The CAF Confederation Cup, known as the TotalEnergies CAF Confederation Cup for sponsorship purposes, is an annual association football club competition established in 2004 from a merger of the CAF Cup and the African Cup Winners' Cup and organized by CAF.
Clubs qualify for the competition based on their performance in their national leagues and cup competitions. It is the second-tier competition of African club football, ranking below the CAF Champions League. The winner of the tournament faces the winner of the aforementioned competition in the following season's CAF Super Cup.
Moroccan clubs have the highest number of victories (seven titles), followed by Tunisia with five. Morocco has the largest number of winning teams, with five clubs having won the title. The competition has been won by 13 clubs, five of which have won it more than once. Club Sfaxien is the most successful club in the competition's history, having won the tournament three times. Zamalek are the current defending champions, having beaten RS Berkane in the 2024 final.
01 February 2026
Stade Alphonse Massamba-Débat in Brazzaville
Kutoka Uwanja wa Alphonse Massamba-Débat jijini Brazzaville, katika pambano muhimu la Kundi C la Kombe la Shirikisho la CAF. Katika pambano la mwisho kati ya timu hizo mbili, lililochezwa Januari 25, 2026 nchini Tanzania, Singida...
Singida Black Stars wamepiga hatua kubwa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kushinda mechi yao ya pili mfululizo kwa kuilaza Rayon Sports ya Rwanda 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Baada ya ushindi huo, Rais Samia Suluhu Hassan aliwazawadia shilingi milioni 10 maarufu...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa Amezitakia kheri klabu za Tanzania Simba, Yanga pamoja na Singida Black Stars ambazo hii leo zinashiriki katika mashindano ya kimataifa barani Afrika ngazi ya klabu bingwa na shirikisho...
Pamoja na ukweli kuwa Yanga na Simba zote zimecheza fainali ya Kombe la Shirikisho, tena na timu za Afrika ya Kaskazini, Yanga inabaki kuwa na fainali bora kuliko Simba.
Yanga ilicheza fainali na USM Algier ya Algeria ikianzia nyumbani Benjamin Mkapa. Ikalala 2-1. Mchezo wa pili kule Algiers...
Simba sc msimwage damu kuelekea hii mechi, toeni sadaka safi, hakika Mungu atakisia kilio chenu, washirikisheni viongizi wa dini kama mlivyifanya robo fainal.
Nyota ya mchezo ipo upande wenu, msije mkafanya makosa, nasisitiza msimwage damu.
Turudi kwenye mada, wakuu siyo mara ya kwanza rs...
Kikosi cha wekundu wa Msimbazi Simba tayari kimeanza Safari ya kuelekea kisiwani Zanzibar kwenye mchezo wa Fainali ya kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Barkane, Mchezo huo utapigwa Mein25, 2025 katika dimba la New Amaan Complex.
RS Berkane VS Simba SC
| Fainali CAF Confederation Cup
| 17 Mei, 2025
Mashabiki wa Mnyama tayari wameanza kufanya kazi yao
Timu imeondoka kambini kwenda uwanjani.
Kikosi cha Simba tayari kimewasili Uwanjani
Vikosi na mfumo kwa kila timu
Kwanini??, sina taaluma ya coaching ila kwa akili ya kawaida ya kimpira kama umefanikiwa kurejea mechi mbalimbali za hawa RS BERKANE utakubaliana na mimi ni wabovu mno kwenye SET PIECES/free kicks....ni matumaini yangu bench la ufundi wameliona hilo
Tegemea kwenye mechi ya kesho JEAN CHARLES...
Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ishirikiane na TFF na bodi zote na taasisi zinazohusika kuutafutia matumizi ya dharula uwanja wa Zanzibar hili Mechi ipigwe Lupaso kwa maana ya uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kwanza Simba imeuzoea sana uwanja wa Benjaminj Mkapa kiasi kwamba wanajua...
Zanzibar wapo strict sana kwa kupenda kuonekana ni nchi ya dini, maamuzi mengi hufanyika kwa msingi wa dini katika mambo yao.
Uwanja wao hawawezi kuruhusu kuufusha, kuingiza mapaka, kumwaga vitu vya ahabu, waganga waliovaa hirizi, n.k. kama tulivyozoea kuona kwa mkapa
Mechi ichezwe kwa Mkapa...
Ni mambo ya hovyo sana yaani unaanza kuuza tiketi kinyemela ilihali hujapewa go ahead ya uwanja kufunguliwa
Tunafahamu uwanja ulifungiwa na jumapili maafisa wa CAF walikuja kuukagua kabla hawajatoa majibu simba kwa maksudi wakaanza kuuza tiketi ilihali hawajapewa go ahead
Viongozi wa simba...
Naaam! Hayawi hayawi Sasa yamekua
Mtoto akililia wembe MPE, ndiyo hayo siyo maneno yangu Bali ni maneno ya Wahenga na kiuhalisia kabisa hii fainali Simba SC waliitaka kwa hali na Mali ili wapoze machungu ya Mashabiki Wao Wenye uchu ya makombe na kuona timu Yao ikipiga hatua kimataifa na siyo...
Ama Kwa hakika Simba hua anashiriki mashindano ya Kimataifa katika mazingira magumu sana tofauti na wapinzani wao wote,yaani wa ndani na nje.
RS Berkane wao walishamaliza ligi Yao siku nyingi TU na Sasa kazi Yao ni moja TU,kujifunza kuisoma Simba na kufanya mazoezi dhidi ya Simba TU.
Wakati...
Mtangazaji wa Wasafi FM, BabaLevo aweka ahadi kama Simba wakishinda Kombe la Shirikisho Afrika, mashabiki wa klabu hiyo waende kuvunja ghorofa lake.
Credit: Wasafi FM
Hata Mimi ntaweka ahadi ya gari langu Land cruiser v8
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Simba hii ya mwaka 2025 ni Simba ya maajqbu.
Imefanya mambo yaliyofanywa na baba zao miaka 32 iliyopita.
Kwangu Mimi Simba hii ni moja kati ya kikosi Bora kabisa Cha Simba,hii ni Kwa sababu ya namba zake.
Sikatai ubora wa vikosi vya Simba vilovyopita,lakini kikosi hiki ni Cha maajabu sana...
Pia itakuwa ni timu ya kwanza Tz kuleta kombe la Caf.
Yanga kwa sasa Tuweni wapole tu, hakuna namna. Tuwe wakweli tu kuwa kwasasa hatuna hoja za mabishano na majigambo. Hata itokee Yanga tuchukuwe kombe la ligi kuu na la crdb na hata itokee tumfunge Simba bado haitazidi HESHIMA NA HADHI YA...
Naona baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa Simba wasio na ufahamu wa masuala ya Soka wanalinganisha kufuzu Kwa Simba Leo kuwa amefika record ya Yanga
Tukumbuke mashindano ya CAFCC ambayo alishiriki zilikuwemo nchi ambayo ni mabingwa wa mataifa Yao kama Yanga, Rivers united, Club Africain n.k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.