bunge

  1. Wabunge wa bunge la Pakistan wazichapa

    Mvutano mkali ulitokea ndani ya Bunge la Mkoa wa Punjab, Pakistan, siku ya Jumatatu, baada ya mbunge wa chama cha Pakistan Tehreek-e-Insaf (PTI), Khalid Nisar Dogar, kumshambulia kimwili mbunge wa Pakistan Muslim League-Nawaz (PML-N), Hassan Riaz. Tukio hilo lilianza wakati wa majibizano makali...
  2. Rasmi USAID imevunjwa leo na Bunge la Marekani,serikali imejipangaji?

    Bunge la Marekani hii leo limekamilisha mchakato wa kulivunja shirika la misaida la nchi yake liitwalo USAID. USAID likikuwa likitoa misaasa nchi mbalimbali za Afrika ikiwepo Tanzania katika sekta mbalimbali hasa Afya kama vile kupambana na magonjwa yanayo ambukiza kam vile ukimwi na afya ya...
  3. W

    GE2025 Mwakubusi: Bunge linahitaji watu makini na wenye uelewa

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi amesema Taifa linahitaji Bunge lenye wabunge makini, mahiri na wenye uelewa wa kina wa masuala ya kikatiba, ili kuhakikisha uwajibikaji na ufanisi katika mfumo wa utawala wa nchi unarejea kwenye misingi iliyowekwa na...
  4. S

    Hoja za Mbunge Mpina hazijajibiwa hadi Bunge na Baraza la Mawaziri limevunjwa

    Hoja zilizoibuliwa na Mbunge Luhaga Mpina zimekosa majibu hadi Bunge na Baraza la Mawaziri limevunjwa, je watanzania wafanye nini ili kupata majibu ya hoja hizo. nazikumbuka hoja chache za Mpina ambazo hazijapata majibu hadi sasa. 1. Hoja Kwanini Wizara ya Kilimo ilitengeneza uhaba wa sukari...
  5. GE2025 Salum Mwalimu: Mim na Ado ni wabunge kwenye bunge lijalo

    "Nitakuja Tunduru kufanya Mkutano na Mkutano wangu wa Tunduru nitatamani niambatane na Katibu Mkuu mwenzangu, Kaka yangu Ado Shaibu tuje tungurume hapa. Leo ilikuwa nije naye, yule ndio pacha wangu, yeye akicheza 11 mimi namba saba na tumekubaliana mwaka huu Mimi na Ado Shaibu kiwake kisiwake...
  6. Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

    Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍 #NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
  7. S

    Baada ya Bunge la Tulia Ackson kushindwa kujadili vitendo vya utekaji na watu kupotea, Mbunge yeyote ambae angejiuzulu, angejingea heshima kubwa sana

    Huu ndio ukweli ila hakuna aliejiuzulu kwasababu hawajakomaa kisiasa, siasa imekuwa biashara, hawakuandiwa kwa viongozi, hawasomi historia na zaidi wametawaliwa na tamaa ya fedha na madaraka na ndio maana hakuna hata mmoja alieona thamani ya kujiuzulu ubunge na kukataa kuwa sehemu ya Bunge...
  8. Sasa Hili Uende Bungeni Ni Lazima Upendekezwe Na Rais Na Si Wananchi, Bunge linaendeshwa na Serikali Kuu

    Tumeona mara kadhaa Rais akikataa Wabunge fulani fulani wasipitishwe, kauli maarufu ni hile ya msiniletee Magwajima. Wananchi hawana tena uamuzi kwa kuchagua kiongozi wanayemtaka zaidi ya mamlaka kupanga nani awe mbunge, serikali kuu inaingilia maamuzi ya muimili mwingine ambao ni bunge...
  9. K

    GE2025 Kama Kweli CCM mtawaondoa Wachangamsha Bunge Akina Mpina, Bunge lijalo litakuwa Mithili ya Kanisa la Mwamposa

    Kama fununu kuwa Mpina kaondolewa asigombee ubunge,Bunge lijalo litakuwa la Watoa pongezi kwa viongozi kama waimba mapambia makanisani. CCM tukumbuke kuwa wananchi wanaliona bunge la Sasa ni afadhali mabunge ya enzi za Chama kimoja. Enzi hizo wabunge walikuwa machachali kama alivyo Mpina...
  10. Uthibitisho wa CCM kuiangamiza Tanzania: Kama sifa ya kuwa Waziri ni kuwa mbunge, Ilikuwaje Mawaziri wanaendelea wakati Bunge limevunjwa?

    Kwa sie tuliozaliwa zamani kidogo tulikuta mfumo mzuri sana uliokuwa unaliendesha hili Taifa. Mfumo huo ni kwamba, baada ya Bunge kuvunjwa, Wizara zote zilikuwa zinaongozwa na Makatibu Wakuu hadi baada ya Uchaguzi na baraza jipya la Mawaziri kutangazwa na kuapishwa. Pia Katibu Mkuu kiongozi...
  11. GE2025 Zitto Kabwe: Bunge la Miaka Mitano iliyopita lilikuwa Buyu na Kibogoyo

    Miaka mitano hii imepita ni miaka migumu sana, sheria za hovyo zimepitishwa ndani ya Bunge, leo hii matukio ya utekaji yameongezeka mnaambiwa watekaji ni watu wasiojulikana, leo hii Usalama [Wa Taifa] wanaruhusiwa kukamata watu, wanaruhusiwa kubeba silaha kwasababu ya Bunge ambalo lilikuwa na...
  12. M

    Hizi kejeli za Wakenya dhidi yetu zina ukweli ndani yake? Kwamba bunge linaenda kuwa la Wachekeahaji na mambumbu!

    Mhimili muhimu kwa maisha ya watanzania kwa ajili ya kutunga na kuisimamia serikali imekuwa kama kihoja. Kwamba watu wa hovyohovyo wanaonyesha nia kwenda bungeni kana kwamba ni chooni. Wakenya wapo sahihi.
  13. Bunge la kesho

  14. Bunge la samwel SITA na la Tulia Akson je lipi lilikuwa bunge la wananchi?

    Tufanye tathmini ya bunge la Kasi na viwango la comrade samwel SITA na hili ambalo binafsi sijui lilisimamia nini maana wananchi walitekwa wakauwawa na Bado spika akazuia bunge kuiuliza serikali je lipi lilikuwa bunge Bora?
  15. Lini Bunge letu litavunjwa

    Naomba mnijuze, wengine tumepotea mtujuze, Bunge la jamhuri ya tanzania lilikuwa livunjwe jana tar 3 sasa sijasikia live au sikuwepo labda, mwenye taarifa kamili atujuze lini litavunjwa.
  16. K

    Ndoto yangu 2025 - 2030 tuna na Bunge kama la Makinda na Samweli Sitta

    Nipo kwenye daladala, dereva amefungulia mziki mnene wa singeli, kondakta amevalia suruali ya bluu imejaa viraka kila kona na sehemu nyingine imechanika chanika, hana mpango wa kuishona wala kuifua Fulana yake ndiyo iliyonitambulisha kuwa kumbe zile ni yunifomu zake na polisi wa usalama...
  17. Baada ya Bunge kuvunjwa rasmi, Je Dkt. Bashiru Ally anarudi UDSM kufundisha siasa na kuishi kwake pale Ubungo Maziwa?

    Bashiru Ally Kakurwa sijamuona akichukua Form Na sioni Kama akiteuliwa tena kwa Sababu alipopewa nafasi ya kutawala kosa kubwa alilofanya alitumia nguvu kubwa kutengeneza maadui . Je, atarudi Ubungo Maziwa na Udsm kuendelea kufundisha political science. Ushauri, mitaala imebadika kwa hiyo...
  18. Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama Mbunge wa chama Gani?

    Wakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
  19. M

    Takwimu ya Wabunge bubu kutoka Zanzibar imenistua sana!

    Tovuti rasmi ya Bunge inayo orodha ya wabunge wanaoongoza kwa kutochangia chochote kwa miaka mitano. Miongoni mwao ni Mbunge wa Tunguu (CCM), Khalifa Salum Suleiman, ambaye hajawahi kuchangia wala kuuliza swali la msingi au la nyongeza, sawa na Mbunge wa Mfenesini (CCM), Zubeida Khamis Shaib...
  20. Bunge lijalo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…