CAG Kichere nakupongeza kwa kuonyesha madudu ya kutisha ya serikali inayoongozwa na Rais Samia. Mashirika ya Umma sasa yanashindana kupata hasara.
CAG Kichere umetuonyesha hasara za Atcl, Bwawa la umeme, Sgr, Mgr lakini umesahau kitu kimoja kutuonyesha hasara iliyosababishwa na utengenezwaji wa...