bingwa

Geng Bingwa (Chinese: 耿冰娃; pinyin: Gěng Bīngwá; born January 3, 1994) is a Chinese figure skater. She won the silver medal in 2008 and 2011 at the Chinese Figure Skating Championships, and reached the free skate at five International Skating Union Championships.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Husimkatie mtu tamaa (mechi ya yanga klabu bingwa)

    Katika kibanda umiza nimekutana na ujumbe maridhawa unasema usimkatie mtu tamaa,ikiwa ni maandalizi ya klabu bingwa yanga huko Algeria, karibuni tujadili tusimkatie mtu tamaa. Kwako mwalimu kashasha
  2. JamiiForums Tanzania Huu hapa uzi mpya wa Klabu ya Yanga wa Klabu Bingwa Afrika 2024/25

    Klabu ya Yanga imezindua jezi mpya rasmi za nyumbani, ugenini na jezi ya tatu kwa ajili ya kampeni ya Kombe la Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2024/25. Jezi hizi mpya zitakuwa sehemu ya maandalizi ya timu kuelekea michuano hiyo, huku zikitarajiwa kutumika katika mechi zao za...
  3. JamiiForums Tanzania Jezi mpya za Yanga za Klabu Bingwa kuzinduliwa Novemba 20

    Klabu ya Yanga Sc kupitia kwa Meneja wake wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe, imethibitisha kuwa jezi mpya za klabu hiyo kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zitazinduliwa Tarehe 20, Novemba 2024 na zitauzwa kwa Tsh 50,000/= tu. "Tarehe 26 mwezi huu tuna mchezo wa ligi ya Mabingwa, wengi...
  4. JamiiForums Tanzania Ulikuwa Bingwa wa Michezo ipi Utotoni?

    Ifahamu michezo asilia ya watoto inayotambulika katika Lugha adhimu ya Kiswahili 1) Kombolela 2) Mdako/nakwa 3) Rede 4) Nage 5) Tobo 6) Saga koboa 7) Ukuti ukuti 8) Kinyulinyuli 9) Visoda 10) Kula mbakishie baba Itaendelea...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu bingwa wa nyonga na magoti wa Uingereza atua Dar

    Mtaakam bingwa wa upasuaji wa nyonga na magoti kutoka hospitali ya Qeen Elizabeth ya Uingereza Profesa Mamoun AbdelGadir, amewasili jijini Dar es Salaam kwaajili ya kambi ya matibabu ya siku tano kwa watanzania. Daktari huyo kwa kushirikiana na wataalamu wa ndani atafanya upasuaji huo kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume ni lazima uwe bingwa wa kuchapa mabusu

    Ubunifu, ujuzi na utundu wa kuchapa mbususu ni muhimu kwa faida ya ndoa yako
  7. M

    JamiiForums Tanzania Asante MO , Bingwa wa mikakati nje ya uwanja. Kesho Simba inampiga mtu goli za kutosha.

    Ushindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA. Kuna taarifa nzuri sana kuwa tayari ameshamalizana na wachezaji waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa, hivyo kamati ya ufundi ilitumia furusa hiyo kuwafuata hukohuko kwao DRC, Mali, Burkina Faso...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mdogomdogo maji na mafuta yanaanza kujitenga, Yanga anacheza mechi zake kibingwa na ndiye bingwa mtarajiwa!

    Wenye uelewa na Mpira watakuwa wamenielewa ninachomaanisha, siku zote timu yenye tabia za kuchukua ubingwa uwa Zina viashiria Fulani Fulani vya kutwaa ubingwa! Viashiria ivyo yanga anavyo kwa 100%, yanga amekuwa awezi kudondosha point kizembe ata kama mechi imewakalia vibaya lazima waondoke na...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga akizifunga timu zote zinazofadhiliwa na GSM atakuwa na point 36 kibindoni,Yanga Bingwa

    GSM wana akili sana Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao. Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga. Walitaka kufadhili ligi kuu eti Simba na timu zote zivae jezi ya GSM, Simba wakasema mkifanya hivyo tunahamia ligi ya Burundi au Zambia TFF wakaufyata. Wanayo familia kubwa sana, nusu ya...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi kama mmepanga Yanga awe bingwa Mara Mia msisumbue watu

    Lile ni bao dhahiri, kama Yanga ndio wangefungwa halaf ndio kichwa kile wamepiga wao lazima ngoma ingewekwa kati, Yanga wasifungwe au kutoa sare wao nani
  11. JamiiForums Tanzania Ngao ya jamii: Klabu Bingwa imejitenga na Shirikisho

    Michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika na ile ya Shirikisho ni michuano miwili tofauti. Klabu Bingwa ni michuano mikubwa zaidi. Tanzania itawakilishwa na Yanga na Azam kwenye michuano hiyo mwaka huu. Kwa upande wa Shirikisho, tutawakilishwa na Simba na Coastal Union. Ilivyo bahati, Azam...
  12. JamiiForums Tanzania Nani Bingwa wako wa Kushoot katika Olimpiki

    Kati ya Mastaa wa Olimpiki waliotikisa Vichwa vya Habari ni Mturuki Yusuf Dikec na Mkorea Kim Ye-ji katika Mashindano ya Kulenga Bunduki ambao wote walishinda Medali za Fedha Kim Ye-ji, amekuwa miongoni mwa Wanawake waliovutia Mashabiki wengi, amesifiwa si tu kwa ujuzi wake, bali pia mtindo...
  13. JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana Bingwa na Makamu wao wala hawana Mbwembwe, ila wa Nyuma yao ndiyo wana Mbwembwe zinazotia Shaka mbeleni

    Yaani Mwanafunzi aliyekuwa wa Kwanza pamoja na Mwenzake wa Pili katika Darasa Wao wala hawana Shobo na Mbwembwe ila yule aliyeshika Nafasi ya Tatu ndiyo anasumbua Darasani kiasi kwamba Walimu wanajiuliza hivi ingetoa Yeye ndiyo kawa wa Kwanza au wa Pili si angeshangilia Shule nzima na pengine...
  14. JamiiForums Tanzania Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ

    Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani TAzara na Tazama ni muhimu zaidi kuliko wao, Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ wamalize mchezo.Watoto wa St Petersburg nani awafute machozi? Ni kheri kumuenzi Keneth Kaunda na...
  15. JamiiForums Tanzania Hiki kicheko cha dharau cha GSM kinaashiria "kama unabisha nitakuonyesha" uhakika Yanga bingwa

  16. JamiiForums Tanzania Utabiri wangu AZAM bingwa 2024/2025

    Azam bingwa 2024/2025 Msimamo mwisho wa msimu 1 Azam Fc 78 pts 2 Young African Sc 78 pts 3 Simba Sc 70 pts 4 Singida black stars (Ihefu. 14 Pamba pts 25 15 Kmc pts 24 16 Mashujaa 20 Mfungaji bora (Young African Kipa bora (Azam
  17. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa Ushauri wa Kukuza Uandishi wenye Tija nchini Tanzania kwa kutumia Akili Mnemba

    UTANGULIZI Mnamo tarehe 30 Juni 2024, Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa ushauri muhimu kuhusu njia za kuongeza matumizi ya Akili Mnemba katika kuchochea uandishi wenye tija kwa maslahi ya umma katika miaka 5-25 ijayo na kujenga 'Tanzania Tuitakayo'. Mtaalamu alisisitiza kuwa kwa kufuata mikakati...
  18. JamiiForums Tanzania Simba wakimpa thank you CHAMA ndio nitaamini wako serious na Mabadiliko, tofauti na hapo YANGA BINGWA 2024/2025

    Hizi kelele za Thank You ni kama zimemponya Mangungu, vipi ndugu zangu tuwape muda au bado libeneke liko palepale? Ngoja kwanza nicheke kikatuni Teh teh teh teh teh teh teh! Huyu mchezaji huwa anadhihakiwa sana na mashabiki kwamba kachoka na anaichomesha timu kwenye mechi muhimu! Sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nitengeeni Bilioni 2 tu kisha mtumeni Mtu aniltee hapa Kampala niwafanyieni Usajili wa kuwa Bingwa wa Makombe yote 2025

    Nina Jicho la Kuona na Kumjua Mchezaji kuliko Injinia Hersi na mkinipa hizi Hela nawasajalieni Wachezaji wangu Saba ( 7 ) wa Kimataifa niliowaona Watatu niko nao hapa hapa Kampala Uganda na Watano wako Afrika Kusini, Congo DR, Ivory Coast, Zambia na Angola. Kwa Wachezaji wa Ndani nitawasajilia...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Azam wamedhamiria kuchukua nafasi ya Simba Klabu Bingwa au wanatuzuga tu?

    Ukiangalia namna viongozi wa Azam na wachezaji wake wana hali ya usimba na uyanga mle. Kitendo cha Azam kufungwa goli tatu na Simba kulileta tafsiri ya aina yake kwasababu Azam walihitahi tu point moja kwa Simba ili kujiwekea uhakika wa kucheza klabu bingwa ila cha ajabu tuliona jinsi Azam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…