bodi ya ligi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NALIA NGWENA

    TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  2. mshale21

    Yanga sc ina viongozi ambao ni wanachama wa CCM, wanaunga mkono uchaguzi bila marekebisho ya kikatiba, lakini wanadai reforms kwenye bodi ya ligi

    Wakati mwingine watu sijui wanatuchukuliaje, 100% ya viongozi wa Yanga ni CCM kindakindaki, wako tayari kushiriki uchaguzi mkuu bila marekebisho ya kikatiba , wako tayari kuona watu wakiendelea kuuawa katika ardhi hii ya Tanzania, lakini cha ajabu wanadai reforms kwenye muundo wa uendeshwaji wa...
  3. ngara23

    Bodi ya ligi ni hekima zaidi kusilikiliza madai ya Yanga, wala siyo unyonge

    Kwanza nawapongeza bodi ya ligi Kwa hatua ya kuwaita Yanga na kuwasikiliza rasimi. Bodi ya ligi ndo ilifanya makosa na kukaa kwenye janjajanja ya Simba aliyetumia Karia kukimbia mechi Kama TFF walisikiliza Simba na kuvunja mechi kijinga kwanini isiwasikilize Yanga wenye hoja zilizoshiba kuliko...
  4. BigTall

    Ali Kamwe: Bodi ya Ligi ikisikiliza na kutekeleza mahitaji yetu tutacheza Kariakoo Derby ya Juni 15, 2025

    “Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.
  5. M

    Bodi ya Ligi, waambieni watanzania rasmi kuwa Yanga haitocheza na Simba Juni 15 ili watu waendelee na shughuli zao, mkikaa kimya mtaua biashara za wat

    Yanga wameshasema hawachezi, wengine wanasema wanadanganya na wengine wanasema wako serious kwa sababu hadi leo hakuna tiketi zinazouzwa, wengine wanaona Yanga wameanza mazoezi mapema na hivyo wanashangaa Yanga aanze tizi mapema la kumkabili Prisons, tizi gani hilo? Sasa ushauri wangu mechi ya...
  6. Mhafidhina07

    Nasubiri kuona Yanga ikishushwa Daraja,Karia kujiuzulu (BODI YA LIGI) au Vurugu inaweza ikawa solution.

    Nazani Bodi ya ligi haitaweza kuipokonya Yanga points 15 na kuishusha daraja,na endapo ikitokea hivo Nchi nzima itakuwa kwenye fujo Barabara na Magari kuchomwa moto. Vita ya Ushabiki ni vita Nyengine kwa Tanzania.
  7. KakaKiiza

    TFF na bodi ya ligi kuwa makini sana na kutoyumbishwa na Yanga. Lolote watakalofanya Juni 15 msigeuke nyuma mtageuka jiwe la chumvi

    Kama nilivyo anza naomba niwajulishe ya kwamba katika siku mtakuja kujilaumu katika maisha yenu yote na kubaki hadithi ni siku ambayo mtashindwa kuchukua maamzi stahiki kwa klabu yoyote itakayoshindwa kuleta timu uwanjani siku ya tarehe 15-Juni-2025. Endapo ikatokea klabu yoyote ikasema aileti...
  8. Pdidy

    MDA SI MREFU nimeota BODI ya ligi itajiuzulu na kuundwa BODI mpya na YANGA atatangaza kucheza Derby. ....

    Wapendwa SIJAWAHI kosea ndoto ZANGU Usiku waleonnimeota BODI ya Ligi itajiuzulu siku si nyingi kuanzia sasaaa Na taarifa za ndoto ZANGU zinasema Itaundea BODI mpya Na bAadae YANGA itatangaza kucheza derby Tar 15 jun Ft YANGA ATASHINDA na JUMLA ya magoli ft pande zotee n kuanzia 3+...
  9. Kitimoto

    Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi Wanahujumu Chama na Serikali Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu 2025

    Wanachokifanya Chama cha soka nchini TFF na Bodi ya Ligi kuhusiana na mechi ya mkondo wa pili ya watani wa jadi Young Africans SC na Simba SC ni wazi wanatumika na baadhi ya wanasiasa kuhujumu uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ikumbukwe vilabu hivi vikubwa vina wanachama na mashabiki ambao wale wenye...
  10. GENTAMYCINE

    Mbichi kabisa: Bodi ya Ligi yasema Mechi ya Yanga na Simba tarehe 15 June, 2025 ni kwa Mkapa na wale waliokata Tiketi zao wataingia nazo

    Kama ulikata Tiketi yako ya Kielektroniki ile Mechi ya Awali itunze kwani hiyo hiyo utaingia nayo Mechi ya tarehe 15 June.
  11. NALIA NGWENA

    Unahisi Mwamba kazingua wapi Kabla sisi (Viongozi Wa Simba SC) hatujamchukulia hatuka Kali ya kumshitaki TFF na Bodi ya Ligi ?

    Mashabiki wenzangu semeni mapema ili tupeleke report kwa baba (TFF na Bodi ya Ligi) Hii siyo Bure kabisa binafsi naona kama tumehujumiwa kabisa Nawasilisha hoja
  12. Waufukweni

    Timu kususia mechi za Ligi, Bodi ya Ligi (TPLB) wasema hatujapokea barua ya malalamiko kutoka timu yoyote, hata Singida Black Stars

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imethibitisha kuwa haijapokea barua yoyote ya malalamiko kutoka kwa klabu yoyote inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC wala NBC Championship hadi sasa. Taarifa hiyo imetolewa na Afisa Habari wa Bodi hiyo, Karim Boimanda, ambaye amesema kuwa hata klabu ya Singida Black...
  13. kavulata

    Kwa jeuri hii bodi ya ligi na TFF hawako huru, hawako peke yao

    Bodi ya ligi na TFF hawajali timu na wadau wanasema nn kuhusu mechi zinavyochezeshwa. Nijuavyo mm bodi ya ligi na TFF hawana ubavu wa kuahirisha mechi ya derby kihuni namna ile. Timu hata za jeshi kuonewa uwanjani kwa kuchezeshwa kihuni hakuwezi kufanikishwa na bodi ya ligi pekee.
  14. ngara23

    Tetesi: Timu 5 za ligi kuu NBC PL kugomea mechi zilizobaki hadi TPLB watakapojibu madai yao kuhusu hujuma waamuzi

    Timu Tano kutoka ligi kuu NBC PL tayari zimeandika barua Bodi ya ligi kuwataka waje na maelezo ya kina kuhusu waamuzi wanavyofanya hujuma dhidi Yao Wameweka wazi kuwa bila majibu ya kuridhisha hawako tayari kucheza mechi zote 2 zilizobaki ili kutamatisha ligi Timu hizo ni Yanga, Namungo...
  15. Waufukweni

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mguto: Walio tengeneza Tisheti za 'Hatuchezi' hatuwaingilii ila dabi ipo!

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara Steven Mguto amesisitiza kuwa Derby iko pale pale kama ilovyopangwa kuchezwa Juni 15
  16. Pdidy

    Kwa uwanja huu wa Mkwakwani ulivyo na umetoka kwenye matengenezo hii bodi ya ligi mjiuzilu tu

    Wapendwa ktk bwana Nawasalimu kwa heshima ya jamhuri ya muungano wa tanzania Wakati sisi simba lialia tunaendelea kulalamikia tuchexe final kwa mkapa Na huku caf wakilalamika uwanja haujakidhi Na Final n Zanzibar Sasa ukisubiria vichekecho vya caf kurudisha mechi kwa mkapa Nani...
  17. Waufukweni

    CAF yaamuru mechi ya fainali Simba Vs Berkane ichezwe New Amaan, Zanzibar Mei 25, 2025

    Wakuu! CAF kupitia barua yao imewaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC kati ya Simba dhidi ya Berkane ipigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar. Pia, Soma: Mwana FA: Fainali ya Simba dhidi ya RS Berkane itachezwa Benjamin Mkapa CAF imesema uamuzi huo ni baada ya...
  18. K

    Mbona ripoti ya bodi ya ligi haitoki kuhusu kutochezwa kwa dabi 8 Machi, 2025

    Wengi wetu tulitoka kila kona ya nchi hii kuja kushuhudia DABI kati ya Timu ya Yanga na Simba na mwisho wa siku mchezo huo haukufanyika kutokana na timu ya Simba kutofika uwanjani na Yanga walitii sheria zote za ligi na kupeleka timu yao uwanjani. Baada ya mchezo huu kuhairishwa Bodi ya Ligi...
  19. U

    Kwanini mechi za yanga Bodi ya Ligi imeziweka mbali

    Bodi ya Ligi inamtafuta Nini Yanga, yani wamepanga mechi za yanga mwishoni mwa mwezi wa Sita , yanga anacheza Leo tarehe 13.05.25 , mechi ingine inayofuata ni tarehe 18.05.25 mechi ingine ni tarehe 15.06.25 hapo Kuna gape la siku 27 yanga atakuwa hajacheza mechi, hii imefanywa makusudi Ili...
  20. M

    Yanga ikiandika barua Bodi ya Ligi kuwa haichezi na Simba Juni 15 Nitaamini kuwa Mechi Haipo, Vinginevyo Simba Ikipuuza itakufa kifo kibaya sana

    Yanga haijaandika barua kwa bodi ya ligi kuwa haitacheza mchezo wake na Simba juni 15, walichokifanya sasa hivi ni danganya Toto tu kwenye page yao ila washaazimia kucheza mchezo huo, wanachokifanya sasa hivi kwa vile mechi hiyo ina mambo mengi yanayofanyika nje ya uwanja ikiwa makafara mazito...
Back
Top Bottom