ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM wa Jimbo lililoko shule hii ,ninaomba Kamati Kuu ya CCM Taifa isimpitishe kugombea ubunge 2025-2030

    Angalieni hii video! Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho. CC: Prof Adolf Mkenda
  2. JamiiForums Tanzania Kitila: Anayepinga "Watanzania wengi wanaiunga CCM" apinge kwa utafiti sio kwa hasira

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiingii kwenye Uchaguzi bila utafiti na Utafiti umeonesha Watanzania wengi wanaunga mkono Serikali ya CCM na hali ni mazuri sana. Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025.
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Eric Shigongo kwa wananchi: Niliwaahidi Tshirt, nimeleta sijaleta?

    Wakuu, Yaani hawa wananchi wa Buchosa akili zao zinatakiwa kupigwa window kabisa, maana ni aibu sana kuambiwa maneno kama hayo na Mbunge alafu ukakaa chini ukasikiliza. Uko Marekani watu wapo busy kuwaahidi wananchi mambo ya Space Force na kwenda Mars, Mbunge anajitokeza anawaahidi wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania CCM ni matokeo ya muungano wa hiyari na wa kizalendo baina ya vyama vya upinzani nchini

    Uimara na umadhubuti wa CCM ya leo, ni matokeo ya muungano wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, vya ASP na TANU. Hii ikimaanisha , katika siasa za Tanzania, hakuna namna upinzani ulioparaganyika kama ulivyo sasa, kuutikisa umadhubuti wa upinzani uliounganika vizuri sana na kuzaa CCM. Ni...
  5. JamiiForums Tanzania CCM ni mfumo,mfumo unajengwa kwa zaidi ya Miaka 50..upinzani anzeni chini msikabie juu

    CCM bado itakaa madarakani kwa Miaka mingine zaidi ya 50 kwa sababu ya mfumo uliosukwa.imagine kuna kipindi kile chama kimoja siasa mpka jeshini wanajeshi wakiimba kidumu chama cha mapinduzi kidumu. Cha Kufanya sasa kwa mfano chadema wangejiwekea malengo ya muda mrefu kama ifuatavyo...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna Chama kipo Kigoma tu alafu kimekuja na slogan ya Oktoba Linda Kura. CCM wamewapelekea IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa. Aibu yao!!

    Wakati Chadema inapambana na kampeni No Reforms No Election kwa faida ya Taifa na Wananchi wote, kuna wanasiasa wachache kwa tamaa ya fedha waliingia kwenye mitego ya CCM ili kuhujumu kampeni hii. Walichosahau hawa wanasiasa maslahi/ madalali ni kuwa CCM ni kama vampire ambaye damu kwake ni...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wa CCM ambao wanatakiwa kuaga Majimbo yao na kujihusisha na ufugaji wa kuku 2025-2030

    1. Askofu Josephat Gwajima- Kawe 2. Luhaga Mpina- Kisesa 3. Mrisho Gambo- Arusha Mjini 4. Prof. Ndakidemi- Moshi Vijijini 5. Dr Charles Kimei - Vunjo 6. Mwita waitara - Tarime Vijijini 7. Priscus Tarimo - Moshi Mjini 8. Godwin Mollel - Siha 9. January Makamba - Bumbuli
  8. JamiiForums Tanzania Dr Wilbroad P. Slaa: Afichua mpango wa siri CCM kuitaka CHADEMA iandae wagombea uchaguzi mkuu 2025

    https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu.... Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
  9. JamiiForums Tanzania CCM na DOLA hawakuwahi na Hawana mbinu yoyote ya Kukabiliana na Taifa la Vijana wenye Elimu !! Mtaji wao ulikuwa ni Ujinga wa watanzania

    Wee hushangai kwann mpaka Leo Wakisimama gia yao ni Amani, CHADEMA wanataka kuleta Vita, wanataka kuleta Ushoga?, Unamsikia Wasira anasema Vijana hamjui Nchi ilikotoka, Mkoloni anatupa uhuru Nchi ilikua na Daktari Mmoja. Unaweza jiuliza, haya yanaongelewa na MTU Mzee mwenye miaka 88?? Yaan...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu mwenezi wa CCM Arusha: Gambo Aulizwe mke wake ni nani ndani wajumbe wa CCM

    Baada ya katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha kuulizwa kuhusiana na hela ambazo mke wa mbunge wa Arusha mjini mrisho Gambo alizigawa kwa wajumbe wa CCM akiwepo katibu mwenezi ndani ya kikao hicho Na mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo aligawa gesi na mke wake alitoa kama elfutano ya nauli ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa deni la Taifa lilipofikia, CCM Wakilazimisha kufanya Uchaguzi bila Reforms, Kati ya 2026-2029 Tanzania inaanguka kiuchumi rasmi

    Kwa sasa nchi yetu inakusanya takribani Trilioni 2.0- 2.7 kwenye makusanyo yake ya kila mwezi kwa mujibu wa takwimu za TRA. Wakati huo huo deni la Taifa limefikia Trilioni 107 plus interest hivyo kupelekea kila mwezi nchi yetu kutakiwa kulipa kiasi cha Trilioni 1.4 mpaka 1.7 kulipia deni la...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa Organaizesheni CCM Issa Haji Gavu: Wajumbe msichague viongozi legelege kwenye kura za maoni

    Katibu wa NEC - Oganaizesheni wa CCM Taifa (MCC) Issa Haji Ussi Gavu leo tarehe 23 Juni 2025 ameshiriki Mkutano Mkuu Maalum wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es salaam, akiwa Mgeni Rasmi, uliofanyika katika Ukumbi wa Ubungo Plaza Katika mkutano huo, Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Tarimba Abbas...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 GE2025 Spika Tulia amemhakikishia Esther Matiko ubunge Tarime mjini kupitia CCM

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi. Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni. Esther anakumbana upinzani mkubwa...
  14. JamiiForums Tanzania CCM imejenga dharau kwa Wasukuma

    Hii ni dharau kwa Wasukuma Kuwasomba kwenye mikokoteni halafu mnawachinjia ng'ombe na kondoo misikitini ili kuwalisha . Ila mabalozi wa nyumba tisa ya kumi ni ya mjinga mnawapa BAISKELI kuwapumbaza waende kutik mpate vinono vya kuwatawala na nyiye mnapanda VXR na V8 kila mnakopita kuwahutubia...
  15. JamiiForums Tanzania CAFE TALK: CCM, CHAUMMA na ACT Wazalendo wanachuana vikali muda huu

    Hakuna chama kinachoiweza CCM isipokuwa CHADEMA leo Kafulila na Happi wanajipakulia tu minyama mbele ya CHAUMMA na ACT WAZALENDO, https://www.youtube.com/live/UP89m78r-Uk?si=NhbWNO83GsYHj3xL
  16. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa awasilisha Ripoti ya utekelezaji wa ilani ya CCM Jimbo la Mkoani Pemba, zaidi ya Millioni 800 zimetumika miaka 5

    Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa awasilisha ripoti maalumu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM kwa miaka mitano jimbo la Mkoani Pemba Akiongea na Viongozi pamoja na wanachama mbalimbali wa chama hicho Prof Mbarawa amebainisha namna alivyofanya jitihada za ziada kwa kutafuta pesa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama Malori yakiwa na Baiskeli za Rais Samia kwa ajili ya kuzigawa kwa wapiga Kura

    Wakuu! Imagine miaka 64 ya Uhuru, bado Khanga na Baiskeli ndio chambo katika Uvuvi wa Kisiasa na kutoa Kura kirahisi tu. Uchaguzi unapokaribia mbinu za kisiasa zinaongezeka, zikiwemo zawadi kwa wananchi zinazobeba sura ya rushwa. Hadi mabox yenyewe yameandikwa jina la Samia Suluhu Hassan...
  18. JamiiForums Tanzania Angalia jinsi CCM wanavyochezea hela zetu hapa lazima deni la taifa lifike trilion 107

    GT Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
  19. JamiiForums Tanzania Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  20. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchakato wa kura za maoni za CCM ndiyo uchaguzi wenyewe

    SIjui mchakato huu inafanyika lini ila sisi kama WATANGANYIKA inatubidi tuufatilie kwa makini sana Hakutakuwa na uchaguzi baada ya mchakato huu Bali kutafanyika viini macho vitakavyosimamiwa na tume kwa maelekezo maalumu ya serikali wateule wote wa CCM watateuliwa kuwa wabunge rasmi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…