Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Macho, maskio na shauku za waTanzania wote kutaka kujua au kufahamu kinachoendelea ndani ya makao makuu ya chama taifa ni kubwa mno. Watanzania wanatamani kujua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao chini ya uongozi madhubuti wa ccm imara inayoongozwa kisanyansi na Dr.Samia Suluhu Hassan...
Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye...
Ndiyo, hivyo ndivyo ilivyo humu jf mpaka Sasa baada ya uchunguzi wangu wa kina. Hoja za upingaji na upondaji huja tu ikiwa Inategemea pale ccm juu amekaa nani na anasema au kufanya nini kinachotofautiana na mawazo au uelewa wa mwanaJF. Tofauti na hilo, wote humu ni wanaccm tu kwa hakika kwani...
Wakati wa Maandamano ya kumtaka aliyekuwa Rais wa Tunisia kujiuzuru na kuondoka Madarakani, Rais huyo Marehemu Ben Ali alimtegemea sana Mkuu wake wa majeshi na Waziri wake wa Ulinzi kutuliza hali ili aendelee kuwa Rais.
Maandamano yaliposhika kasi, Ben Ali alipanda ndege na kukimbilia Saudi...
KILA MTU ANAISHABIKIA CCM KWA STYLE YAKE
Kitu muhimu wananchi wanachopaswa kufahamu ni kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi; kelele, mivutano na shutuma zisizo na maana ni sehemu ya maisha.
Hakika katika jicho la tatu; jicho la kutulia na kutumia akili nyingi - ni wazi Upizani dhidi ya Chama Cha...
Nimeangalia mwanzo mwisho wa Press conference ya Katibu mwenezi wa CCM TAIFA na WAANDISHI wa HABARI.
Alipomaliza kutoa taarifa yake alikaribisha maswali kutoka kwa WAANDISHI wa HABARI.
Kilichonishtua ni kwamba hakuna swali LOLOTE kuhusu Pole pole kujiuzulu. Wala hakuna swali kuhusu Chadema...
Maelfu ya wajumbe walimpitisha Samia na maisha yakaendelea.
Kangedere kamoja ambako hakana impact yoyote kwa chama kametoa press jana sijui juzi Leo CCM wametoa notice watanganyika kwakuwa wana utindio mdogo wa ubongo wanazusha mambo ya hovyo.
Mimi si mpenzi wa CCM lakini uzushi na majungu...
Sasa nataka kujua wale wa Oktoba tunatiki, semeni mtatiki wapi?
No reforms no Election yatinga Meza Kuu za CCM.
Kiko wap? 🤣🤣🤣🤣
Haya Muliro jiandae kuwagonga Virungu vya Ugoko na CCM wanaotaka Reforms 🤣🤣🤣
mene, mene, tekeli, na peresi.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Amos Makalla amesema chama hicho kimesogeza vikao vyavuchujaji wa wagombea wa nafasi za ubunge na wabunge kutoka leo Julai 19, 2025 hadi Julai 26 ambako kutakuwa na kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu (NEC) kitakachotanguliwa na kikao cha Kamati Kuu...
Desturi hii imetuokoa sana sana sana.
Kila alipoingia mwamba mwingine aliingia na mfumo mpya uliotosha kukiponya Chama na kukiokoa na makando kando yaliyo tawala kwa myaka kumi ilokuwa inaisha.
Sasaivi tupo na maza, ameshikilia kijiti toka alipoingia 2015, as cheo chake ndani ya chama...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Amos Makalla, anazungumza na wananchi kupitia Vyombo vya Habari kutokea Ofisi za Makao Makuu Dodoma.
https://www.youtube.com/watch?v=YHDtsQ23r0A
Updates
Makalla asema maandalizi ya ya uchaguzi ndani ya chama...
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kuhusu mambo mbalimbali yanayokihusu chama hiki kikongwe na nimegundua kwamba chama hiki kina matatizo makubwa na ya ukiukwaji wa katiba yao katika maeneo mbalimbali kwa kisingizio cha kusema ni utaratibu/utamaduni wetu. wao hawajali kabisa athari zinazotokana...
Hali ndani ya CCM imebadilika baada ya press YA Mheshimiwa Balozi Humphrey Polepole. Naona vikao vimesitishwa vilivyokuwa vifanyike tarehe 18 na 19 Julai 2025 kwaajili ya teuzi mbalimbali za wabunge. Je hali inaweza kubadilika ili kufuata kile Humphrey amesema kukiukwa kwa tamaduni za CCM? Na je...
Mimi kwa fikra zangu machawa hawaijui CCM vizuri wanatafuta afueni wapewe tuzo maisha yaende!!
Msiwatumie machawa kuwajibu watu wanaojifanya kujilipua kwa kukosa maslahi ya liutawala!!
Mngekaa kimya mkaacha busara itumike na waasi kujiona wajinga!!
Huwezi kutoka hadharani kudhihaki sehemu...
If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo.
N.B Hata John Nchimbi alikosoa CCM akiwa katika...