Yanga Sc kupitia viongozi wa Matawi mbalimbali kutoka jijini Dar Es Salaam wamekutana makao makuu ya klabu yao Jangwani leo hii Mei 10/2025 huku wakiziuliza mamlaka za soka nchini kuwa wanapangaje tarehe mpya mchezo wakati hawajaja na taarifa ya uchunguzi juu ya mchezo ulioahirishwa Machi...
Msichokijua tu, Wazee Wa Makoti wanatafuta Kila aina ya mbinu kuhakikisha Viongozi Wa Yanga SC wamefungua Moyo ili hiyo June 15 mbungi ipigwe.
Wameongea na Viongozi Wa serikali, wamegonga Hadi ikulu kwa mama na kilichopo wameongea na kundi la Wazee Wa Yanga SC, waitishe press conference, agenda...
Kwa kweli uongozi wa TFF na Bodi ya Ligi una changomoto kubwa sana hasa kutokana vilabu vya Yanga na Simba. Uongozi wao siyo imara. Ninauliza muda wa uongozi wao unaisha lini ili watupishe tuchague uongozi mpya.
Nitashangaa sana kama uongozi huo wa TFF na Bodi ya Ligi watarudi tena...
Ninashangaa sana wadau wanaosifia kwamba maendeleo ya mpira wa Tanzania yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na TFF na Bodi ya Ligi, Jambo ambalo si kweli. Miaka kadhaa hapo nyuma timu nyingi hazikuwa na hali nzuri kifedha kiasi cha kushindwa kusafiri kwenye mechi za mikoani, Ilikuwa ni jambo gumu mno...
Mnamo 07/03/2025 mida ya saa 6 usiku klabu ya simba kupitia Idara ya habari ichapisha na kusambaza habari za kutoshiriki mchezo wa ligi ambapo ulipaswa kucheza keshi yake(08/03/2025) watu wengi tulipigwa na butwaa kwa maamuzi haya ambayo yaliipa hasara timu ya Yanga kutokana na maandalizi ndani...
Uogozi wa Yanga wamepewa taarifa pamoja na timu zingine ratiba ya michezo iliyobaki Sasa kama wapo serious kweli waandike barua TFF kuwa hawapo tayari kucheza mechi ya tarehe 15 kama kweli wanamaanisha.
Ninazo taarifa kuwa Klabu ya Yanga imeandika waraka wa kurasa 174 kwa serikali huku ikitumia wadau wake walioko serikalini. Waraka huo ni mwendelezo ya mashtaka yaliyotupwa na CAS.
Pamoja na hayo serikali imetoa tamko rasmi kwamba haiko tayari kuingilia suala hilo kwa sababu ni kinyume na...
Kama zilivyokuwa sababu za kuahirisha mchezo tarehe 8, Ndivyo itakavyokuwa tarehe 15, Licha ya Yanga kusema "HATUCHEZI" lakini pia tutafanya vurugu kwa yeyote atakayeleta timu uwanjani. Mabaunsa pia watakuwepo kabla ya tarehe hiyo kuzuia na kuikabili timu yoyote itakayoleta pua uwanjani.
Je...
Simba walipoenda kufanya mazoezi,walikutana na watu waluojulikana kama mabaunsa.
Walitoa taarifa ya malalamiko yao siku ile ile.
Bodi ya ligi walikuwepo na walipaswa kupitia mwakilishi wao kutoa taarifa polisi ili wale wahuni wakamatwe.
Huenda walitoa taarifa polisi na huenda kwa sababu polisi...
Timu mwenyeji kwenye Kariakoo derby amegoma lakini bodi ya ligi wao wanatangaza tarehe ya mchezo
Hawa bodi ya ligi naamini hawako timamu kichwani
Majukumu ya timu mwenyeji
1.kuandaa uwanja na vifaa
Timu mwenyeji (Yanga) ana jukumu la kimuandalia Simba vifaa vya mchezo kama mipira na cones za...
Bodi ha Ligi imetoa ratiba za viporo vilivyobaki, huku ikifanyia pia marekebisho ya tarehe kwa baadhi ya michezo.
Jambo kubwa zaidi ni kuwa derby ya Kariakoo bado ipo palepale, itapigwa Juni 15, 2025, saa 11:00 Jioni uwanja wa Benjamin Mkapa.
Hii inajiri masaa machache baada ya Klabu ya Yanga...
TFF na taasisi zake zimeshindwa kusimamia maslahi ya football Tanzania
Viongozi wa TFF wamejawa na mahaba na ushabiki Kwa Simba
1. Bodi ya ligi moihairisha mechi mkasema Kuna uvunjifu wa kanuni na Tuhuma za rushwa
Leo mnatoka mnataka kupanga tarehe ya mchezo je hao waliosababisha mchezo...
Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF.
Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena imani na hii
TFF.
Wako tayari kucheza hata ligi daraja la tatu.
Bodi ya ligi imewasikiliza wachambuzi na kuja maazimio ya kuipangia derby tarehe zingine
CAS imeshauri kuwa shauri lisikilizwe na kutolewa maamzi na ngazi ya Rufaa ya TFF, haijasema bodi ya ligi upande tarehe mpya ya derby ambayo Yanga alipinga
Hawa bodi ya ligi wamejaa vilaza
Wanasikiliza...
Kuna upotoshaji unaendelea ati Yanga ameshindwa kesi, sio kweli Bali Yanga amepewa mwongozo kuwa aanzie kwenye kamati ya Rufaa ya TFF
Kanuni za CAS ni kuwa tukio linalolalamikiwa linapotokea CAS hutoa siku 21 liwe limefika mezani kwao
Baada ya bodi ya ligi kuhairisha mechi kihuni, Yanga...
Habari za kikachero zimebainisha kwamba mpaka sasa kwa mujibu wa report zilizotumwa katika mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS) kutoka pande zote, mpaka sasa imebainika kwamba sababu za utetezi wa bodi ya ligi kuahirisha mchezo wa ligi tarehe 8 hazina mashiko, Hivyo hawakuwa na sababu zozote...
TFF na bodi ya ligi baada ya kukaa wameazimia Kufuta matokeo yaliyotokea huko Egypt Simba kupigwa goli 2
Bodi ya ligi imejiridhisha kuwa Simba walionewa baada ya kuzuiwa kufanya mazoezi
Pia bodi ya ligi imegundua kuwa Al Masry wakifunga magoli ya counter attack, Simba alionewa kwanini afungwe...
TPLB ilihairisha mchezo wa Simba na Yanga Kwa kusema wataupangia tarehe nyingine, cha ajabu kuchelewa kwao kutangaza tarehe yameibuka ya kuibuka!
Nafananisha haya na yanayoendelea CHADEMA na kundi linalojiita G55. Nionavyo Mimi hawa ni VIVURUGE tu!
Nasema ni VIVURUGE Kwa sababu Kwanza ata Hilo...
Mimi nilitaka kushangaa mtu anasimama mbele ya halaiki, tena mtoto mdogo tu anatamba eti atachacha, where do you get that arrogance? Kwamba Yanga ni kubwa kuliko authority? Unaongea as if unayemuongelea ni mtu mdogo sana halafu umetegwa omba radhi unajibu tena kwa kejeli.
Hongereni Jeshi la...
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imepokea rasmi rufaa iliyowasilishwa na Klabu ya Young Africans SC dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Klabu ya Simba. Rufaa hiyo inahusiana na uamuzi uliotolewa na TPLB tarehe 8 Machi 2025.
Soma: Bodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.