brazil

  1. JamiiForums Tanzania Brazil imemfukuza balozi wa Israel, na kumrudisha wa kwao kutoka Israel

    Wanaukumbi. Brazil ilimfukuza tu balozi wao wa Israel, na kuwarudisha wa kwao kutoka Israel. Hili ni tendo la kupongezwa linalopaswa kurudiwa na mataifa yote. Israel na Netanyahu wapuuzi sana wanavyowapelekesha Ulaya na Marekani wanadhani wanaweza kufokea kila taifa Netanyahu na Mawaziri wake...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wakongwe: Uliangalia wapi Fainali ya Kombe la Dunia 1994 kati ya Brazil VS Italia

    Wakongwe habari! Nimepata kumbukumbu za Fainali za Kombe la Dunia mwaka 1994, wakati huo nilikuwa nipo shule ya Msingi. Mechi za mashindano haya nilizingalia Jet Club (ilikuwa ndani ya eneo la Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport wakati ule ulijulikana kama Uwanja wa ndege...
  3. JamiiForums Tanzania Mechi ya Brazil vs Argentina inakaribia kutochezwa baada ya mashabiki wa Brazil kuanzisha vurugu

    Baada tu wachezaji kuingia uwanjani mashabiki wa Brazil walianza kuwarushia vitu mashabiki wa Argentina, ndipo vurumai kubwa lilipotokea. Wachezaji wa Argentina wakiongozwa na nahodha wao Lionel Mesi wamerudi vyumba vya kubadilishia jezi na hawajatoka mpaka sasa.
  4. JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 61,276) - Pitch 105m x 68m Principal Owner: John W. Henry Chairman: Tom Werner Manager: Arne Slot Liverpool Trophies: League...
  5. JamiiForums Tanzania Kocha Robetihno Oliviera fundi jezi no 7 aliecheza na Nyota wa Brazili Zicco timu ya Flamingo ya Brazil

    Eeh bana eeeh Robetihno alikuwa mtu na nusu amecheza sana uwanja mkubwa Duniani wa Maracana. Mwamba akivaa jezi no 7 alikiwasha sana. Huyu mwamba ndiomana hanaga pressure na haogopi kucheza na timu yoyote. Simba SC imepata bonge la Mwamba katika soka. Wanaobisha YouTube ipo inakutoa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa Mafuriko haya makubwa ya Brazil sasa hivi Kocha Roberto ataomba Udhuru hata kama hayajatokea Mji atokao

    Na hivi anavyopenda kwenda Kwao ( Brazil ) mara kwa mara nina uhakika hii Taarifa ya kutokea kwa Mafuriko makubwa nchini Brazil hivi sasa atakuwa anaitafuta Pasipoti yake ilipo na baadae awapigie Simu Viongozi na baadae Mchana au Jioni au Kesho aliamshe ( aende ) Kwao. Mwenye namba ya Simu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Brazil Kwao Olivieira wanaujua Mpira ila Argentina Kwao Gamondi wanauelewa na wanaucheza hasa Mpira

    Mpira wa Kibrazili unakupa Matokeo japo kwa kila mara Kumuomba Mungu, ila baada ya Mechi unalazimika kutafuta Panadol Extra na Dawa za Kushusha Presha ili Unywe. Mpira wa Argentina tangu unaanza tu unakupa Raha Kuutizama, husikii Njaa, huhisi Pepo wa Ukichaa Kukupanda, Maji na Juice vinashuka...
  8. JamiiForums Tanzania Mahakama yaagiza Rais Mstaafu wa Brazil kuchunguzwa kwa Ubadhirifu na Ukwepaji Kodi

    Mahakama ya Juu imetoa kibali cha uchunguzi huo kutokana na tuhuma zilizoibuliwa kuwa Kiongozi huyo alifanya ubadhirifu wa Fedha, Madini na Zawadi alizopokea kwa niaba ya Serikali wakati akiwa Rais. Bolsonaro na Mkewe wametuhumiwa Kukwepa Kodi, Kuuza pamoja na kuondoka Ikulu na Vito vya Thamani...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Robertinho ajiondoa simba, arudi kwao Brazil kisa na mkasa ni viongozi kutompa: thank you Chama

    Kocha aliwaambia viongozi wa simba hataki kumuona CCC msimu ujao, viongozi nao wakamwambia Chama haendi popote, kama vipi bora wampe thank you yeye Kocha. Kocha kaona isiwe tabu, jana kaamua kurudi kwao Brazil. Gadiola mnene muda si muda anachukua tena timu
  10. JamiiForums Tanzania Tanga yaanzisha battle na Simba makocha Brazil vs Argentina

    Hello, Yanga SC halali yao kuitwa utopolo na yeboyebo, mdebwedo, hii ligi ya makocha hamtaiweza Simba SC member mwanzilishi wa African Super League.(ASL). Yanga SC wamesajili kocha kituko, Hongera yanga Kwa usajili wa Angelina
  11. JamiiForums Tanzania Kama Brazil alifungwa kwao na German kwa nini USM Alger asifungwe kwao na Yanga?

    Uwezo aliokuwa nao Yanga ni mkubwa tena ni wa kutisha katika medani za soka barani africa. kiukweli kweli kabisa Marumo Gallant walikuwa hatari sana na wakalala mabao mawili kwao africa kusini. Recodi hii inanipa ubavu wa kuamini 100% ya kuwa Yanga kesho ataifunga algeria timu ya USM Alger...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mzuka wa ushangiliaji wa Kocha Robertinho haukuanzia hapa Simba; alikuwa hivyo toka anacheza mpira wa miguu kwao nchini Brazil

    Kohh koooh... Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, ukipenda unaweza kumuita Robertinho alikuwa mshambuliaji nguli aliyechezea vilabu vikubwa nchini brazil, mwisho mwa miaka ya 70 mpaka mwishoni mwa miaka ya 80. Kocha huyu anayewaonoa wekundu wa msimbazi kwa sasa, aliwahi kukipiga katika vilabu...
  13. JamiiForums Tanzania Klabu yavunja mkataba wa Dani Alves akikabiliwa na tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia

    Beki wa zamani FC Barcelona ameendelea kubaki chini ya ulinzi wa Polisi jijini Barcelona Nchini Hispania kutokana na tuhuma zinazokabili wakati uchunguzi ukiendelea. Alves (39), anadaiwa kumshikashika na kumpapasa mwanamke mmoja bila ridhaa yake katika ukumbi wa muziki, Desemba 2022, tuhuma...
  14. JamiiForums Tanzania Brazil: Waandamanaji 1500 wakamatwa, aliyekataa matokeo ya Urais amelazwa Marekani

    Waliokamatwa ni wafuasi wa Rais aliyepita, Jair Bolsonaro ambao walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu Jijini Brasilia ikiwa ni wiki moja baada ya Luiz Inacio Lula da Silva kuapishwa kuwa Rais. Rais da Silva amelaani maandamano hayo na kuita ni ghasia za kigaidi na kuahidi kuwashughulikia...
  15. JamiiForums Tanzania Brazil: Wafuasi wa Rais wa zamani wavamia Bunge, Mahakama ya juu na Ikulu

    Wafuasi hao wa Jair Bolsonaro ambaye hakukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa Urais, Jumapili Januari 8, 2023 walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu katika Mji Mkuu wa Brazil, wiki moja baada ya kuapishwa kwa, Rais Luiz Inacio Lula da Silva. Mamia ya waandamanaji waliruka vizuizi vya usalama...
  16. JamiiForums Tanzania Website ya Ubalozi wetu Brazil inavutia

    Website ya Ubalozi wetu Brazil Inavutia Sana. Karibu tujionee namna ambavyo Balozi zetu zinavyovutia wawekezaji. Ambassador's Message | Tanzania Embassy in Brasilia, Brazil Ubalozi wa Kenya, Brazil https://kenyaembassybrazil.com.br/
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia amlilia Pele, ampa pole Rais wa Brazil

  18. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Nguli wa Soka Duniani, Mbrazili Pele afariki dunia

    Nyota huyo wa zamani wa Santos FC, anayetambuliwa kama mmoja wa Wanasoka bora zaidi wakati wote, alilazwa hospitalini tangu Novemba 29, 2022 huko Sao Paulo Ripoti ya utabibu kabla ya Krismasi ilionyesha alihitaji uangalizi kwa ajili ya ugonjwa wa moyo na figo, na amekuwa akipambana na saratani...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Namba hazidanganyi: Kwa takwimu hizi kwenye mechi kati ya Croatia na Brazil, Argentina aanze tu kutia maji wembe umpitie!

    Takwimu zinaonesha Croatia hakubahatisha kum funga Brazil! Alitawala mpira zaidi, alizuia (clearances) zaidi, na alikuwa makini zaidi kwa asilimia 100 alipopata kulenga goli (shots on target)!! Kwa takwimu hizi, Argentina watie maji mapema vinginevyo watanyolewa kavu kavu!! Match stats...
  20. JamiiForums Tanzania New FIFA released Record is all About Brazil heritage

    Most FIFA World Cup goals scored : 🇧🇷Brazil - 232 🇩🇪Germany - 227 🇦🇷Argentina - 138 🇮🇹Italy - 128 🇫🇷France - 124 🇪🇸Spain - 106 Most FIFA World Cup winners : 🇧🇷Brazil - 5 🇩🇪Germany - 4 🇮🇹Italy - 4 🇦🇷Argentina - 2 🇺🇾Uruguay - 2 🇫🇷France - 2 🇪🇸Spain - 1 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 England - 1 Most match wins in...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…