Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Elimu, Wilson Mahera, ameibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Butiama, akimshinda mbunge aliyekuwa akitetea nafasi hiyo, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria...