caf confederation cup

The CAF Confederation Cup, known as the TotalEnergies CAF Confederation Cup for sponsorship purposes, is an annual association football club competition established in 2004 from a merger of the CAF Cup and the African Cup Winners' Cup and organized by CAF.
Clubs qualify for the competition based on their performance in their national leagues and cup competitions. It is the second-tier competition of African club football, ranking below the CAF Champions League. The winner of the tournament faces the winner of the aforementioned competition in the following season's CAF Super Cup.
Moroccan clubs have the highest number of victories (seven titles), followed by Tunisia with five. Morocco has the largest number of winning teams, with five clubs having won the title. The competition has been won by 13 clubs, five of which have won it more than once. Club Sfaxien is the most successful club in the competition's history, having won the tournament three times. Zamalek are the current defending champions, having beaten RS Berkane in the 2024 final.

View More On Wikipedia.org
  1. LICHADI

    JamiiForums Tanzania Kuelekea fainali ya Simba Taifa tunaomba muache habari ya Tiketi za bure mnatuharibia mpira

    Sisi kama mashabiki og tunaoenda uwanjani mechi zote za Caf kma mechi za mtoano hakukuwa na Tajiri aliyetununulia tiketi za bure basi fainali napo tunaomba kila mtu alipie ili wapenzi.halisi wa simba tupate nafasi ya kuona fainali Hii mechi mkiitumia kisiasa sijui mtu.mmoja anunue tiketi 30,000...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu 2025 Simba itachukua kombe la shirikisho,nyota inaiwakia,namba zinairuhusu ,ni muda wake

    Mimi sio mchambuzi wa soka,sio mtabiri wala sio mganga,Bali ni mtu ninaependa kuangalia mambo kwa kina. Sababu zinazonifanya nione kabisa kua, safari hii na mwaka huu wa 2025,ni mwaka wa Simba kutwaa kombe la shirikisho ni hizi: Ni kweli Simba bado inajenga timu,hili wala hakina ubishi. Lakini...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tumeshinda nimefurahi sana Leo lakini timu yetu bado ina madhaifu mengi sana, tujirekebishe tunapocheza na RS Berkane ugenini

    Kwanza napongeza sana uongozi wa Simba, bodi na mashabiki pamoja na serikali kwa kufanikisha Simba kuingia fainali na hivyo kuendelea kuweka rekodi. Mchezo wa Leo vs Stellebosch ulikuwa mzuri kwa sababu tumetoka share na hivyo kikanuni tumeweza kufuzu kwa BAO letu la home. Hata hivyo, kwa mtu...
  4. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Simba yazika rasmi umbea wa ngonjera za medali za mchongo za Gongowazi!

    Kwa heshima na taadhima, tunapenda kuwapongeza Yanga kwa kuweka historia ya kuwa watalii rasmi wa fainali za CAF Confederation Cup! 🎖️😂 Kwa muda mrefu mmekuwa mkihubiri injili ya "medali, medali", sasa tumewasindikiza rasmi kwenye kaburi la hadithi hiyo! ⚰️🏅 Simba tunaenda fainali, tutavaa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Simba ni timu ya kwanza Tanzania kuingia fainali za Caf mara 2

    Pia itakuwa ni timu ya kwanza Tz kuleta kombe la Caf. Yanga kwa sasa Tuweni wapole tu, hakuna namna. Tuwe wakweli tu kuwa kwasasa hatuna hoja za mabishano na majigambo. Hata itokee Yanga tuchukuwe kombe la ligi kuu na la crdb na hata itokee tumfunge Simba bado haitazidi HESHIMA NA HADHI YA...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tusilinganishe CAFCC Ile Yanga alochukua medali na hii ya Simba

    Naona baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa Simba wasio na ufahamu wa masuala ya Soka wanalinganisha kufuzu Kwa Simba Leo kuwa amefika record ya Yanga Tukumbuke mashindano ya CAFCC ambayo alishiriki zilikuwemo nchi ambayo ni mabingwa wa mataifa Yao kama Yanga, Rivers united, Club Africain n.k...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Yanga Ruksa mchukue Ligi kuu, Muungano cup na hata FA, Simba tujikite kuleta kombe la kimatafa kwa mara ya kwanza Nchini

    Yanga mna ruhusa zote kubeba makombe yote ya ndani Ligi kuu, FA na hilo la Muuungano. Hayo makombe ya ndani yapo tu wala hayana stress, Simba tujikite na kombe la kimataifa ikiwezekana hata huko FA tujiengue
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Simba leo ikishinda natembea bila nguo na nipigwe Ban kwa kitendo hicho

    Ndiyo natembea bila nguo kifuani....watu waone manywele yote kifuani. Na kwa kitendo hicho nipigwe ban ya mwezi mzima kavu. Bila mbambamba. Sioni Simba ya kushinda match ya leo na washambuliaji kama akina Ateba na Ahoua anabaki na goal anapiga nje....nlicheka sana. Mshambuliaji migulu baja...
  9. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Nguvu kubwa anayotumia Mwameja kama bonus kwa wachezaji huko shirikisho angeweza kusajili wachezaji bora wasiohitaji motivation

    Kweli akili ni mali, Nguvu kubwa inayotumika na mahujaji wa sanamu ya Rage ili tu kumkomoa na kuvunja record za Yanga, Laiti kama ingekusanywa na kuwekwa pamoja basi Marcel Alliende huyu hapa! Hayo mamilioni yanayotumika kumlipa chapombe na Ataiba ili kumtoa Al masry sijui cs sfaxien na timu...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia abeba gharama za Simba Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipa Simba sapoti ya usafiri wa kwenda Afrika Kusini na kugharamia malazi kwa timu hiyo katika kipindi chote itakapokuwa huko kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch, Aprili 27, 2025...
  11. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Simba mkitaka kuchukua kombe la shirikisho! Mpanzu, Kibu na Ahoua waachwe Bunju hawa ndio wanaohujumu timu yenu

    Mimi naomba nipingane na mashabiki wote wa simba na wachambizi wa mchele hapa Bongo wanaojiita wachambuzi wa soka. Kibu, Mpanzu na Ahoua hawa watu wanatabia moja ya kupenda sifa, mapicha picha, camera na ujiko Uchezaji wao ni kama wa boka au kibwana shomari tena afadhali boka na kibwana maana...
  12. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika 100% kama Simba ingeshiriki CAFCL kwa kikosi hiki isingeweza kufuzu hatua ya makundi

    Kuna wakati inabidi mashabiki wa Simba wawe na shukrani, Maana kama hiki ndicho kikosi chao cha kwanza, na aina hii ya uchezaji, basi nina uhakika 100% wasingeweza kufuzu hatua ya makundi katika mashindano ya Mabingwa wa bara la Afrika. Wanapaswa kuoshukuru sana Azam na kushukuru kudondokea...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba hii ilifikaje semi final? Nashauri mkimbie mechi ya marudiano huko South Africa

    Ndo maana shirikisho ni mashindano madogo yaani hakuna bingwa wa nchi yoyote anayecheza haya mashindano ya kitoto Leo nimetazama mchezo wa Simba dhidi ya Stellenbosch, ni kituko tu ni kama ndondo au mashindano ya Watoto wa shule Simba inacheza kama haina coach? Timu haijui ikabe vip...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Simba wamecheza vizuri sana,na huu ni ushindi wa kupongezwa kabisa

    Nawapongeza Simba Kwa ushindi dhidi ya Stellenbosch wa goli moja Kwa bila. Sijui ni kutokuelewa matokeo ya Sola au ni ushabiki uliopitiliza. Mashabiki wengi wa Simba ni kama hawajaridhika hivi Kwa goli moja bila na kosakosa kibao. Lakini mchezo wa soka tunajua una matokeo ya kushangaza. Ukweli...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Simba pamoja na kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na kufanya Kila kitu Stellenbosch wameonyesha uwezo

    Ule msemo wa uchawi aupandi ndege inawezekana ukaja kutimia kule bondeni kwa madiba! Simba pamoja na kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na kufanya Kila aina ya ushirikina bado wamepewa mechi ngumu na vijana wa madiba! Kama kawaida yao na jadi yao ya ushirikina ndio vimewanusuru Leo kupata...
  16. Bueno

    JamiiForums Tanzania Tarehe 27.04.2025 Simba SC anafungwa na Stellenbosch FC, asipofungwa naomba nipigwe ban JF kwa muda watakaoupendekeza Mashabiki wa Simba SC

    Wakuu sijamaliza, muendelezo ni ule ule baada ya leo wale Makolo kufunga goli la Offside ya mchongo kutoka kwa Kibu akipewa assist na refa. Sasa game inayofuata kwa Madiba miamba Stellenbosch wanaenda kuukata mzizi wa fitna. Simba SC kwa Stellenbosch hafui dafu nyumbani kwa Stellenbosch. Kwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Tupo nyumbani kwenye mechi ya nusu fainali na kocha anaanzisha holding midfielders wawili

    Inasikitisha. Tupo nyumbani kwenye mechi ya nusu fainali ambayo tunahitaji matokeo ya goli kuanzia 2 kwenda juu alafu kocha anaanza na viungo wakabaji na sio wakabaji tu ila pia wenye mentality ya kukaba wawili yaani Ngoma na Kagoma. Ukiacha hilo, tupo nyumbani tunaongeza kwa goli moja la...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kama itaingia fainali ya CAFCC, kwa hatua ya dharura, Simba SC ichukue hatua hizi za kuzuia maji uwanja wa Mkapa

    Iwapo Simba itaingia fainali ya CAFCC, hakuna mwanasimba au mpenda soka yoyote nchini anayejitambua atakayefurahi kuona Simba inakosa fursa ya kutumia uwanja wa Mkapa, hasa ukizingatia pia mechi ya pili ya kukabidhiwa kombe itafanyikia katika uwanja wa nyumbani. Litakuwa ni kosa la karne na...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Simba msijisahau na kuendelea kusherehekea kuingia nusu,mkasahau kujiandaa na yajayo

    Historia inatuonesha Kuna watu walisherehekea mafanikio wakasahau kujiandaa kwa matukio yajayo,mwisho wa siku wakaja kupoteza kirahisi kabisa. Kitu ninachoweza kuwaambia, kwa kadri mtu anavyosonga mbele katika jambo lolote lenye faida, ndivyo anavyokutana na ugumu. Hivyo nawashauri Viongozi wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyoyaona leo Simba ikitinga Nusu Fainali na Kuivaa Stellenbosch ya Afrika Kusini

    1. Kipa wetu Pin Pin Camara ndio usajili namba moja mzuri uliofanywa na viongozi wa Simba, ni kipa ambaye hata kama anafungwa huwa anafungwa kama wanavyofungwa makipa wengine duniani lakini haiondoi ukweli kuwa kipa huyu ni bora mno na Aishi Manula atafute changamoto timu nyingine. 2. Shomari...
Back
Top Bottom