bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Azam Tv mnavyozidi kujitangaza msisahau kuongeza/maintain chaneli Bora kuwe na machaguo tofauti

    Mfano sasa ivi kwenye tamthlia/filamu mmeziondoa au kushindwa kuzibakisha chaneli za muvi za Kinaijeria za AMC chanel na AMC series, Wakati wenzenu DStv wanazo mpaka chanel za tamthlia/muvi za Wasauzi,Ghana na Kenya na za Lugha zao za makabila... Hivyo kwenye muvi machaguo ni machache, mteja...
  2. JamiiForums Tanzania Kipi ni Bora kwako: Kununua nguo/kiatu kimoja brand/OG kwa bei kubwa au kununua copy nyingi kwa bei ndogo?

    Wakuu. Upi mtazamo wako kwenye bei inapokuja swala la kununua mavazi, nguo au mikoba nk? Kuna viatu vinauzwa zaidi ya $200 (zaidi ya Tsh 500,000) wakati kiatu iko iko kwa muonekano unakipata Kariakoo kwa Tsh 50,000! Pia kwa mikoba ya brand maarufu kama LV, Gucci, Hermes nk unakuta unauzwa hadi...
  3. JamiiForums Tanzania Uzi wa Tanzania alioiona Oscar Kambona na Uzi wa dark days, upi ni bora kwako?

    Hizi nyuzi ni kati ya masterpiece kuwahi kuandikwa humu JF.
  4. JamiiForums Tanzania Brewa Coffee: Kahawa Bora Zaidi Tanzania – Inayotikisa Soko kwa sasa.

    Kama wewe ni mpenzi wa kahawa ya kweli,karibu Brewa. Hatuuzi mazoea, tunauza ubora na ladha halisi inayotoka kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro. Bidhaa zetu ndizo zinazoongoza kwa mauzo kwa sasa kwa sababu hatuna mpinzani kwenye swala la freshness. Kahawa yetu inakaangwa (roasted) na...
  5. JamiiForums Tanzania USA na ISRAEL ni nchi bora katika "ACTIONABLE INTELLIGENCE" , ingawa naishi kadumbwi chini chini ila naona fahari kuishabikia US/ISRAEL.

    Wanajitahidi sana katika utulivu wa dunia angalau, Simaanishi wao ni perfect ila anagalau kwa miendendo yao usalama na haki zinafanyika duniani ebu jaribu kufikiria dunia ilio chini ya urusi, uchina, uturuki, qatar na iran🤢🤮
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uislam ndio dini bora

    Muislam hutakiwi kusherekea mwaka mpya. Muislam unatakiwa ujue haya Kwa Uislamu, miezi mitukufu (Ash-hur al-Hurum) ni miezi minne kati ya miezi kumi na miwili ya kalenda ya Kiislamu ambayo ina heshima maalumu. Miezi hiyo ni: Dhul-Qa‘dah (ذو القعدة) Dhul-Hijjah (ذو الحجة) Muharram (محرم) Rajab...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni njia ipi bora ya kufanya malipo ya kununua bidhaa online? debit au prepaid card?

    Habari zenu wakuu na heri ya mwaka mpya 2026.. ninaomba kupata elimu kidogo kuhusu suala la kulipia vitu mitandaoni, nataman kujua ni njia ipi salama zaidi nitumie kati ya debit card ya benki, prepaid card au card hizi wanatoa mitandao ya simu.. na pia kuhusu prepaid za usd nimeona ni benki...
  8. JamiiForums Tanzania Tesha apewe Tunzo ya mwanajeshi bora na mzalendo 2025

    Sina mengi ya kueleza kila mtu aliona, what he did that strong and patriotic man. Kwa mtizamo wangu ,the man anastahili kupewa Tunzo ya kupigania Taifa na rasimali zetu, akiwa the best soldier since independence in 1961. KWA vyombo vya ulinzi na usalama sijawai sikia na kuona Tanzania mjeda...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri wa App zangu huzi

    Habari jf Nisiwachoshe sana Mimi ni non-code Developer na hizi hapa ni App zangu zilizokamilika Chini ya 50%. Nilizotengeneza kutoka Loveble Fanya kupitia Apps hizi na toa ushauri wako https://linkdash.lovable.app https://linkinn.lovable.app https://golink1.lovable.app...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aipongeza Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza

    Akitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika Ninaipongeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu. Heshima hii kubwa kwetu ni matokeo ya maandalizi...
  11. JamiiForums Tanzania Huu ndo uamuzi bora kuwahi kufanywa na CHADEMA

    Kitendo cha Chadema kutoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu utabaki kuwa maamuzi Bora kuwahi kufanyika na kukumbukwa na vizazi vyote. Heko chadema.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora kumlipa muuzaji kamisheni au mshahara ?

    Mfano kwa kila simu anayouza achukue elf 20 au Alipwe mshahara + hela ya kila siku inayofikia laki 2 kwa mwezi ?
  13. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania imefuzu 16 bora AFCON kama best looser?

    Nauliza waungwana kati ya Angola na Tanzania ipi itafuzu kama best looser? Tanzania imefugwa magoli 4 na kushinda 3, wakati Angola imefungwa magoli 3 na kushinda 2. Wote tuna points 2. Ikumbukwe Ureno ilishawahi kufuzu kama best looser kwenye michuano ya Euro na kuwa bingwa.
  14. JamiiForums Tanzania 4. Mtoa maudhui bora wa Siasa JF 2025

    Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo. Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi. Na pia sio ushindan na hakuna zawad ila ni Kuwapa Motisha kwa kuwatambua na kuthamini michango yao. Kwangu JF wote ni bora.
  15. JamiiForums Tanzania 3. Msomaji bora wa mada JF 2025

    Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo. Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi. Na pia sio ushindan na hakuna zawad ila ni Kuwapa Motisha kwa kuwatambua na kuthamini michango yao. Kwangu JF wote ni bora.
  16. JamiiForums Tanzania 2. Mchangiaji bora JF 2025

    Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo. Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi. Na pia sio ushindan na hakuna zawad ila ni Kuwapa Motisha kwa kuwatambua na kuthamini michango yao. Kwangu JF wote ni bora.
  17. JamiiForums Tanzania 1. Mtoa Maudhui Bora JF 2025

    Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo. Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi. Na pia sio ushindan na hakuna zawad ila ni Kuwapa Motisha kwa kuwatambua na kuthamini michango yao. Kwangu JF wote ni bora.
  18. JamiiForums Tanzania Trump wa US, Netanyahu wa Israel na Nayib wa El Salvador ndio viongozi watatu bora duniani kwa sasa

    Nayib ameweza kushinda mtandao wa unbazilifu, rushwa na magenge uliokuwa unaendesha nchi, ameweza kuitoa el salvador katika list ya nchi hatari duniani kwa kupambana na uharifu vikali. Trump ameweza kurudisha amani kwa nchi mbali zilizo kuwa na vita, ameirudisha marekani katika kiti uchumi bora...
  19. JamiiForums Tanzania Kikwete ndiye Rais bora zaidi tangu Tanganyika ipate uhuru

    Rais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Kikwete ndiye rais bora zaidi kwa hapa nchini kuliko marais wote waliopita na huyu aliyejipa urais kinguvu Kipindi cha Kikwete maisha yalikuwa poa sana na wengi walitoboa kipindi chake. Japo ufisadi ulikuwa mkubwa, watumishi hewa lakini pesa mtaani...
  20. JamiiForums Tanzania Tukielekea kufunga mwaka taja Members wako bora watano kwa mwaka huu 2025-Top 5

    Tupo ukimgoni wa mwaka huu uliokuwa na shuruba nzito nzito Kwa hakika ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mpaka leo imetukuta tukiwa tunavuta pumzi yake Hawa ni members bora kabisa kwangu kwa huu mwaka 2025 1. Binti wa zamani at the top 2. Manyanza 3. Sizinga 4. Chief-Mkwawa 5...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…