Amwambia aondoke kijijini asirudi kamwe.
Imetokea Jumatatu asubuhi[juzi],huyu DC[sijawahi kumuona,wala sifahamu jina lake] amemtuma mtu kuniambia ''DC amesema kuna tatizo fulani limetokea na anataka wewe uondoke hapa''
Mimi nikasema hakuna tatizo lililotokea. Halafu yule jamaa akasema,''Okay...