Ukweli mchungu: Sakata la Catherine Magige, Bunge letu limeonesha udhaifu

SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
3,925
2,000
Wiki iliyopita Wabunge wa Bunge la Tanzania walichanga michango ya rambirambi na kumpa mwenzao aliyekuwa anaiba mume wa mtu na kusababisha matatizo makubwa kwa familia hiyo ikiwemo kutishia ndoa kuvunjika.

Catherine Magige alikuwa ni mwizi wa mume halali wa Aziza Msuya hivyo Bunge likiwa kama chombo cha kutunga Sheria kuwalinda Wananchi ilibidi lipinge vikali mwenzao kuvunja Sheria kwa kuiba mume halali wa mwanamke mwingine na hatimaye kutaka kunyang'anya shughuli ya mazishi.

BUNGE HILI NI LA AJABU SANA. LIACHE KULINDA WATU WAOVU. SISI WANANCHI TUMESIKITISHWA SANA KUONA BUNGE LINATOA RAMBIRAMBI KWA MDANGAJI.
 
Kabugula

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,716
2,000
Marehemu alikuwa mstari was mbele kujaza mafuta ya magari ya kampeni ya Magige.Hivyo usishangae michango kwa wabunge.
 
SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
3,925
2,000
usipoteze muda wako kufuatilia maisha ya watu. Tafuta faranga, hayo mengine waachie wenyewe, whether ni mke halali au kimada it is none of your business. kwani k ni ya kwako? ana uhuru wa kumpa yoyote anayemtaka.
Nyie wadangaji acheni kuvunja familia za watu.
Huo ni ushenzi. Mnatumia K... kutesa familia za wengine. Hiyo haikubaliki!
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
24,245
2,000
usipoteze muda wako kufuatilia maisha ya watu. Tafuta faranga, hayo mengine waachie wenyewe, whether ni mke halali au kimada it is none of your business. kwani k ni ya kwako? ana uhuru wa kumpa yoyote anayemtaka.
ni kweli hivi viungo vya uzazi ni vyetu (mali binafsi), ila namna ya kuvitumia kuna kanuni, sheria na taratibu - Catherine amekiuka taratibu ndiyo maana watu wanampigia kelele. (Cha msingi aombe radhi mambo mengine yaendelee)
 
Tata

JF-Expert Member
Dec 3, 2009
5,797
2,000
Umejichanganya ndugu! Bunge halijamchangia huyo mwanamama alichangiwa na marafiki zake ambao ni wabunge. Aidha, mambo ya chumbani kati ya marehemu na huyu mbunge wa viti maalumu.

Ambayo yalianza siku nyingi kabla hajawa mbunge, hayana uhusiano na bunge ama shughuli za ubunge. Hivyo siyo sawa kuliingiza bunge kwenye masuala binafsi ya wabunge watovu wa maadili.
 
ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
11,056
2,000
Wiki iliyopita wabunge wa bunge la Tanzania walichanga michango ya rambirambi na kumpa mwenzao aliyekuwa anaiba mume wa mtu na kusababisha matatizo makubwa kwa familia hiyo ikiwemo kutishia ndoa kuvunjika.

Catherine Magige alikuwa ni mwizi wa mume halali wa Aziza Msuya hivyo Bunge likiwa kama chombo cha kutunga sheria kuwalinda wananchi ilibidi lipinge vikali mwenzao kuvunja sheria kwa kuiba mume halali wa mwanamke mwingine na hatimaye kutaka kunyang'anya shughuli ya mazishi.

BUNGE HILI NI LA AJABU SANA. LIACHE KULINDA WATU WAOVU.
SISI WANANCHI TUMESIKITISHWA SANA KUONA BUNGE LINATOA RAMBIRAMBI KWA MDANGAJI.
Ni viashiria kuwa SHETANI ndio ametawala hapo. Mahala alipojaa shetani hekima/busara haviwezi kuwapo.
 
chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
7,940

WABUNGE WALIMCHANGIA MBUNGE MWENZAO KUFIWA NA 'MUME' WAKE, SIO JUKUMU LA MBUNGE MMOJA MMOJA KUJUA KAMA MBUNGE MWENZAO NI 'MWIZI' WA MUME AU MKE WA MTU. HUYO AZIZA MSUYA NI LINI ALIKUAMBIA WEWE KUWA CATHERINE ALIMUIBIA MUMEWE, NA YEYE MWENYEWE ALICHUKUA HATUA GANI BAADA YA KUIBIWA?
 
SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
3,925
2,000
ni kweli hivi viungo vya uzazi ni vyetu kweli (mali binafsi), ila namna ya kuvitumia kuna kanuni, sheria na taratibu - Catherine amekiuka taratibu ndiyo maana watu wanampigia kelele. (Cha msingi aombe radhi mambo mengine yaendelee)
Kweli mkuu K... ni yake ila asitumie kuvunja familia za watu.
 
SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
3,925
2,000
WABUNGE WALIMCHANGIA MBUNGE MWENZAO KUFIWA NA 'MUME' WAKE, SIO JUKUMU LA MBUNGE MMOJA MMOJA KUJUA KAMA MBUNGE MWENZAO NI 'MWIZI' WA MUME AU MKE WA MTU. HUYO AZIZA MSUYA NI LINI ALIKUAMBIA WEWE KUWA CATHERINE ALIMUIBIA MUMEWE, NA YEYE MWENYEWE ALICHUKUA HATUA GANI BAADA YA KUIBIWA?
Zingatia ushauri tuliokupa. Tumia K... yako vizuri. Yule Magoba alikuwa na mke na watoto. Kwanini nyie wadangaji muumize watoto wasio na hatia?
Jitafakari sana. Hata CCM kama Chama tumelaani huo ushenzi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom