ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Nchimbi amezungumza na wananchi wa Bunda aliposimama kuwasalimia akiwa njiani

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Bunda aliposimama kuwasalimia akiwa njiani kuelekea Musoma Jumanne - tarehe 22 Aprili 2025. Balozi Nchimbi leo ameanza ziara ya siku tano katika maeneo mbalimbali ya wilaya za Mkoa wa Mara.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Rais Samia na CCM kushidwa hoja kwa kiasi hiki

    Ni Aibu kwa Raisi Samia na CCM kushidwa hoja kwa kiasi hiki. badala ya kujadili hoja wanakimbilia kuwashika na kuwafungulia mashtaka wapinzani. Ni Mtanzania gani mwenye akili yake haoni yanayo endelea. Nani mwenye akili zake ataenda kupiga kura kwa mazingira haya!
  3. JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025 uchaguzi, Sintopoteza mda kupanga foleni kupiga kura bila kwenye mazingira haya ya uiz wa kura unaofabywa na tume na ccm

    Habari ndo hiyo. Kwenye uchaguz serikali za mitaa nilienda nipogekura nikaahirisha baada ya kuona mgombea mlengwa ameenguliwa eti hajui kujaza form. Strangely huyo ni mgombea aliyekua mwenyekiti wakati wa rais kikwete
  4. JamiiForums Tanzania Mzee asiye na Chama na Mtumishi wa Mungu, aionya CCM , adai Mabadiliko ni Lazima !!

  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gari ya katibu mwenezi CCM Mbeya lachomwa moto

    Familia ya Katibu Mwenezi wa CCM Mbeya Mjini, Philimon Mng'ong'o, imekumbwa na hofu baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake usiku wa kuamkia Aprili 22, 2025 na kuchoma gari. Moto huo pia ulianza kushika sehemu za nyumba, lakini watu 11 waliokuwemo waliokolewa salama. Mng'ong'o...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Mbunge Kondesta Sichwale ampiga Kibao kijana wa CCM, inasemekana alichukizwa baada ya kuombwa posho

    Wakuu! Huyu ni Kondesta Sichwale, Mbuge wa Jimbo la Momba mkoa wa Songwe. Inasemekana baada ya Vijana maarufu Greengard kudai posho zao, madai yao yamepelekea Kondesta kuchukizwa na kumchapa kibao huku akitoa lugha chafu. Je, huu si unyanyasaji na udhalilisha? Usawa uko wapi?
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA wafukuzeni G-55 mara moja, kama ambavyo CCM walimfukuza Mzee Malisa kwa kuhoji úhuni wa Dodoma, halafu tuone Mahakamani watakakokimbilia.

    Mzee Malissa alifukuzw CCM bila hata kuitwa na kujitetea, na Alifukuzwa sababu tu kahoji Uhuni ulotokea DODOMA. Hawa G-55 wanachofanya ni kutafuta Kufukuzwa, ili WAKIMBILIE Mahakaman, Cha kiwe na Kesi mara Kwa mara. Kwa Bahati Mbaya, mshauri wao ni kakikundi kadogo ka Dola na CCM na ambao...
  8. JamiiForums Tanzania Namna vijana wa CCM wanafeli ni kuunga mkono utamaduni wa zidumu fikra za mwenyekiti

    Tunapoelekea kwenye uchaguzi 2025 ni muhim ViJana wa CCM wakafaham kuwa kinacho waangusha ni kuendeleza Sana utamadudi wa ZIDUMU FIKRA za MWENYEKITI . Kuna mda serikali inafanya utumbo lakini kwasababu ya UTAMADUNI huo vijana wanashindwa hata kupendekeza mbadala muafaka juu ya Mambo...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Chipukizi CCM Iringa Vijijini Afanya Ziara ya Kuimarisha Umoja

    Mwenyekiti wa Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Ndugu Ibrahim Musiba, leo tarehe 21 April 2025 amefanya ziara maalum katika Kata ya Masaka, Wilaya ya Iringa , ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha mahusiano na mshikamano miongoni mwa chipukizi wa chama, pamoja...
  10. JamiiForums Tanzania Kama CCM wana dini kwa nini wanauchukia Ukweli?

    Kama Wana CCM Wana dini zao wanazoziamini, ni kwa nini huwa hawapendi ukweli usemwe? Dini yoyote ile iwe ya kipagani, kibuddha, kiislamu, kibaniani, kikristo, karibu zote msingi wake mkuu ni kusema ukweli. CCM dini yao ni ipi ambayo haitaki ukweli usemwe?
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waislamu walikuwa mbele kumng'oa Mkoloni, Wakristu kwa kiasi kikubwa ndio watakaoing'oa CCM

    Ni dhahiri bila chembe ya shaka, Waislamu walikuwa msitari wa mbele kumng'oa mkoloni. Hilo halina ubishi, maana Tangu enzi za vita vya mababu zetu dhidi ya wakoloni, struggle nyingi zilifanyika kwenye ukanda wenye waislamu wengi, kuanzia kwa Mkwawa, Abushiri huko Pangani, Kinjekitile Ngwale huko...
  12. JamiiForums Tanzania Nani anaiharibu amani ya Tanzania ni Tundu Lissu wa CHADEMA au ni viongozi wa serikali ya CCM kwa maslahi yao binafsi?

    Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwepo na sintofahamu ya kukamatwa Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Antiphas Lissu na kufunguliwa mashtaka ya uhaini, swali ni je? nani anaharibu amani ya taifa letu Tanzania, anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule Lissu anayesema...
  13. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siyo kwamba CCM hawajui faida ya uchaguzi huru na haki, ila wanajua wakikubali ndiyo mwanzo wao wa kutoka madarakani

    Viongozi wote wa CCM wanajua kabisa endapo watakubali uchaguzi wa Uhuru,uwazi na Haki basi watafurumushwa kutoka madarakani, kwa hiyo wanatumia propaganda kuwaaminisha baadhi ya raia wajinga kwamba Chadema wanataka kuleta machafuko Lakini it's to late kizazi cha sasa hivi siyo kile cha Nyerere...
  14. JamiiForums Tanzania Siamini kama kweli huyu ni mwana ccm

    Wasalaam Hii nchi ni ngumu sana kila mtu analalamika, nani wakutuokoa?
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aibu kubwa kwa CCM. Propaganda yao ya Udini waliyotegemea kutackle Waraka wa TEC yafeli vibaya sana

    Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu. Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM kuwa ni wafitinishi, walaghai, waongo na Wasiolitakia mema hili Taifa zaidi ya kulinda matumbo yao...
  16. S

    JamiiForums Tanzania CCM wawe makini vinginevyo wataingiza nchi kwenye udini au machafuko

    tumeona dini mbili kubwa Tanzania wanaonesha kutofautiana na waraka uliotolewabna Maaskofu kadhaa. wazee wa kobazi na wagalilaya wanaweza kuzichapa. na wagalilaya mapema watashinda
  17. C

    JamiiForums Tanzania CCM msiingize ajenda udini kwenye matamko ya TEC Kama mlivyo anza kufanya ili kutafuta huruma, hata MAGUFULI alionywa mara nyingi na TEC

    Naona vilaza wa ccm wamehsa anza kutengeneza hoja za udini dhidi ya tamko ta TEC acheni ujinga huo, msitafute huruma kijinga namna hiyo, pimeni madai yao na mjitafakari Kwa akili zenu zilivyo ndogo na chama kilivyo kosa washauri wazuri kwa sasa sio muda mtawatuma BAKWATA wajibu mapigo...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiwaangalia Wanavyoshupaza shingo kutetea Palestina asionewe na Israel alafu ukiona Wanavyotetea Wauaji CCM utaelewa hakuna Masheikh pale.

    Dini ya kweli ni Dini inayosimamia kweli na haki. Dini ya kweli ni dini inayosema kweli haijalishi kweli hiyo inaumiza au inafurahisha. Viongozi wa Dini wa kweli ni Viongozi wanaosema ukweli wa Mungu bila kuogopa utawapendeza au kuwafurahisha Watawala. Viongozi wa kweli wa Dini ni wale...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CUF wilayani Handeni aibukia CCM

    Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi,(CUF) wilayani Handeni mkoani Tanga Hilary Kitwanga ametangaza kuhama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi,(CCM). Akizungumza kwenye kikao cha halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Handeni kilichofanyika leo Jumamosi April 19,2025 kwenye ukumbi wa mikutano...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mjumbe wa Baraza Kuu Wazazi -CCM: Vijana tambueni na kuthamini haki yenu ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa

    MJUMBE wa Baraza Kuu la Wazazi - CCM Taifa kupitia Mkoa wa Mtwara, Ndg. Idrisa Yusuph Nannila, amehutubia katika kampeni kabambe ya kuhamasisha vijana kushiriki kikamilifu katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025,Kongamano hilo lenye Taswira ya KIJANA NA SAMIA SHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…