ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Hii mbinu ya CCM kujigawa mara mbili nimeipenda, itawatoa mchezoni CHADEMA mchana kweupe

    Habari wakuu Inahitaji utulivu mkubwa kuweza kusoma mchezo, sasa hivi CCM wanakosoana wenyewe kwa wenyewe huku watu wakishangilia na kusifia viongozi wa CCM wanaoikosoa CCM. Mtoto wa nyoka ni nyoka, na mwana CCM ni mwana CCM, once a CCM always a CCM Hii mbinu imetumika sana miaka ya nyuma...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM imesomba vijana mitaani kwenye vyombo vya habari wanacho kiongea hakieleweki hii inatia aibu

    CCM imesomba vijana mitaani na kuwaweka mbele ya vyombo vya habari wanacho kiongea hakieleweki hii inatia haibu sijui ulaya na dunia itakapoona itakuwaje ? Nina asilimia kubwa kuwa hawa vijana wamekusanywa na kusombwa tu mitaani na kulishwa maneno na mtu kisha kuja mbele ya vyombo vya habari...
  3. JamiiForums Tanzania Wapo watu wasiopendezwa na rais Samia sema wanasubiri kuona kama kuna wengine kama wao ndani ya CCM sasa wataanza kuibuka

    Nina wasi wasi wapo watu wasiopendezwa na rais Samia hasa utawala wake kuwa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu sema wanasubiri kuona kama kuna wengine kama wao ndani ya CCM sasa wataanza kuibuka. Je, wapo wengine ukiachana na kina mpina na gwaji boy na yule Basilla wa hawaungi mkono tena...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hatari iwazi, watawala wa CCM vitendo na kauli zao kuwapeleka mahakama ya uhalifu dhidi ya binadamu ICC The Hague

    Kama utani vile lakini uthibitisho wa watu kutekwa, kuumizwa, kutupwa na bado Bunge la CCM Dodoma mawaziri na wabunge wake kusisitiza wahanga zaidi wasakwe na kushughulikuwa ni ushahidi tosha siku si nyingi tutaona vigogo wakiwekewa vikwanzo na pia waranti ya INTERPOL kuwatia nguvuni kisha...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote, Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii?

    Wakuu Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake wa Facebook == Huu ni mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote. Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii? Mwathirika wa kwanza ni nchi/taifa. Tutakosa uwajibikaji (checks...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Dar watoa msimamo kuhusu Gwajima, wataka akamatwe akaisaidie polisi kuhusu utekaji

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam imetoa wito mzito kwa Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kutofika katika ofisi yoyote ya CCM ndani ya mkoa huo kuchukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mwaka 2025. Msimamo huo umetolewa siku ya...
  7. JamiiForums Tanzania CCM kwisha kabisa

    Yaani speech moja tu ya kada wake kuishauri mamlaka ya juu... Wote wamejaa kwenye mfumo wake Tangu juzi siku moja bada ya speech yake iliyowakonga nyoyo Watanganyika wengi... Makada, chawa kunguni na viroboto wanashindana mitandaoni na kwenye press conference za mchongo kumjibu Kujibu sio...
  8. JamiiForums Tanzania CCM tuambieni kwanini watu wakiongelea utekaji mnachachamaa?

    Imekuwa kawaida Sasa. Mtu akitoka akasema Polisi inateka au inanyamazia utekaji badala ya Polisi kujibu CCM ndo wanaibuka kujibu. Mtu akisema vyombo vya Dola cinanyamazia utekaji CCM wanaibuka kupinga na kuleta mifano ya 1983. Sasa tokeni hadharani atuambie tuache kuvisema vyombo vya Dola...
  9. JamiiForums Tanzania CCM chungeni ndimi zenu

    Wabunge wa CCM wanatumia vibaya Bunge kuanzisha mgogoro wa kidiplomasia na Kenya bila sababu za msingi. Kauli zao ni za kiholela, hazizingatii athari za kiuchumi wala kijamii, na zinaweza kuumiza raia wa kawaida wanaofanya biashara au kuishi pande zote mbili. Maneno ya chuki dhidi ya raia wa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM na Serikali majibu yenu yako wapi kwenye orodha ya Watanzania waliotekwa iliyotolewa na TLS?

    Serikali na CCM mmepaparuka huko na kusema taarifa ya Gwajima ina walakini, inalenga kuleta chuki kwa serikali, kwamba inabidi serikali iseme upande wake. Orodha ya Gwajima ndio hiyo orodha ya TLS iliyokuwa na watu 80 waliotekwa/kupotea toka mwaka 2016 mpaka Agosti 2024, kama angechukua na watu...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Cicil Mwambe: Jimbo la Ndanda limetekeleza ilani ya CCM kwa asilimia 85

    Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Mheshimiwa Cecil David Mwambe, amesema kuwa hadi kufikia sasa, utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020 umefikia asilimia 85 katika jimbo hilo. Akizungumza leo Mei 25, mbele ya mabalozi wa mashina wa CCM katika...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge Shangazi na Kingu wakipongeza chama cha walimu Tanzania kuahirisha mkutano wao kupisha mkutano wa CCM

    Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Emmanuel Kingu, na Mbunge wa Mlalo ambaye pia ni Katibu wa Wabunge wa CCM Bungeni Rashid Shangazi, wamepongeza uongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa hatua ya kuahirisha Mkutano Mkuu wao ili kupisha Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  13. M

    JamiiForums Tanzania WanaCCM tusiwe wajinga. Mambo ya chama yaishie kwenye miambali ya chama, kuyaleta bungeni kujadiliwa ni aibu kubwa

    Kichwa cha mada chajitosheleza. Hii inaleta picha kuwa hatuna cha kujadili juu ya nchi...vikao vya chama kwa sehemu zake ziko kujadili haya. Ifike kipindi hata km tutakuwa wote ni Ccm ndani ya Bunge ni marufuku kuleta mada za chama. Hii inatujengea picha mbaya. Hatuwezi maliza mambo yetu ndani...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ana shida jimboni .... Afukuzwe CCM.... Aliahidi safari za Kawe/Japan... Hakuongea wakati wa Magu - Hoja ya mauaji bado haijajibiwa !!!

    Mzee Msuya - sio mimi nasema - Mzee Msuya mtu wao wa system kabla hajafa alisema watu wa CCM ni wadhaifu sana kwenye kujenga hoja. Bunge linasema: Mtu mwenyewe ana shida jimboni Afukuzwe CCM Aliahidi safari Kawe-Japan Kataja jina takatifu la mtoto wa Rais Angeweza kuyamaliza kwa ushauri wa...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM mnajikaanga kumshambulia Askofu Gwajima bila kutoa suluhisho la utekaji

    Ni kichaa tu atakayewaunga mkono Kwa matamko yenu yasiyotoa suluhisho Kwa tatizo la utekaji. Ni Machawa wenu wasio na impact mliowaswaga wamjibu Gwajima Kwa Jambo ambalo wananchi wote wanaliona na nyie wenyewe mnaona lipo na linazidi kukomaa. Pia soma Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Hitimisho: Watanzania mmejionea wenyewe, hawa ndo CCM, Kamwe msitegemee watatoka madarakani kwa njia za Kawaida au kubadilika

    Kama mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani jana bungeni haujawafungua akili Watanzania kuielewa CCM ni kina nani? Basi hakuna siku Watanzania watakuja kupata akili na kuielewa CCM hadi mwisho wa Dunia. Kama Majadiliano ya jana Bungeni hayajawafungua akili Watanzania kujua CCM...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Jamani tatizo sio Rais ni mfumo CCM

    Tatizo sio Mama Samia, kuna tatizo kubwa zaidi kabla yake, tatizo ni mfumo CCM. Huu mfumo ndio uliomweka Mama alipo na ndio unaompa kiburi na dharau. Hata Philipo Mpango akiwa rais leo tutaendelea kushuhudia hovyo iliyopo. Tuuwe huu mfumo CCM kwanza jamani!
  18. JamiiForums Tanzania Movie scenario!, ni lazima awepo mtu ndani ya CCM, aonyeshe kutokubaliana na hali iliyopo!

    Balancing the equation, baadhi ya wakosoaji ni lazima watoke ndani ya ccm ili kutengeneza uwiano ulio mzuri, #Hata Wana ccm wenyewe hili jambo linawashangaza sana juu wahalifu, katika kuendeleza ualifu wao, Siamini ya kuwa hata chadema wenyewe wanaidadi kubwa namna hii inayodaiwa watu kupotea...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wanamshambulia Gwajima. Je, amefanya kipi kibaya?

    Wabunge wa CCM wanamshambulia Gwajima. Je, amefanya kipi kibaya? Mwingine amediliki kusema Bungeni bila aibu kuwa vyombo vya dola vianze na wale waliopo ndani ya CCM kisha vimalizie wa nje ya CCM Je, hichi ni chama sahihi kutawala Watanzania? Yaani tunatawaliwa na Chama ambacho kinahimiza...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Tauhidi viti maalumu CCM Kalidanganya Bunge Elimu yake ya DIPLOMA , this is Serious !!

    Wakuu ,huyu Mbunge wa Viti MAALUMU alotumia MIAKA 18 kusoma Elimu ya Sekondari. Na ambaye ameanza shule mwaka 1988 lakini mpaka 2015 akawa kaishia Diploma. Inawezekana kabisa, Kalidanganya Bunge na Serikali juu ya Elimu yake. Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…