na Chadema ikishika Mitandao Yote, Nini Kimetokea? turejee Nyuma kidogo Katika...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Polisi ndio watakuwa wahusika namba moja kuzuwia uchaguzi 2025! Kwa nini...!

    Wakati polisi wakiwa mabarabarani kwa hasira kusubiri waandamanaji wa kuzuia uchaguzi ili kuwafyatulia maji ya washawasha na lisasi za moto, naamini haitakuwa hivyo! Watu watakwenda kwenye vituo vya kupigia kura kwa amani na salama kabisa na bila kujulikana ni kina nani watahusika katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…