bomu

The Bo language of West Africa, Bomu (Boomu), also identified as Western Bobo Wule, is a Gur language of Burkina Faso and Mali.
Bomu is spoken by two groups of Bwa people, the Red Bobo, Bobo Wule (also spelled Bobo Oule), and the White Bobo, Bobo Gbe, also known as Kyan (also spelled Kian, Tian, Tyan, Can, Chan) or Tyanse.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndege yatua kwa dharula baada ya mtu mmoja kusema 'Allahu Akbar'

    Siku hizi ukitaja jina la Allah sehemu yenye watu lazima ukimbiwe, aisei hizi nyakati ni mbovu sana na zilitabiriwa kwenye Biblia na tunazishudia, tutaishi kwa hofu sana. Jamaa amesababisha kizaazaa kwenye ndege baada ya kubweka Allah Akbar!!! Ikabidi ndege itue. ------------- Ndege ya easyJet...
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askari watatu wa KDF wamepoteza maisha, saba wajeruhiwa kwa bomu lilotegwa njiani kaunti ya Lamu

    Askari watatu wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) wamepoteza maisha huku wengine saba wakijeruhiwa baada ya mlipuko wa bomu la kutegwa ardhini (IED) kutokea katika eneo la Badaah, barabara ya Kiunga-Sankuri, Kaunti ya Lamu Akithibitisha tukio hilo, Naibu Kamishna wa Kaunti Ndogo ya Lamu...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere Angefufuka Leo Hii Angebubujikwa Machozi ya Furaha Utafikiri amepigwa Bomu la Machozi na Kumshukuru Rais Samia kwa kutimiza Ndoto Zake

    Ndugu zangu Watanzania, Kama leo hii Kungetokea muujiza Wa Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kufufuka kutoka Kaburini Butiama alikofumba macho na alikolala Usingizi wa Milele na kurejea hapa Nchini na kutazama yale yanayofanywa Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  4. JamiiForums Tanzania Iran ina uwezo wa kuanza kurutubisha madini ya uranium tena - kwa uwezekano wa kunda bomu

    Iran ina uwezo wa kuanza kurutubisha madini ya uranium tena - kwa uwezekano wa kunda bomu- katika "muda wa miezi kadhaa", mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya nyuklia amesema. Rafael Grossi, mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), alisema mashambulizi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Tukio lingine tena la mwanamke kujilipua bomu sokoni, Uganda

    Museveni siku hizi amelegea, makobaz ameyaachia yanaanza kuzagaa na yanamshika kidevu, hili ni tukio la pili mwanamke kujilipua bomu. Kuna lile la kwanza ambapo mwanamke na mwanaume walilipukiwa na bomu walilokusudia kutumia kulipua Wakatoliki waliokua wamekwenda kuhiji. Halafu hili soko...
  6. JamiiForums Tanzania Bomu la kujitoa mhanga kanisani huko Syria lafanya maafa

    Hii ni kazi ya vijana wa itikadi ya msimamo mkali maana yuko radhi ajinyonge ila sio kuona ukristo ukiwa karibu yake.
  7. JamiiForums Tanzania Iran imetangaza hali ya hatari kwa wananchi wa Israel, huenda ikapiga bomu la hatari duniani

    Taarifa kutoka nchini Iran zimesema kuwa leo siku ya Alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani Iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye rada na linafika Israel ndani ya dk 6 tu Iran imesema haitalaumiwa kwa lolote
  8. JamiiForums Tanzania Aliyerusha bomu la petroli(molotov cocktail) Marekani ni jasusi wa Mossad, si mwarabu

    Juzi huko marekanililitokea tukio la mtu kuwarushia bomu la petroli waandamanaji waliopinga vita Gaza na kutaka vita vikome Mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Mohammed alitajwa kama muhusika Lakini duru zinaarifu kwamba bwana huyo si mwarabu wa misri bali jasusi wa israel Hata kule...
  9. JamiiForums Tanzania Anayeshukiwa kuwa Al-Shabaab ajilipua bomu na kufa na watu huko Somalia

    Yaani jamaa huwa wamejazwa ilmu ya dini, sio mchezo, mpaka mtu anaamua kujilipua...... Asuspected al-Shabab suicide bomber killed several people and wounded others Sunday in an attack on a military recruitment center in southern Mogadishu, Somali authorities and witnesses said. The assailant...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Jenerali wa mwandamizi Jeshi la urusi auawa Kwa mlipuko wa bomu lilitotegwa kwenye gari jijini Moscow

    Wadau hamjamboni nyote? Jenerali wa Urusi, Yaroslav Moskalik, ameuawa katika mlipuko wa bomu uliotokea ndani ya gari aina ya Volkswagen Golf jijini Moscow. Anaaminika kuwa miongoni mwa viongozi wa kijeshi wa Urusi waliolengwa na Ukraine ndani ya ardhi ya Urusi, ingawa Ukraine haitoi uthibitisho...
  11. JamiiForums Tanzania Haji Manara nakuonya Kaa Kimya na usishindane na Mwanamke, kwani Bibie sasa anataka kupiga Bomu lako la mwisho ambalo litakumaliza na kukuumiza mno tu

    Bibie sasa anataka kuweka Hadharani Jambo lako na yule Tajiri wa Dubai (sasa Marehemu) na Tajiri wako wa sasa Dar es Salaam. Haji Manara kwa bahati mbaya Wanahabari wengi (hasa wa Michezo) wanajua hilo tatizo lako na nakumbuka hata baadhi wa Watu wa Simba SC walitaka Kukupiga nalo likumalize...
  12. JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Mungu anusurika kuuawa kwa bomu

    Jana asubuhi, Alexandra, Mtumishi wa Mungu katika jiji la Kiev, Ukraine, alinusurika kuuawa kwa bomu lililodondoshwa na drone ya Urusi, juu ya nyumba aliyokuwa amelala. Mlipuko wa bomu hilo uliiteketeza nyumba hiyo kwa sekunde chache tu. Kwa njia inayoonekana wazi kabisa kuwa ni muujiza wa...
  13. JamiiForums Tanzania Nasikia harufu mbaya sana ya udini IPO siku bomu litalipuka

  14. JamiiForums Tanzania Bomu linaenda kupigwa Mochwari ya CCM Kirumba leo

    Nikiona mwana Simba SC yoyote atashangaa Matokeo ya leo huko Mwanza na Kuumia nayo nitamshangaa mno na pengine hata kumuona hana Akili. 85% ya Viongozi Pamba FC ni Yanga SC tupu+ GSM Yanga SC Kuidhamini + Kocha Minziro mwana Yanga SC kufa Mtu = Ushindi mnono Leo.
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya bomu la vijana wasiyo na ajira naona mgomo mwingine kutoka kwa kundi la vijana lililorudishwa nyumbani kutoka JKT

    Baada ya malalamiko ya waalimu wasio na ajira kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao sasa inaonekana kuna kundi jingine la vijana wasio na ajira linaibuka. Ukiachana na hayo makundi mawili kuna hili kundi la vijana kutoka JKT wanarudishwa makwao for fun na wanapewa wengine nafasi kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi mnaona hii movement ya NON EMPLOYED TEACHER ORGNIZATION (NETO) msifumbe macho

    Vijana wasomi wenye taluuma ya uwalimu wasio na ajira wameanua kuanzisha movement jiulizeni je wakiungwa mkono na taaluma nyingine hali itakuwaje, kumbukeni wazazi waliowasomesha nao wanasononeka kwaiyo hata wazazi nao watawaunga mkono, wanafunzi vyuoni watwaunga mkono Tunajua mna mabomu mna...
  17. JamiiForums Tanzania Mr Ki akumbatia bomu rasmi

    Kuna methali ya kimombo inasema "A happy man marries the girl he loves; a happier man loves the girl he married" sasa ndugu yetu kaingia cha kike tayari. Tumetulia pembeni tukisubiri yamkute ya Ndikumana
  18. JamiiForums Tanzania Uvumilivu wa Kidini; Bomu zaidi ya "Nyuklia" kwa Watanzania wengi (eeh Mungu tuepushe)

    Habari Wana JF na WATANZANIA kwa ujumla. It has come to my ATTENTION kwa kauzoefu kadogo nilikonako hapa JF, Nime experience kwamba NYUZI zenye mielekeo ya Imani Fulani (Islam or Christianity) ndio NYUZI zinazochangiwa kwa hisia KALI na CHUKI dhidi ya imani nyingine waziwazi , thanks to JF...
  19. JamiiForums Tanzania Vibaka Afrika Kusini walipua gari ya hela kwa bomu na kupora pesa (inakuaje wahalifu tena vibaka kumiliki silaha nzito za gharama?)

    Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi...
  20. JamiiForums Tanzania 'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

    Jeshi la Israel limekiri kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ilishindwa kuzuia shambulio kubwa la roketi na kombora la Hezbollah. IDF ilisema kwamba inachunguza athari za roketi, hasara na uharibifu kwa Israeli kaskazini. Hezbollah ilifanya mashambulizi 18 dhidi ya wanajeshi wa Israel na vituo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…