Habari wanaJF,
NIPO kwenye basi la Laviha inayotoka Dar kuelekea Ifakara. Tupo mkambarani tunakaribia Moro.
Sasa ameingia jamaa mmoja hivi na dawa ya meno ya Vigo Doctor. Akajitambulisha, shughuli ikaanza.
Alivyoishika mfuko wa bidhaa, akaelezea Aina zake na mabadiliko yaliyokuwepo. Akaelezea...