bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nina laki 1 nataka mashine moja ya kisasa ya kunyolea kampuni bora tafadhali.

    Sitaki hizi mashine za et 20k,25k,35k,sijui 50k hapana nimeona bora nichukue Mashine moja kali ambazo haipati moto kirahis. Nimeona fursa hapa mtaa ya saloon. Asanteni. Nielekeze kampuni bora ya mashine za kunyolea.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bora mahusiano yakulize huku una hela kuliko kulizwa na hela huna 😔

    BORA MAHUSIANO YAKULIZE HUKU UNA HELA KULIKO KULIZWA NA HELA HUNA 😔 Mahusiano ni eneo ambalo linazungumzwa sana ikiwa ni kiashiria kuwa wengi hujihusisha huko ila pia changamoto ni nyingi sana huko . Usipojidhibiti utajikuta muda mwingi unafikiri tu mahusiano kuliko mambo mengine na huo ndio...
  3. JamiiForums Tanzania RAIS WANGU MAMA SAMIA NI BORA SANA MAAFISA UBASHIRI KURA YETU UNAYo

    Jana nimetengeneza million 45 aisee namshukuru sana raisi Kwa kutofungia hizi kampuni za betting licha ya wajinga Fulani ambao mambo yamekua magumu kwao kwenye hii sekta ya maafisa ubashiri kukushauri ufunge kumbe hii sekta Ina watu wake ambao ni sisi sababu zinatubadilishia maisha sisi watoto...
  4. JamiiForums Tanzania Usije ukajidanganya mchepuko ni bora kuliko mkewe. Thamani ya mke ni kubwa kuliko wewe

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanaume wengi huoa Mwanamke anayempenda kwelikweli. Yàani ukiona Mwanaume amekuoa ujue huyo Mwanamke anampenda Sana. Kwa Mwanaume unaweza kugusa kîla kitu kwèñye Maisha yake, ukamuibia Pesa, sijui ukamtapeli mashamba au Ardhi akaumia na Wakati mwingine anaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Wapi bora, chuo cha TRA au chuo cha BOT au CBE na TIA

    Kuna mtoto wangu anaomba akasome mambo ya banking au kodi. kati ya TRA academy na BOT academy, wapi bora unafikiri aende? which one is better than the other. asante.
  6. JamiiForums Tanzania Crown Media ni bora kuliko Wasafi Media

    Kwa kipindi kidogo ambacho crown media imeanza kazi nadhani tunaweza sema ni bora kuliko Wasafi na hapo bado haina hata mwaka. Sijasema kwamba wasafi hamna vipindi vizur ila most of their contents ni mambo ya umbea-umbea tuu ambayo hayana maana. Kadri siku zinavozidi kwenda itazidi kuimarika...
  7. JamiiForums Tanzania Siasa safi huleta amani na maisha bora

    Siasa safi lazima isababishe ya fuatayo 1: siasa safi itazaa tunda la Amani 2:Siasa safi itasababisha uchumi wa nchi husika Julia 3: Siasa safi inaruhusu Uhuru wa kujieleza 4:Siasa safi itaruhusu Uhuru katika Mahakama na vyombo vya habari Siasa safi ni ustawi wa nchi na siasa safi nizao la...
  8. JamiiForums Tanzania Kikosi cha club ya Young Africans (Yanga) ndio kikosi bora kwa sasa Afrika

    Nimefuatilia match mbalimbali za ligi ya mabigwa ninaujasiri wa kusema kuwa kikosi hiki cha young african mwaka huu kina balaa zito.. si ajabu kabisa kikailetea tanzania na mpira wetu thamani kubwa sana. Yanga wameonyesha uwezo mkubwa sana uwanjani.
  9. JamiiForums Tanzania Ni bora kuruhusu maandamano kuliko hali ilivyo sasa!

    Ni bora kuruhusu maandamano kuliko hali ilivyo sasa nchini. Maandamano ni njia muhimu ya kuwakilisha hisia na malalamiko ya wananchi. Hata hivyo, kuna hisia kwamba watu sasa hawataki kusikia kuhusu Nyerere, hasa kutokana na masuala ya muungano. Hii inadhihirisha jinsi mabadiliko ya kisiasa na...
  10. JamiiForums Tanzania Kingereza kitafelisha wengi kwenye Oral Interview. Mwalimu kama hujui kingereza ni bora usijisumbue

    Jamhuri ya Muungano.... Kwenye usaili wa Oral Kada ya afya wengi wameboronga kwa sababu ya kingereza kibovu. Kutokujua kingereza wengi kumewafanya wasijiamini katika kujieleza. Ndugu zetu walimu ni vizuri Siku Mbili zilizobakia kama unajijua unaongea broken English, bora ujipige Msasa kuficha...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu

    Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu ___________________ 1. Kiongozi bora ni mjuzi, siyo mjuaji. Mjuzi ni muelewa. Mjuaji ni mbabaishaji! Chenga! 2. Anaishi kwa maono na siyo maneno! Maono ni kuona kesho ukiwa leo! Maneno na hali ya...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Rita: Bora cheti kiandikwe baba mzazi hajulikani, kuliko jina lisilo asili

    Kama una mtoto na hauna uhakika na baba yake halisi au kwa sababu zako hutaki ubini wake utumike kwa mwanao, huna sababu ya kumwandika baba bandia katika cheti cha kuzaliwa. Kwa mujibi wa RITA kuandika jina la baba asiye wa asili ya mtoto katika cheti cha kuzaliwa ni kosa kisheria. Badala yake...
  13. JamiiForums Tanzania Kama hii ndio simba tulioitaka bora wazee

    Habari zenu wana sport wa Jukwaa hili, Kama wote tunavyojua Jana Timu yenye Jina na sifa kubwa ndani ya bara la Afrika ilikipiga pale Libya. Kiukweli Jana Timu ilicheza vibaya poor control skills, dribbling, marking & concentration. Timu ilikuwa down sana hamna pace, no clear target &...
  14. JamiiForums Tanzania Lipi ni bora, kuwa muhuni yani nitoke nje ya ndoa au kuachana na huyu mwanamke?

    Habarini za JIONI wakuu? Mimi ni kijana wa miaka 32 mnamo mwaka 2019 nilibahatika kupata mwanamke kutoka Kanda ya ziwa{Tabora}..,nilimpenda sana na nahisi nae alinipenda japo siwezi semea nafsi ya mtu. Ilipofika 2020 alihitaji sana kukaa NAMI nyumba moja kama mume na mke..,kweli KUTOKANA na...
  15. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa detention ulikuwa ni utaratibu bora kuliko huu uliopo sasa

    Kwa sisi wa kitambo kidogo wakati wa mwalimu sote tunaukumbuka utaratibu wa detention. Ilikuwa endapo umeikera serIkali basi kilichokuwa kikifanyika ni kukukamata kwa siri na kukuficha pahala. Basi huko utasoma magazeti, utasikiliza radio, utakula vizuri kweli lakini ulipo, raia wa kawaida...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Simba wanaenda kukutana timu Bora ahliy tirpol ya Libya,

    Heshima kwenu Wana jf,turudi kwenye topic,Kwanza niwe muwazi Mimi ni mshabiki wa Simba sport club,kikwel this time tunaenda kukutana na timu nzuri ahliy tripol ya Libya,ukiangalia rank za caf tumewaacha mbali,lakini tukirudi kwenye msimu huu ahliy tripol wamefanya usajili mzuri,wamemsajili...
  17. JamiiForums Tanzania Nani kati ya hawa viongozi unamuona kiongozi bora wa muda wote?

    Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi? Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako? 1. JK Nyerere 2. Ali Hassan Mwinyi 3. BW Mkapa 4. J M Kikwete 5. JP Maguful 6. SS Hasani
  18. JamiiForums Tanzania Mfumo bora wa kusimamia nyumba za wageni wa kipato cha chini na kipato cha kati

    Nyumba za wageni (guest houses) ni aina ya malazi ambayo yanatoa huduma za muda mfupi kwa wageni, sawa na hoteli lakini kwa kiwango kidogo zaidi. Nyumba hizi zinaweza kuwa na vyumba vichache ikilinganishwa na hoteli kubwa, na mara nyingi zinamilikiwa na kuendeshwa binafsi. Nyumba za wageni...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa sasa, huenda hawa wakawa ndio Wanawake bora wa kuoa

    Baada ya vilio vingi kuhusu mabinti zetu kuwatenda vibaya vijana wetu baadhi kufunga harusi Leo na baada ya wiki ndani hakukaliki Kama sio kukutana mahakamani kupeana taraka Katika mizunguko yangu nimekuja kugundua Kuna hazina ya mabinti wema nje ya makanisa,misikiti,majumbani,vyuoni na...
  20. JamiiForums Tanzania Huwezi nishawishi Nyerere alikuwa Rais bora

    Ni ngumu kunishawishi kuwa Nyerere alikuwa kiongozi bora ngumu sana. Mtu aliyetengeneza taifa la misukule kamwe hawezi kuwa kiongozi bora. Propaganda kubwa imefanyika kumchora Nyerere mtakatifu na genius Taifa halijawahi kupata mtu wa hivyo. Indoctrination imefanyika toka utotoni Nyerere...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…