bunge la tanzania

The National Assembly of Tanzania (Swahili: Bunge la Tanzania) and the President of the United Republic make up the Parliament of Tanzania. The current Speaker of the National Assembly is Job Ndugai, who presides over a unicameral assembly of 393 members.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je, bunge la Tanzania ni useless?

    Kitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless? Mhimili mfu? Au ni bunge linalotumikishwa na mhimili mmoja wapo ? Bunge la kusifu na kuabudu? Kama Dar es salaam hii ambapo ni kitovu...
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wasione wivu Bunge la Ulaya Kuwasemea Wananchi Kwani wao Wameshindwa Kujishughulisha

    Kwa Mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 na Sheria ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge (Sura ya 296) 1. UTANGULIZI Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni chombo cha kikatiba chenye wajibu wa kisheria wa kutunga sheria, kuisimamia Serikali na kuwakilisha wananchi...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Rais wa Bunge la Ulaya kuja Tanzania kuleta azimio kwa Serikali na bunge la Tanzania kuhakikisha haki inapatikana ikiwemo uchaguzi huru na wa haki

    Rais wa bunge la ulaya kuja Tanzania kuleta azimio kwa serikali na bunge la Tanzania kuhakikisha haki inapatikana ikiwemo uchaguzi huru na wa haki. Bunge la ulaya limelaani mauwaji ya kiholela, ukamataji watu hovyo wasio na hatia unaofanywa na jeshi la polisi, matukio ya utakaji na uhalifu kwa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania litoe tamko kukemea uingiliwaji wa Sovereignty ya Tanzania in strongest possible terms!

    Tanzania ni Sovereign State. Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili. Tanzania Ina Katiba yake Katiba imeweka Mahakama huru Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia. Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao...
  5. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ni Tanzania pekee miongoni mwa nchi zote za Jumuia ya Madola ambako Bunge limekuwa ni Holday Camp? Sehemu ya show off?

    Nimekuwa nafuatulia Mabunge mengi hasa yanayo fuata mfumo wa Jumuia ya Madola,nafuatailia sana Bunge la Kenya, Uganda, Zambia, Malawi, South Africa na hata nje ya Africa, Ila pia nimekuwa nafuatilia mabunge mengine yasio fuata mfumo wa Jumuia ya Madola kama Rwanda, Burundi, DRC na kadhalika...
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania kwa wastani kila mwaka wanakufa wabunge wawili

    Bunge la 12 limepoteza wabunge 10,ndani ya kipindi cha miaka mitano,wastani wawabunge wawili kwa mwaka. Halu ni hiyo hiyo kila bunge Wabunge na watia nia hawapendi kusikua habari kama hizi za kutishana Tuwaombee bunge lijalo asife hata mkoja ili vaada ya miaka mitano tuwaulize wametufanyia...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Bunge letu, Bunge Kibri, Jeuri? Linawezaje kutunga tena Sheria batili? Limeamriwa kuondoa ubatili huo, linapata wapi jeuri ya kuidharau Mahakama?

    Wanabodi, Hii ni Makala Yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Leo. Angalizo: Hii Mada ni Swali na Alama ya Kuuliza iko wazi na sio Statement!. Nimeanza hivyo kwasababu mimi mwenzenu niliwahi kuitwa Bungeni Dodoma kwa kutuhumiwa kulidharau Bunge, kufika kule kule Mbunge aliyenishitaki kwa Spika...
  8. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ninaishauri Serikali ya Tanzania kupitia Bunge, kutunga na kuingiza sheria ya mitaala mipya ya elimu. Sio kila Waziri wa elimu kubadili mfumo wa elimu

    Ninaishauri serikali ya Tanzania kupitia Bunge, kutunga na kuingiza Sheria ya mitaala mipya ya elimu kwenye katiba ya nchi. Huu ni hatua muhimu katika kuhakikisha mfumo wa elimu unakuwa thabiti na endelevu, bila kuathiriwa na mabadiliko ya kisiasa au kubadilishwa kwa viongozi wa elimu. Kila...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia Ackson: Natamani kumuona Manara bungeni. Naibu Spika akistaafu siasa nitamshauri Manara akagombee

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Tulia Ackson ameeleza jinsi ambavyo amekuwa akitamani kumuona Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv Hajji Manara akiwa ni miongoni mwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. "Unajua kule bungeni...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wa Zanzibar wasitoke nje ya Bunge yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika?

    Yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano, ni kwanini wabunge toka Zanzibar wasiwe wanatoka nje ya bunge na kuwaachia wabunge wa Tanganyika kujadili mambo yanayowahusu watanganyika? Ni sawa wabunge toka nchi nyingine kujadili mambo yasiyowahusu ya nchi nyingine?
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Wanu Ameir Awasilisha Taarifa ya OACP/EU Kwenye Kamati ya Bunge la Tanzania

    MHE. WANU H. AMEIR AMEWASILISHA TAARIFA YA OACP/EU KWENYE KAMATI YA BUNGE Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Vita Kawawa wamepokea na kujadili Taarifa ya Wawakilishi wa Tanzania katika Umoja wa Mabunge ya Afrika, Carribeani...
  12. Dance Macabre

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni wabunge gani wamedumu kwenye nafasi zao kwa muda mrefu zaidi?

    Ni wabunge gani waliopo bungeni wamehudumu kwa muda mrefu zaidi? Nani anashikilia rekodi ya kuhudumu kwa muda mrefu zaidi? Muda wa wastani wa mbunge kuhudumu ni miaka mingapi?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anaweza kuniambia faida za Wabunge Tanzania?

    Kwa mujibu wa katiba,kazi za bunge ni kutunga sheria na kuisimamia serikali. Katika kazi hizo mbili,kazi ya kutunga sheria inafanywa na wanasheria wa serikali kusha kupitishwa na Bunge. Sheria iwe mbaya ama nzuri hakunaga sheria ambayo hupigiwa kura ya hapana. Kama ndivyo basi, kwa nini...
  14. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Bunge ni Mali ya Wananchi kitendo cha kuwazuia Wabunge wenye taarifa muhimu za Kamati ni udhalimu

    Bunge la Tanzania Leo limeanza kikao vyake jijini Dodoma ambapo bunge ili litajadili taarifa za kamati tatu muhimu, ambazo zimewasilishwa na kamati hizo za kudumu kamati hizi zimewasilisha taarifa muhimu baada ya kupitia taarifa ya Cag ambapo makati hizo tatu za kudumu ambazo ni Kamati ya Kudumu...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia Ackson aibana Serikali kuhusu ajira kwa wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ameibana serikali kuhusiana na suala la ajira kwa vijana wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma. Akizungumza bungeni, leo Oktoba 29, 2024 Dkt. Tulia alisisitiza kuwa vijana hawa wanatoa mchango mkubwa kwa nchi, hivyo ni muhimu kwa serikali kuzingatia...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 17 wa Bunge kuanza kesho Oktoba 29, 2024

    Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge utaanza kesho Jumanne tarehe 29 Oktoba 2024 na kumalizika tarehe 8 Novemba 2024 Jijini Dodoma. Shughuli ambazo zinatarajiwa kufanyika wakati wa Mkutano huu ni pamoja na: 1.0 Kupokea na kujadili taarifa za Kamati za PAC, LAAC NA PIC Katika Mkutano huu, Bunge...
  17. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Natamani Bunge la Tanzania liwe linaangaliwa kama la Kenya, Fikiria hapa tupo Bar na tunatazama impeachment ya Gachagua mubashara 😂

    Sijajua Kwanini kona zote za hii Bar Watu wote tunafuatilia impeachment ya Gachagua mubashara Citizen TV Natamani akina Babu Tale na Kibajaj wafikie Viwango vya akina Omutata na Sakaya Ila sijui itakuwa lini maana Zitto Kabwe na Halima Mdee Viwango vilipandaga na kushuka ghafla Mlale Unono 😀
  19. kwa-muda

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumkubali Tulia Ackson toka awe Spika wa Bunge la Tanzania, lakini nimegundua she is smart

    Mimi si kati ya watu wanaomkubali Mh. Tulia kutokana na ubabe na ambavyo huendesha bunge. Nahisi ni kutokana na siasa za nchi ambapo mtawala huwa Mungu mtu na sheria ni maamuzi ya mtawala. Kutokana na kutokumkubali hata majibu yake ya IPU sikutaka hata kusikiliza wala kutazama nilikuwa nasoma...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Dr Tulia akumbana na maswala mazito bunge la kimataifa tofauti na bunge la Tanzania

    Msikilize Na bunge letu lingalikuwa kama hili tungalikuwa tupo mbali sana kimaendeleo Cc Peter Msigwa Lucas
Back
Top Bottom