ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Zanzibar yatoa onyo kwa watia nia kabla ya muda

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimesema hakitamvumilia mwanachama yeyote ambaye ataanza kujipitisha majimboni na kuanza kupiga kampeni kabla ya wakati. Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohammed Said Dimwa ametoa kauli hiyo Aprili 12, 2025 wakati akizungumza na kamati za siasa za...
  2. JamiiForums Tanzania Sioni haja ya CCM kufanya kampeni

    Ikiwa wanao wagombea na Tume kwann wanahangaika kufanya tena kampeni?
  3. JamiiForums Tanzania ACT ANAKULA CCM ANATAKA KULALA CHADEMA, MKATAENI

    COMEDY ZA NDUGU ZANGU ACT. Kwanza moja ya maombi makubwa ya ACT ni Chadema asishiriki uchaguzi, hii itampa nafasi ya kuwa chama kikuu cha upinzani na Zitto kuwa KB automatically. Hivyo Chadema wajue kabisa ACT wanalao kwenye hili. Pili, Chadema kwenye movement yao ya NO REFORM NO ELECTION...
  4. JamiiForums Tanzania CCM kushiriki uchaguzi bila CHADEMA no sawa na Profesa kishindana na Darasa la Saba!

    Unalionaje hilo? Profesa wa Hesabu akishiriki kwenye mitihani ya darasa la saba! 1. Akifurahia kufaulu atachekwa! Haitarajiwi darasa la saba amshinde Profesa. Bora hata kama angekuwa ni Ph.D. Holder 2. Akifeli tutamshangaa! Aliupataje Uprofesa wa Hesabu ikiwa Hesabu ya Darasa la Saba...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wahindi na warabu ndio wanao ilea CCM

    Watanzania amkeni hivi mnajuwa kwanini wahindi na warabu huwezi kuwaona wakishiriki kwenye harakati za kudai haki? Mwaka 1995 moja ya sababu mrema kuungwa mkono ni kwasababu alisema wahindi ndio wameshikiria serikali ya ccm chini ya mwinyi. Na kweli wahindi walifanya kila njia k. Kuhakikisha...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wengi walikuwa wanaipenda CCM kwa kuhongwa au kuhaidiwa vyeo,sasa huu uchaguzi ukweli unaenda kujulikana

    Yaani huu ndiyo ukweli mchungu, tunaenda kuona mmoja baada mwingine akijiondoa kimyakimya sababu hamna maslai tena, watabaki tu wafia chama,hamna kura feki,hamna mtu kukatwa sijui kakosea kujaza fomu,hamna mtu kuhongwa,hamna mtu kulalamika kaibiwa kura, Wasanii na machawa imekula kwao hakuna...
  7. JamiiForums Tanzania CCM sio wa kuwasusia, ni wakula nao sahani moja , maana hawana haya wala hawajui vibaya

    Ogopa ku deal na watu wasio na aibu, hawa watu hawana ustaarabu na hawawezi kujisikia mshipa wa aibu. Kama kulikua na madudu ya kupita bila kupingwa, kura ziliokotwa kama karanga kule kawe, wataona aibu mkisusa? Hapa wahuni wengi wanafurahia mana hawana upinzani na watapita bila kupingwa ...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini viongozi wa CCM hawana hofu na Mungu ?

    Habari zenu,Kuna kitu huwa najiuliza sana na kujadili kichwani mwangu.Viongozi wa CCM inapofika kipindi cha uchaguzi hofu ya Mungu inaondoka kabisaa,wanaamini kuwa Mungu alieumba Mbingu na ardhi hawezi kuwafanya chochote. Mimi nimeshiriki kusimamia uchaguzi toka 2010 lakini kila uchaguzi wao...
  9. JamiiForums Tanzania Washenzi walianza kipindi cha Nyerere mpaka kifo cha Sokoine wakiwa ndani CCM

    Ukiwa mchambuzi au mtafakari unaanza kupata kupata picha tokea kupata uhuru kuwa sisi ushenzi ulianza ndani tokea uhuru. Wale washenzi mfano wa mobutu seseko hapa kwetu wapo ndani ya chama tawala hawa kuwa kwenye uraisi ila wapo ndani ya chama tawala tokea historia. Uzimishaji wa mfumo kuhusu...
  10. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba awalipua Chadema, asema Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Mr. Kailima hajawahi kuwa mwana CCM

    Chadema waache kukurupuka. Bahati mbaya wengi wao elimu yao ya kuunga unga hawajafika Chuo Kikuu.... Wangemjua huyu profesa =========== Huyu ni Prof Michael Ndanshau, Mhadhiri Mwandamizi wa Uchumi wa muda mrefu wa UDSM, Amenifundisha mimi, amemfundisha Zitto Kabwe na wanafunzi wote...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, CCM itabidi ijiibie yenyewe baadhi ya majimbo na kuwapa wapinzani?

    Sioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election. Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Swali kwa CHADEMA: Suppose kesho CCM for that matter serikali inaamua kuweka tume huru kama mnavyopendekeza, mtafayaje?

    1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi. 2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi basically iwe kama mnavyotaka). 3. Mtafanyaje na mmeshajinyima sifa za kushiriki uchaguzi?
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Una miaka 30 huna kazi ya kueleweka, huna familia , huna assets yeyote halafu unaenda kuipigia kura CCM

    Una miaka 30 huna kazi ya kueleweka, huna familia , huna assets yeyote halafu unaenda kuipigia kura CCM miaka 30 ni mingi mno kijana dai mabadiliko acha kujifariji
  14. K

    JamiiForums Tanzania CCM hatimaye arubaini zake zimekaribia

    Nasema hivi nikiwa hai,kwa mwenye akili anajua kabisa watu wanaenda kutema nyongo zao, Yaani ukweli wa uovu wao CCM sasa uanenda kuanikwa kweupe.Watu wanaenda kuungana kwa waziwazi kuanzia Viongozi wa dini mpaka mtu wa mwisho kabisa ambaye ni mkulima kwa ajili ya kulikabili hili dubwana, maana...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wameshindwa kuelewa mtego Sasa twende taratibu

    "The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed." — Steve Bi Msemo huu unasisitiza kuwa usababua wengi ziamke. Ninaumia sana
  16. JamiiForums Tanzania Je Ndg. Ramadhani Kailima Mkurugenzi wa Uchaguzi (Katibu wa Tume) ni kada wa CCM?

    Kama ni kweli huyu aliyewasainisha vyama vya upinzani kwelikweli vyenye nia ya kuiondoa CCM madarakani kanuni za maadili ya uchaguzi ni kada wa CCM na hii ndio tume huru ya uchaguzi basi itoshe kusema watanzania tunachezewa mchezo mchafu.
  17. JamiiForums Tanzania Tumsikilize Askofu BANGONZA; CCM ni Refa na ni Mchezaji

    Tumsikilize Askofu hapo chini ; Well , kuna mmoja alihoji mbona Kenya iliweza kukitoa chama tawala kabla ya reforms ? - Kenya sio Tanzania, Kenya wapo mbele ya muda sana. Kwenye Uchaguzi Polisi na Jeshi huwa wanakuwa upande wa wananchi ndio maana walifanikiwa. Tanzania Jeshi na Polisi kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Ndani ya CCM hamna kabisa watu wenye Hekima, Busara na Akili wanaosikilizwa?

    Nmeshangaa tu. Kuna watu wazima wengi na wasomi. Hakuna ambaye ana hekima,busara na akili akaweza mwelekeza samia haya mambo?
  19. JamiiForums Tanzania ChatGP: Kwa nini CCM wanataka sana CHADEMA washiriki uchaguzi?

    Swali lako ni zuri na linahusu siasa za Tanzania kwa sasa. Kuna sababu kadhaa zinazoweza kueleza kwa nini CCM inaweza kutaka CHADEMA washiriki uchaguzi: Uhalali wa Uchaguzi (Legitimacy): Uchaguzi wa vyama vingi wenye ushindani wa kweli huonekana kuwa na uhalali zaidi ndani na nje ya nchi. Ikiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Othman Masoud Othman: Tumejitahidi kuleta maridhiano Zanzibar lakini wenzetu wameingia mitini

    Mwenyekiti wa Taifa Chama cha ACT Wazalendo. Othman Masoud Othman amesema wamefanya jitihada kubwa kuleta hali ya maridhiano Zanzibar kabla ya kuingia kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu kuepusha maafa yasiokua ya lazima lakini wenzao hawakua tayari na hali hiyo. Othman ambae pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…