Katika shule ya sekondari Muungano,mwalimu Ndamo alikuwa yuko darasani na alikuwa anamalizia kipindi katika somo la Historia,alikuwa anaacha kazi kwa ajili ya wanafunzi kuifanya na ndipo wavulana wawili walinyanyuka katika viti vyao kuelekea mbele ya darasa mahali ambapo mwalimu alikuwepo na...