A camera is an optical instrument used to record images. At their most basic, cameras are sealed boxes (the camera body) with a small hole (the aperture) that let light in to capture an image on a light-sensitive surface (usually photographic film or a digital sensor). Cameras have various mechanisms to control how the light falls onto the light-sensitive surface. Lenses focus the light entering the camera, the size of the aperture can be widened or narrowed to let more or less light into the camera, and a shutter mechanism determines the amount of time the photo-sensitive surface is exposed to the light.
The still image camera is the main instrument in the art of photography and captured images may be reproduced later as a part of the process of photography, digital imaging, photographic printing. The similar artistic fields in the moving image camera domain are film, videography, and cinematography.
The word camera comes from camera obscura, which means "dark chamber" and is the Latin name of the original device for projecting an image of external reality onto a flat surface. The modern photographic camera evolved from the camera obscura. The functioning of the camera is very similar to the functioning of the human eye. The first permanent photograph was made in 1825 by Joseph Nicéphore Niépce.
ClimCam is an Earth observation tool developed through the UN Office for Outer Space Affairs and Airbus program, set for deployment on the ISS to monitor East Africa multiple times daily for early flood warnings, agriculture support, and climate data.
These are the speed limits to be checked by the speed cameras installed in Nairobi:
Safari Park – Thika Road: 110 km/h
Jomoko – Thika Turnoff (Thika Road junction area): 80 km/h
Allsops / GSU HQ – Thika Road: 80 km/h
Pangani / Muthaiga Interchange – Thika Road: 80 km/h
Roysambu / TRM area –...
Mamlaka nchini Kenya na Ghana zinaendelea na uchunguzi kufuatia ripoti nzito kuwa mwanaume mmoja, raia wa Urusi, aliwarekodi kwa siri wanawake wa mataifa hayo mawili wakati wakiwa faragha, na kisha kusambaza video hizo mtandaoni bila ridhaa yao.
Vyombo vya habari barani Afrika na nchini Urusi...
AI glass camera
✅Ina Camera ya 8mp na flash kwa ajili ya kupiga picha na kurecord video
✅Ina AI voice assistant kwa ajili ya image recognition na chatgpt
✅Inatumia app unaweza unganisha na simu
✅Ina earphone unaweza kuplay music kupokea simu
✅Unawez ubadilisha glass aina 3 tofauti
✅unganisha na...
Kwa wafanyabiashara ambao hamjui vile mnaibiwa na wafanyakazi hata kama mmefunga camera.
Iko hivi, mteja akifika dukani atachagua vitu anataka, wakati wa kufanya malipo mfanyakazi asiyekuwa mwaminifu atamwambia gharama yake halisi mfano 200K kisha atamwambia anaweza kulipia 20K na risiti...
Mambo vipi wadau!
Naomba mchango wenu kimawazo kuhusu simu yenye camera nzuri kwa ajili ya matumizi ya kupigia picha na video za kupost kwenye page yangu ya biashara ya instagram, tiktok na mitandao mingine ya kijamii.
Ni Biashara ya salon ya kike, na kama mnavojua biashsra hii picha zina...
Turudi nyuma tukio la lissu kupigwa risasi eneo wanapoishi wabunge.CCTv zote ziliondolewa na kulikuwa hakuna usajili.
Nilichogundua sehemu zita kazokuwa na CCTv wakifanya utekaji wao wataweza kuzibiti taarifa na kukanusha kama hakuna tukio.
Na huu usajili utaweza kujua jirani ,location na wapi...
Nauza digital camera aina ya Sony Alpha a6600 camera, with 5 Lenses
kama unavyoonekana katita picha imetumika kidogo sana ipo kama mpya kabisa bei ni 7.5 million TZS
Sony 10-18mm f4 G lens
Sony 18-105mm f4 G lens
Sony 70-350mm f4 G lens
Sigma 16mm f1.4
Sigma 56mm f1.4.
Also comes with 2...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi...
Nauza digital camera aina ya Sony Alpha a6500 camera plus lenses and accessories plus zhiyun crane 3 lab gimbal .Hii camera imetumika sio mpya ina alama za michuniko kwenye body angalia picha kwa ufafanuzi zaidi lakini haina tatizo lolote inafanya kazi. Bei 3 million .3,000,000 TZS. ipo Zanzibar...
Habari wakuu,
Kuna uwezekano Picha zinazopigwa na Smartphone hizi za kisasa zikaizidi kiwango kamera ya kawaida? (Sio professional camera)
Nimeuliza kwa sababu simu hasa hizi High end zinakuja na maboresho sana upande wa Kamera huku zikiongezwa lenzi,zooming na Megapixels na idadi ya camera...
Siku moja Mwaka 1975 mpigapicha na mwandishi wa habari bwana Stanley Forman alinasa tukio ambalo limebaki katika kumbukumbu ya moja ya matukio mabaya zaidi kuwahi kurekodiwa tangu teknolojia ya uvumbuzi wa camera duniani.
Tukio hili alilolinasa bwana Stanley lilikuwa likimuonesha...
Habari za mda huu ndugu zangu
✅ Imara na rahisi kubeba
✅ Inafaa kwa simu
✅ Bora kwa content creators, wapiga picha na video 🎥
💰 Bei: 15,000/= tu!
Nunua sasa ujiongezee ubora wa picha na video zako!
0781 493401 nicheki sasa
Kuna mtu anahitaji kupiga picha zaidi ya 60 Jumapili ya kesho kutwa asubuhi na mapema sanaa.
Location ni Gongo la mboto.
Hakikisha una Camera ya viwango.
Njoo inbox niku connect
Nina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.
Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa.
Muda mwingi pia yuko na simu (nilimnunulia ya kumsaidia mawasiliano na kusoma) lakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma...
Wadau wa technology.
Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa.
Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za passport.
Nahitaji kwa ajili ya kutoa passport za haraka zile za dakika 3.
Nachoitaji ni kusaidiwa jina...
Kwa budget hiyo nitapata simu ya aina Gani nzuri yenye camera ang'avu quality, betri yake itakayokaa na chaji muda mrefu, na storage yake capacity nzuri
Habar wakuu nataka kuhama kutoka kwenye Xiaomi kuja sumsung ,naombeni msaada wenu nitoleo jipi hasa matoleo mapya naweza pata Samsung yenye camera quality,betri kukaa na chaji mda mrefu,na iwe fast charging na je maduka Gani Hasa kariakoo napata mpya fullbox,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.