Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Constantine Sima ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mhandu amedai kufayiwa hujuma na fitina zinazofanywa na baadhi ya viongozi na wanachama wa CCM kwa maslai yao binafsi.
Akieleza kazi zilizotekelezwa katika kata hiyo kwa kipindi cha mwaka 2020-2025, Sima amesema...
EDWARD LEKAITA: TUMEENDA ZAIDI YA TULICHOAHIDI KWENYE ILANI YA CCM 2020 - 2025
Mbunge wa Jimbo la Kiteto mkoani Manyara, Edward Ole Lekaita amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kishindo, ambapo utekelezaji huo umetikisa katika majimbo yote...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), jana Juni 18, 2025 ameshiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Magu Mkoani Mwanza.
Kikao hicho cha kawaida ngazi ya Chama kiliongozwa na Komredi Jamal Abdul Babu (Mnec Wilaya Magu)...
Mayday ni neno la redio linalotambulika kimataifa kuashiria dhiki. Inatumiwa zaidi na ndege na boti, .. Maana nyingine ni kuomba msaada kwenye kiashiria kikubwa cha ajali
Kuna chama kiko kwenye dhiki na hamaniko kubwa! Hakijiamini na kila kinachojaribu kufanya kinajiona kabisa hakitafanikiwa na...
Hali sio nzuri Kwa CCM, Yaani CCM ya enzi za JK ndo inarudi upya. Yaani chama hakipendwi, kinachukiwa aswa. CCM ili wafanye mkutano mpaka Shule zifungwe watu wabebwe na punda,mikokoteni na malori ndo watapata watu.
Kama CCM Wanapendwa si wapige mikutano kavu kama ya kina Heche.
Samia...
1. Kama katiba ingelikuwa bora, Samia asingejipitisha mwenyewe kuwa mgombea urais ndani ya CCM. Lkn katiba imempa mamlaka makubwa sana, kiasi kwamba kila mwanaccm anaogopa kumpinga.
2. Kama katiba ingelikuwa ni bora, Gwajima asingelikuwa mafichoni. Kwani kafanya kosa gani? Kusema ukweli ni...
Wakuu
Mongela wakati akizungumza kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan huko Simiyu amesema kuwa vichaa hawakosekani lakini watashughulikiwa na Vijana na Wana CCM.
Sijui watashughulikiwa vipi, sad.
===
"Nataka kusema kwenye boma la watu wengi kama hivi kwenye kanda hii, hakuwezi kukosekana...
Moja ya mambo yanayowafanya CCM kutotaka kamwe kusikia kauli mbiu ya CHADEMA ya NO REFORMS NO ELECTION ni pamoja na ukweli kwamba tayari CCM wameshatumia mabilioni ya wananchi kuagiza na kuandaa vifaa mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya uchaguzi mwishoni mwa mwaka huu.
Hap chini ni moja ya...
CCM wamekuwa wakijigamba kwamba nchi wameitoa mbali, wameleta maendeleo. Upande wa upinzani wanasema nchi imekuwa ya hovyo kabisa ni afadhali mkoloni. Sasa mimi naweka ushahidi wote hapa kuunga mkono hoja za Chadema.
Ukiachana na mambo ya ujinga, ila pia Umasikini wa Wabongo ni nguzo muhimu sana ya CCM hasa huko kanda ya ziwa.Saaa changabya ujinga na Umasikini ni balaaa au Changanganya kukosa elimu Dunia na Umasikini, huo muunganiko ni balaa.
Katika moja ya maeneo ambayo elimu hata ya Uraia ni zero basi ni...
Tangu aingie madarakani, rais Samia Suluhu Hassan amekuwa na bifu na baadhi ya wanachama wenzake. Alianza na Job Ndugai spika wa zamani wa bunge letu. Baadaye, akafuatia Dk Bashiru Ally akiwakilisha kile kilichokuja kujulikana kama Sukuma gang. Juzi alianza bifu na Josephat Gwajima kidhabu...
Mbunge wa jimbo la Kisesa, Mkoani Simiyu, Luhaga Mpina akiondoka uwanja maarufu kama stendi ya Mabasi Meatu, baada yakumalizika kwa mkutano wa Rais Samia na wananchi.
Pia, Soma: Rais Samia amchana Mpina: Mbunge wa Kisesa ni kuruka ruka kwamba Kisesa tunakudai, Kisesa iko kama mwanamke aliyesuka...
Mh Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naomba kukung'ata sikio ila pia naomba pia sio lazima chukua wazo langu mimi ni mdogo sana ila natamani kuona ccm na Taifa lina kuwa tulivu na ccm ina tawala hata kama miaka mia ila zingatia haya.
Wewe ni Rais mstaafu kama wastaafu wengine wa serikali epuka kuwa...
Kwa msiojua hii ndo Modus Operandi ya CCM katoka kuendelea kuwalaghai Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa kuwa Wanapendwa nchini ( Wana Popular Support).
Wanajua kabisa hawawezi kujaza mikutano yao kutokana na Wananchi kutowakubali. Hivyo wanachofanyaga siku zote Wanawaamuru Wakuu wa Mikoa...
Habari za jioni ndugu wana JFs
Napenda kutoa shukrani zangu za Dhati kabisa kaa Serikali ya CCM ya awamu ya tano na hii ya sita kwa kazi nzuri waliyofanya kwenye sekta ya afya.
Mambo ni mazuri tunakoelekea na kiukweli kwenye miundo mbinu kwa sasa ni bora kwa viwango vinavyokubalika( healthcare...
MNEC Mlao: Umoja wa vijana wa CCM ni tanuru la kuwoka vijana wenye sifa ya kuwa viongozi, twende kuwasemea vijana wenzetu wenye sifa ya kuwa viongozi kwenye vikao vya maamuzi
Baada ya maafa ya mlipuko wa mabomu mbagala na kuteketea kwa makazi ya watu wakati kwa ajali hiyo ya mabomu ya mbagala 2009, kwa wakazi wanaoishi mbagala, amani ilikosekana kabisa, na kufikia mpaka wakazi wa eneo hilo kudiriki kusema, kama vita mfano wake ndio huu, afadhali chama kilichopo...
Makosa makubwa sana kumpa samia kuwa mwenyekiti wa CCM juzi hapa amevunja katiba ya chama hicho vijana chipukizi wanajifunza nini ?
Kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa uraisi hakufuata katiba ya chama hicho inamaana wajumbe na mwenyekiti wame baka katiba ya chama, labda ni kwa vitisho vya...
Mh. Rais, nakuomba sana, mfute kabisa katika ramani ya siasa za CCM na nchi kwa ujumla. Hatuwezi kufuga majoka, tuyalishe halafu yatake kutuuma.
Asante. Natanguliza shukrani