boti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia ametoa Boti za Kisasa za Uokoaji na Kuzima Moto huko Ziwa Nyasa

    Boti hiyo yenye injini mbili zenye nguvu ya jumla ya HP 500 na uwezo wa kubeba abiria 12, itaongeza uwezo wa mamlaka kukabiliana na dharura Ziwa Nyasa, kuokoa maisha na kuimarisha usalama wa wasafiri pamoja na shughuli za usafiri majini.
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Likizo Yageuka Msiba: MCA Aspirant Ken Barasa na Dada Yake Wafariki Baada ya Boti Kupinduka Mombasa

    Safari ya starehe katika pwani ya Mombasa imegeuka msiba baada ya Ken Barasa Okomol na dada yake Cynthia Barasa kufariki wakati boti waliyokuwa wakisafiria ilipopinduka baharini. Ken, 38, aliripotiwa kuwa mwaniaji wa kiti cha MCA Malaba South, Busia, huku Cynthia akiwa na miaka 33. Wawili hao...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Watu 52 Wafariki Baada ya Boti Kupinduka Nigeria

    Idadi ya watu waliofariki dunia kufuatia ajali ya boti kaskazini magharibi mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 52. Ajali hiyo ilitokea karibu na mji wa Gorau katika Jimbo la Sokoto baada ya boti hiyo kupinduka ikiwa njiani kuelekea kwenye mashamba ya mpunga. Wengi wa waathiriwa wanaripotiwa kuwa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Nchemba azindua boti mbili za doria na uokozi

    WAZIRI MKUU AZINDUA BOTI MBILI ZA DORIA NA UOKOZI ▪️Atoa siku 14 Kituo cha Kitaifa cha Oparesheni kianze kufanya kazi WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku 14 kwa wizara na taasisi zinazohusika na Kituo cha Kitaifa cha pamoja cha Oparesheni zipeleke wawakilishi ili kianze kufanya kazi...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba azindua Boti mbili za doria uokozi

    WAZIRI MKUU AZINDUA BOTI MBILI ZA DORIA NA UOKOZI ▪️Atoa siku 14 Kituo cha Kitaifa cha Oparesheni kianze kufanya kazi WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku 14 kwa wizara na taasisi zinazohusika na Kituo cha Kitaifa cha pamoja cha Oparesheni zipeleke wawakilishi ili kianze kufanya kazi...
  6. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lakabidhiwa Boti ya Kisasa Mkoani Katavi itatumika kuboresha ulinzi Ziwa Tanganyika

    Makabidhiano ya boti ya kisasa kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa ajili ya kuimarisha shughuli za ulinzi na usalama katika mwambao wa Ziwa Tanganyika, hatua inayolenga kudhibiti vitendo vya uhalifu na kuongeza usalama wa wananchi wanaotegemea ziwa hilo kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani yazamisha boti sita za Iran

    US Central Command imethibitisha Jumatatu kuwa majeshi ya Marekani yamezamisha boti za Iran na kukamata makombora pamoja na ndege zisizo na rubani wakati wa operesheni za “Project Freedom” katika Strait of Hormuz. Hii inaashiria tukio la kwanza lililothibitishwa la mapambano ya moja kwa moja...
  8. M

    JamiiForums Tanzania wakamaria maarufu hupata pesa kupitia codes na referral links, haijalishi mkeka umetiki au umechanika, usijidanganye kuwa mpo boti moja.

    Betting Codes Mkamaria anasuka mkeka wake kisha anashare betting codes za mkeka huo, mfano 72HD82. Wateja wengine hawahitaji kusuka mkeka kutoka mwanzo; wanachagua tu code, na mkeka unajisuka moja kwa moja. Ukiweka dau, mkamaria hupata sehemu ya asilimia fulani, mfano 4%. Kwa mfano, ikiwa watu...
  9. JamiiForums Tanzania Boti iliyozama Kigoma na Watumishi wa afya, Kwanini haikuwa na life jackets?

    Mamlaka zetu zinafanya kazi gani? Inakuaje Boti inakosa life jackets au Maboya? Na Watu wanakaa maofisini? Uzembe wa Serikali ya awamu ya Sita inaendelea kuteketeza roho za Watanzania. Damu ya binadamu 29.10.2025 haikuwatosha Watumishi sita wa afya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vifo vya Ajali ya Boti (FIBER) Mafia vichunguzwe!

    INASADAKIKA watu zaidi wawili wamefariki kwenye ajili hii iliyodaiwa kutokea tarehe 26 Januari 2026 eneo la Kibiti wakiwa wanatoka kwenye kisiwa cha Mafia. Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Rufiji, Protas Mutayoba, amesema boti hiyo ilikuwa imebeba abiria 11 na imepata ajali katika eneo...
  11. JamiiForums Tanzania Polisi Mwanza wapokea Boti ya Mwendokasi yenye thamani milioni 400 ili kufanya kwa Doria Ziwa Victoria

    Jeshi la polisi mkoani Mwanza limepokea boti ya mwendokasi itakayotumiwa na kikosi cha polisi wanamaji kwaajili ya Doria katika ziwa victoria hatua inayolenga kupambana na vitendo vya kihalifu pamoja na kudhibiti uvuvi haramu. Boti hiyo iliyogharimu zaidi ya shilingi milioni mia nne itasaidia...
  12. JamiiForums Tanzania Tazama jinsi boti iliokuwa imebeba madawa ya kulevya kutoka Venezuela kuelekea Marekani ilivyodunguliwa na jeshi la Marekani.

  13. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanga linawasaka waliotelekeza boti lenye shehena ya dawa za kulevya aina ya Mirungi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawatafuta watu wawili ambao bado majina yao hayajafahamika baada ya kutoroka na kutelekeza boti ambayo ilibeba shehena ya dawa za kulevya aina ya mirungi kutoka nchini Kenya kuja Tanzania kupitia Bahari ya Hindi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Kijaji Akabidhi Boti za Uvuvi Zenye Thamani ya Bilioni 2

    WAZIRI DKT. KIJAJI AKABIDHI BOTI ZA UVUVI ZENYE THAMANI YA BILIONI 2 Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amekabidhi boti 13 za Uvuvi zenye thamani ya takribani shilingi Bil. 2 kwa Vikundi vya mikoa ya Pwani na Dar-es-salaam ambazo zinatarajiwa kuwanufaisha zaidi ya Wavuvi 205 wa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Boti ya Uokoaji yafika Iringa, Wananchi wakusanyika kushuhudia

    Wakazi wa maeneo ya Ipogolo Kitwiru na mengine ya karibu mjini Iringa wamekusanyika katika eneo la Eso mjini Iringa kushuhudia boti ya uokoaji inayoelekea ziwa Victoria jijini Mwanza huku wakisifu juhudi za Serikali ya awamu ya sita katika kuboresha maisha ya watu wake Soma Pia:Boti...
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

    Kuna Boti inasafirishwa kutoka Mtwara Kwenda Mwanza. Itatumia muda wa Mwezi mmoja au zaidi, kutumia barabara ni kutojali watumiaji wengine wa barabara. Kama umekutana nayo, hii Boti ni Kero sana. Najiuliza kwanini haijasafirishwa Vipande? Mzigo kama huu unatakiwa Uchinjwe ndo usafirishwe Kuna...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isingetumia njia ya Mombasa hadi Kisumu kisha Ziwa Victoria kusafirisha boti badala ya njia ya Barabara kutoka Mtwara mpaka Mwanza??

    Anayeweza kunisaidia kufafanua bot inayosafirishwa kupita mikoa zaidi ya 4 kwa siku 30 kwanini lisingesafiri kwa maji kutoka Mtwara mpaka Mombasa Kenya kisha, wasafirishe mpaka bandari ya Kisumu kisha iingie kwenye maji yenyewe mpaka Mwanza? Wataalam walitumia tathimini gani kuona njia...
  18. JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  19. JamiiForums Tanzania Boti yawaka moto DRC, Watu zaidi ya 50 wahofiwa kufariki Dunia

    Boti ya mbao yenye injini iliyokuwa na abiria wapatao 400 imeshika moto na kupinduka kwenye Mto Congo karibu na mji wa Mbandaka Kaskazini Magharibi mwa nchi ya Congo, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 50. Kamishna wa Mto Congo Bwana Loyoko, aliambia Shirika la Habari la Associated Press...
  20. JamiiForums Tanzania Aibu: Hivi tumekosa kabisa uwezo wa kujenga Marinas za kuegesha Boti zetu?

    Nimeona picha za Mhe. Rais kuzindua Boti za Wavuvi huko Tanga. Cha kusikitisha pamoja na nchi yetu kuzalisha Ma engineer tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, mradi huo wa Boti za Uvuvi unazinduliwa kwenye Pwani ya Bahari ambayo haina hata eneo maalum la kisasa la kuegesha na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…