bodi ya mikopo

  1. A

    KERO Kwanini Bodi ya Mikopo hairuhusu madeni yao kulipwa kupitia benki nyingine?

    Kwa sisi watumishi wa umma tunaotumia mfumo wa ESS, katika kipengele cha mikopo na tulionufaika na mikopo ya elimu ya juu. Bodi ya mikopo elimu ya juu HESLB wamekua na kero ya kutokuruhusu mtumishi kulipa mkopo wake kwa kutumia Bank nyingine (yaani kuuza mkopo wa HESLB bank nyingine). Hivyo...
  2. Wanafunzi 66,987 Wapangiwa Mikopo ya Tsh. Bilioni 215.3 na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu (HESLB)

    TAARIFA KWA UMMA Dar es Salaam, 07 Novemba, 2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Novemba 7, 2025 imetoa awamu ya pili ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 66,987. Idadi hii inajumuisha wanafunzi wafuatao: Wanafunzi 43,562 wa shahada ya awali na...
  3. M

    Elimu ni ufunguo: zaidi ya wanafunzi elfu 6 Zanzibar wachaguliwa kupata mikopo ya elimu ya juu kutoka ZHESLB kusoma vyuo vya Tanzania

    Elimu ni maendeleo, wanafunzi 6.459 waneemeka na mikopo ya kujiendeleza kielimu katika vyuo Pia kuna bodi kubwa ya muungano HESLB, hutoa mikopo kwa wanafunzi pande zote za muungano ingawa asilimia kubwa huwa ni wanafunzi wa Bara.
  4. A

    Ni Muda Gani kisheria inatakiwa kwa wanufaika wa Bodi ya Mikopo kuanzia kurejesha mkopo baada ya kuajiriwa?

    Kumekuwa na utaratibu kwamba wanufaika wa mikopo wanapoajiriwa katika sekta ua umma hawakatwi mshahara Kwa ajiri ya malipo ya HESLB Hadi baada ya mwaka mmoja kazini Hali hii ni tofauti Kwa sekta binafsi ambapo baada tu ya kuajiriwa HR wanadai wameambiwa na bodi wapeleke majina ya wanufaika wote...
  5. A

    KERO Huduma kwa wateja Bodi ya Mikopo (HELSB) ni mbovu. Mawasiliano waliyoweka hayapatikani

    Hawa loan board yaani hawapatikani kabisa kutoa huduma na namba walizoweka ukipiga zote hazipatikani hata ukiwafuata katika page yao instagram hawajibu, email hawajibu, yaani kumekuwa na mazoea kwa taasisi karibia zote za serikali kuweka namba geresha na wala hazitumiki katika kuwafikia watoa...
  6. Bodi ya mikopo kuverify NIDA unachangamoto shida nini?

    Kama wiki sasa tunajaribu kuingia huduma ya bodi ya mikopo kwenye kipengele cha kuverify nida kuna goma kabisa shida sijui nini , tafadhali pitieni ili tuendelee bila usumbufu. Asante
  7. KERO Bodi ya mikopo verifying NIDA kuna shida gani?

    BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU (HELSB)mbona kuverify nida inasumbua sana shida ni nini na itajirekebisha lini?
  8. A

    KERO Kuzuia benki kununua deni la bodi ya mikopo (HESLB) ilaumiwe bodi ya mikopo au or-utumishi?

    Mikopo ya kugharimia Elimu ya Juu imekuwa na mchango mkubwa sana kwa Taifa la Tanzania tangu kuanzishwa kwake. Ni ukweli usiopingika kuwa asilimia kubwa ya watanzania bado hawawezi kujigharimia elimu ya juu kwa vyanzo vyao wenyewe. Yamkini kusingekuwa na mikopo hii yawezekana tusingekuwa na...
  9. A

    KERO Bodi ya mikopo elimu ya juu kuna shida gani? Tunahangaika kuweka taarifa ila zinakataa wakati ni taarifa sahihi, au haukuunganishwa vizuri na NIDA?

    Pia soma - Zaidi ya wiki sasa Mfumo wa Bodi ya Mikopo ya HESLB inasumbua Bodi ya mikopo mfumo wenu wakuomba mkopo unasumbua sana hasa katika kipengele Cha kuvalidate NIDA number, Kuna muda inakubali kuvalidate lakini ukianza kujaza taarifa za NIDA yaani maswali yanayoulizwa kama majina ya...
  10. L

    KERO Changamoto ya Mifumo Kutosomana kati ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA)

    Mimi ni yatima wa wazazi wote wawili. Tangu tarehe 16 Julai 2025 nimekuwa nikijaribu kuomba mkopo wa elimu ya juu (ngazi ya shahada) kupitia mfumo wa HESLB, bila mafanikio hadi sasa ninapoandika ujumbe huu. Nikiwa Karagwe, nilianza mchakato wa maombi kwa njia ya mtandao. Kila nilipoingiza RITA...
  11. KERO Maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka HESLB michakato ni mingi

    Kwa sasa Bodi ya mikopo imeweka kipengele cha REFERENCE NUMBER, kwenye sehemu ya Demographic details. Hii imekuwa shida sana, inalazimu uende ofisi za serikali za mitaa uende ukapatiwe barua ya utambulisho ambayo inatoka kwa njia ya online kwasasa. Hili limekuwa tatizo, kwanza watendaji...
  12. Bodi ya mikopo na serikali,je haya malipo ya shilingi 20,000/= ni sahihi ili kupata namba ya utambulisho wa makazi (NaPa) ?

    Bodi ya mkopo inapaswa isitishe mara moja kipengere Cha anwani ya makazi yaani National Physical Address (NaPa) kama kigezo kikuu Cha kutoa mikopo Kwa watoto wetu kwani kina changamoto nyingi sana ambazo kuzikamilisha inakuwa ngumu na pengine Kuna mianya ya rushwa. Binafsi nakubaliana na huu...
  13. Godfrey Kiliba: Boom iongezwe kutoka shilingi 10,000 hadi 12,000 kwa Siku

    Jumuiya ya Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO) imeiomba serikali kwa niaba ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu kuweza kuongezewa kiwango cha fedha ya kujikimu kutoka Shilingi elfu 10,000 hadi Shilingi 12,000 kwa siku. Ameyasema hayo Rais wa TAHLISO Godfrey Kiliba Juni 14,2025 Dodoma wakati wa...
  14. PreGE2025 Gerson Msigwa azomewa UDOM. Aambiwa No Reforms No election. Atoa vitisho

    Usiku wa kuamkia leo kupitia kwa kinachoitwa tamasha la mama, Gerson Msigwa akiwa UDOM amekumbana na zomea zomea hadi kutoa vitisho. Zomea zomea hiyo ilikuwa akianikizwa na maneno "No reforms No election" Amepewa za uso, kila alilosema likawa linajibiwa kwa shubiri.
  15. Serikali kupitia bodi ya mikopo kama mmeshindwa kuwahudumia hawa watoto ni bora mkasema ili watafute option nyingine

    Unaenda mwezi wa pili huu wanafunzi ambao wanawaita wanufaika wa HESLB hawajaingiziwa accommodion and meals fund,na isitoshe 90% ya hao walipewa 10 to 40% kwa ajili ya tuition fees hivyo wanategemea meals na accommodation ili wajazie ada. Mpaka sasa wanafunzi wengi wamekwama kulipa ada kwa...
  16. Kulikoni bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    Hadi sasa hela za,matumizi ni Dana Dana leo wiki napika ugali then ule uji nilitumia kusongea ugali ndio nafanya mchuzi WATANZANIA wako na mioyo ya huruma msaada jamani
  17. Bodi ya Mikopo yasema changamoto ya mifumo ya Kibenki imechangia 'Boom' kwa Wanavyuo kuchelewa

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mwanafunzi na Mnufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kudai wamecheleweshewa fedha za kujikimu (Boom) kwa wiki mbili sasa, ufafanuzi umetolewa. Hoja ya awali hii hapa ~ Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu...
  18. Bodi ya mikopo elimu ya juu(HESLB)

    Habari wanajukwaa, Naomba kuuliza kwa anayefahamu kama bodi ya mikopo inatoa mkopo kwa wanafunzi wa shahada ya udhamili(postgraduate students)?
  19. KERO Responded Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu (HESLB) inatuweka Wanachuo katika wakati mgumu sana kwa kutotuwekea fedha

    Katika hali ya kushangaza mfululizo wa hali ya ucheleweshwaji wa malipo ya pesa ya kujikimu na chakula kwa wanafunzi wa vyuo Vikuu imekuwa ni jambo la kawaida sana kufanywa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu HESLB. Tunaomba kila mwenye ushawishi asaidie kupaza sauti juu ya hili. Updates...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…