catherine magige

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Arusha: Catherine Magige alivyotoka ukumbini na kukataa kusaini matokeo

    Ndoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha. Wabunge hao amao wamapata kura pungufu, sasa watasubiri huruma ya Kamati Kuu ambayo ndiyo itatoa...
  2. PAYE

    GE2025 Magige, Swai waangukia pua Arusha, Martha Gido na Chiku Athman waibuka vinara kura za UWT

    Ndoto za waliokuwa wabunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Catherine Magige na Zaytun Swai, kurejea bungeni zimeingia doa baada ya kushindwa kushawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) mkoani humo katika kura za maoni zilizofanyika mjini Arusha. Katika uchaguzi huo...
  3. Just Pray

    GE2025 Wajumbe Arusha wafanya yao kura za maoni viti maalum, Catherine Magige atupwa nje

    Ndoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha. Wabunge hao amao wamapata kura pungufu, sasa watasubiri huruma ya Kamati Kuu ambayo ndiyo itatoa...
  4. Mfalme_wa_Nyika

    Walichomfanya Catherine Magige (CCM VITI MAALUM ARUSHA) Ndivyo Watachomfanya Paul Makonda. WAJUMBE SIO WATU NI MBWA🤣

    Catherine Magige jana alienda kwenye uchaguzi wao pale ukumbi wa AICC Arusha akiwa anajiamini kuwa atapata kuchaguliwa na wanawake wenzake wa ccm tena viti maalum kwa kipindi cha miaka mitano tena na kukamilisha ngwe ya miaka 20... Mbunge mzigo huyu ambaye kwa miaka 15 alikuwa bungeni tu kama...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Catherine Magige achukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia CCM, Arusha

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Catherine Magige amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Catherine amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumamosi, Juni 28, 2025...
  6. Nipe Maji

    Catherine Magige agawa sare 1,300 kwa wajumbe wa UWT Arusha

    Mbunge wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Catherine Magige, amechangia sare 1,300 zenye thamani ya shilingi milioni 35.1 kwa wajumbe wa Baraza la UWT Mkoa wa Arusha. Magige alikabidhi sare hizo mbele ya wajumbe wa baraza hilo lililofanyika mkoani Arusha...
  7. Waufukweni

    LGE2024 Catherine Magige ainadi CCM Karatu, awataka Wananchi kutohadaika na Vyama vingine vya Siasa

    Mbunge Viti Maalum Arusha mjini Catherine Magige, Amewahasa wananchi wa Kata ya Endamariek Kijiji Cha Endamariek wilayani Karatu kushiriki kwa Ukamilifu katika zoezi la upigaji wa kura za ndiyo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024. Amewahasa wananchi hao...
  8. S

    Picha ya Catherine Magige na Januari Makamba ina uhusiano na kauli za Magige?

    Wiki hii huyu Mwanadada Catherine Magige Mbunge wa Viti Maalum CCM ametrend sana kwenye mitandao baada ya kumshambulia Luhaga Mpina kwa tuhuma alizozitaja magige lakini ikavuja hii picha akiwa na Januari Makamba je kuna uhusiano wowote wa hii picha na maneno ya Catherine
  9. mtwa mkulu

    Catherine Magige hajui jina wala jimbo la Luhaga Mpina

    Nimeshangazwa sana na video ya mbunge wa vijana (CCM) Catherine Magige ambaye hana hata jina katika nchi hii akimshambulia mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM). Katika video hiyo, ameonekana akimuita Luhanga mpina jambo ambalo dhahili linaonesha hafahamu jina lake labda kwakuwa sio mfuatiliaji...
  10. Stephano Mgendanyi

    Catherine Magige Atoa Uwanja kwa UWT Wilaya ya Longido

    "Tupo kwenye harakati za kuhakikisha watumishi wetu, Makatibu wa UWT Wilaya, Jumuiya iwe inamiliki nyumba zake kila Wilaya ili Makatibu wetu wawe wanaishi katika mazingira mazuri na rafiki" - Mhe. Catherine Magige, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha "Nilichoamua kwa Longido niliona changamoto...
  11. J

    Bunge laahirishwa ghafla baada ya Waziri January Makamba na Naibu wake kukosekana Bungeni

    Wakati mbunge wa viti maalumu mh Magige akichangia bajeti ya Nishati ghafla mwenyekiti ameahirisha bunge kwa nusu saa na ametoka ukumbimi Tutawajuza yaliyojiri Source TBC ====== Mwenyekiti wa Bunge wakati akiongoza kikao cha Bunge ameahirisha shughuli za Bunge kwa nusu saa baada ya...
  12. Baraka Mina

    Kiama cha CCM ni halisi kitaondoka na watu

    Ni siku na wakati mwingine tena, poleni na majukumu ya kulijenga taifa hili la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waswahili walisema ni "Heri kujikwaa kidole kuliko kujikwaaa ulimi" Kuna viongozi wa kiserikali na viongozi wa CCM ambao wamepewa dhamana hawakukosea kutembea ila walitamka maneno...
  13. SN.BARRY

    Ukweli mchungu: Sakata la Catherine Magige, Bunge letu limeonesha udhaifu

    Wiki iliyopita Wabunge wa Bunge la Tanzania walichanga michango ya rambirambi na kumpa mwenzao aliyekuwa anaiba mume wa mtu na kusababisha matatizo makubwa kwa familia hiyo ikiwemo kutishia ndoa kuvunjika. Catherine Magige alikuwa ni mwizi wa mume halali wa Aziza Msuya hivyo Bunge likiwa kama...
Back
Top Bottom