caf confederation cup

The CAF Confederation Cup, known as the TotalEnergies CAF Confederation Cup for sponsorship purposes, is an annual association football club competition established in 2004 from a merger of the CAF Cup and the African Cup Winners' Cup and organized by CAF.
Clubs qualify for the competition based on their performance in their national leagues and cup competitions. It is the second-tier competition of African club football, ranking below the CAF Champions League. The winner of the tournament faces the winner of the aforementioned competition in the following season's CAF Super Cup.
Moroccan clubs have the highest number of victories (seven titles), followed by Tunisia with five. Morocco has the largest number of winning teams, with five clubs having won the title. The competition has been won by 13 clubs, five of which have won it more than once. Club Sfaxien is the most successful club in the competition's history, having won the tournament three times. Zamalek are the current defending champions, having beaten RS Berkane in the 2024 final.

View More On Wikipedia.org
  1. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Hivi mlitegemea timu ya Shirikisho imfunge timu inayoshiriki Klabu Bingwa Afrika?

    Inashangaza sana baadhi ya mashabiki wa Simba kutupa lawama kwa mwamuzi wa mchezo wengine wakitoa lawama kwa serikali, Swali la msingi ambalo wanajisahaulisha, Hivi kweli walikuwa serious wakitarajia kuifunga Young africans? Wanapaswa kushukuru mbinu aliyoingia nayo kocha wa Yanga (kuamua...
  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba ikipita kwenye hili kundi nipigwe ban

    Huwa kila siku nasema hii timu ya Simba wanayasifia na wanasahau walikua wanasema ni kombe la looser nasema kama Simba ikapita kwenye hili kundi nipigwe ban.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hakuna timu CAF ya kuitoa Simba makundi Wala robo fainali

    I will be short a big team is a big team. Simba is a big team. Big team is seen in big stages. Simba cafcc group it's Simba vs mid arabs teams. Simba has bigger budget. bigger fan base. bigger presence, no hard feelings but Simba will win almost all game in that group. am rooting for...
  4. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Yanga hamna kitu; Kombe la shirikisho (CAFCC ) mnaliponda alafu hapo hapo mnalisifia

    Droo imepangwa, lakini ni Kama mashabiki wa utopolo imewaumiza kuona Simba anaenda fainali kabla hata ya kucheza. Kinachonishangaza wameanza kuikisoa CAFCC ( Ambao wao pia walicheza ), na kusema ni kombe la "WAMAMA" kwa maelezo Yao kuanzia hapa JF, mitandaoni na hata mitaani Ila kinachoniacha...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Mbinu 3 za Yanga kufuzu Robo Fainali klabu Bingwa Afrika 2024/2025

    Leo tumeshuhudia Shirikisho la Mpira wa miguu Afrika ( CAF) wa upangaji wa hatua ya makundi kombe la Klabu Bingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika ( CAFCCL) ambapo Yanga kwenye Klabu Bingwa Afrika wamepangwa na TP Mazembe DR Congo, Al Hilal ya Sudan na MC Alger ya Algeria. Kwa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Ahmed Ally baada ya droo Kombe la Shirikisho Afrika

    Wajue Wapinzani wa Simba SC Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika Katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC inakutana na wapinzani wenye historia kubwa katika michuano hii. Wapinzani hao ni CS Sfaxien na CS Constantine. 1. CS Sfaxien: Huyu ni bingwa mara tatu wa Kombe la...
  7. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024

    The draw will commence with the TotalEnergies CAF Confederation Cup Group Stage Draw at 15h00 East African Time (EAT), followed by the TotalEnergies CAF Champions League Draw at 16h00 EAT. Live Updates... https://www.youtube.com/live/5dTi02vfih8?si=WML4Hb5ZtrEVzEHk CAF CONFEDERATION CUP...
  8. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Biashara United aliwafunga hao waarabu Koko wakiwa wamoto vibaya mno,Leo nyie mnawafunga wakiwa wamejichokea mnashangalia

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane! Nimesikia mnatamba ya kwamba kwasasa hata aje nani atapigwa tu! Tunaomba hadi tarehe 19 ya mwezi Ujao huyo Mpanzu awe amepewa vibali vya Kucheza maana hatutaki visingizio siku hiyo! Zikipungua sana siku hiyo zitakuwa 5! Soma Pia: FT: Simba SC 3-1 Al...
  9. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga kujua wapinzani wao kwenye makundi katika draw ya October 7, 2024

    Draw ya group stage CAF Champions league na Confederation cup ni tar 7 October. Kila la kheri Simba na Yanga https://www.instagram.com/p/DAO9o1wM3K5/?utm_source=ig_embed&ig_rid=efe7b6f8-a056-4a0f-b130-f9cf100859e6&ig_mid=FB4546D4-2091-437A-A6A7-7AFA15166059...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyoyaona Simba ikiikaanga Al Ahly Tripoli ya Libya

    1. Mchezo ulikuwa mzuri lkn ulitaka kuwa mgumu baada ya Mabululu kututanguliza na waarabu kuweka viungo wengi kati kuliko sisi ambao tulimtegemea sana Kagoma na Fernandez 2. Che Malone ameanza kutupanda kichwani, yeye na Hamza uchezaji wao uko slow sana na kama tungecheza na timu kubwa kama...
  11. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Simba SC yafuzu kombe la walioferi(CAF Cofenderation cup)

    Hatimaye klabu ya simba yafuzu kombe la mbumbumbu walioferi aisee kweli mwaka huu Kuna vichekesho wenzao yanga wapo klabu bingwa ya mabingwa wao wamefuzu kombe la walioferi wanashangilia kama wamechanganyikiwa Fulani hivi haya fikeni fainali Hilo kombe la walioferi maana ndio kipimo hongereni...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhali nawaomba katika Press Conference ya Kesho na Pre Match Meeting msimteue Shomary Kapombe aende kwani ana Nuksi

    Kama hatoenda Nahodha mwenyewe Mohammed Hussein Zimbwe Jr basi aende hata Kelvin Kijiri tu inatosha sawa?
  13. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Timu zingine kuiga 'Supu day' na majina ya wachezaji mechi za kimataifa ni kukosa ubunifu?

    Tumezoea kuona Yanga wakija na ubunifu wa aina mbalimbali, mfano, Tumekuwa tukiona wakifanya 'Supu day' ambapo wanachama, wapenzi na mashabiki mbalimbali hukutana pamoja kufurahi na kubadilishana mawazo huku wakiburudika na supu! Kuna kilabu kingine kinachoshiriki kombe lisilojulikana na Rais...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania kwa nini kila timu ikija kucheza na Simba wanakuja na vyakula vyao na wanapikia ubalozini?

    Nimejiuliza sanasanaa Kwanini kwa Simba. Kila timuzanje zikija zinakuja na vyakula vyao Na vyakula wanapikia ubalozin mwa nchi husika. Nawaza wanaogopa Uchawi, Kulogwa, ama wana taarifa zaidi zinazohusu Simba? kwa nini wakija kucheza na Yanga hakuna mambo kama haya. Cc Okwi b mpwaaaa. Soma...
  15. chibuOG

    JamiiForums Tanzania Simba SC wamechea kikubwa na kimkakati

    Simba Sports Club pamoja nakuwa na kundi kubwa la wachezaji wapya pamoja na benchi la ufundi jipya kabisa lakini bado wameonyesha kuwa wao ni timu namba moja kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na Namba 6 kwa ubora kwa vilabu Afrika nzima.Yaani ule mpira waliocheza jana ndio huwa unampa...
  16. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Nikimwangalia Mutale namwona Saido, ni kama "chumvi" na "mkubwa jiko", Balua ni wa "ligi kuu" tu anga za kimataifa zinampwaya

    Tokea mechi ya kwanza Mutale anacheza akiwa na jezi ya Simba dhidi ya APR ni wazi alionekana ni mbadala halisi wa SAIDO,,, yaani wanafanana kila kitu wanachokifanya uwanjani.. Akiwa na mpira analazimisha kukaa nao bila sababu za msingi wakati kuna nafasi za kuwapa wenzake. Utakuta kuna...
  17. Labani og

    JamiiForums Tanzania Bora hata Azam FC alipiga on target nyingi Kwa APR kuliko Simba SC hii

    Uchambuzi wangu Bora hata Azam tunaweza kusema walikufa kiume....Kwani walipambana Kwa kupiga mashuti mengi ambayo yalilenga lango japo hawakuwa na bahati. Ila ndugu zangu makolo. Wana kikosi heavyweight cha thamani ya 7b billion.....lakini hawapiga suti hata Moja la kulenga goli...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba inaenda kurudisha hadhi na msisimko wa Kombe la CAF Shirikisho

    Kuna siku niliwahi kupost kuwa CAF walihuzunika sana msimu ule wa 2022-2023 kwa timu zilizoshindana hasa zile zilizofika mbali katika Kombe la Shirikisho. Hadi ikafikia hatua wakaanza kufikiria kuliondoa kabisa kombe hilo kuondoa aibu ndogo ndogo kama zile. Nafikiri sponsors waliona ni upuuzi...
Back
Top Bottom