Kijana mmoja ameporwa simu barabrani tena kwenye service road wakati anaongea,
bodaboda kaipitia kama kipanga,
wakati jamaa anapiga kelele huku anafukuzia akakutana na kijiwe cha bodaboda mbele yake akawaambia naomba mmoja tumfatilie yule mwizi nitalipa hela yeyote, kwa mshangao wote pale...