binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kuteuliwa papa mwenye sura binafsi (personal face) kwasababu za siri

    Papa ni moja ya kiongozi mkubwa sana wa kiimani na kidunia! Papa anasimama kama kiongozi mkuu wa kiimani katika kanisa katoliki, Papa anasimama kama mfalme au rais katika mji wa Vatican (roma) Papa ni moja na nafasi ya juu sana katika nafasi zenye usiri mkubwa katika utawala wa dunia. Pamoja...
  2. JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya ELEMENTS za watu waliofanikiwa KIUCHUMI lakini HAWAJIONESHI. Soma hadi mwisho kisha jitathimini wewe binafsi uko wapi?

    1. Waliofanikiwa Kiuchumi ni watu waliofanikiwa katika UTUNZAJI WA MUDA! Hawapendi kupoteza muda 2. Waliofanikiwa Kiuchumi ni MABAHILI na wanachukiwa na watu wao wa karibu, kwa sababu ya ubahili wao. 3. Waliofanikiwa Kiuchumi, hawapendi sana POPULARITY ili kuwa huru ktk mambo yao binafsi...
  3. JamiiForums Tanzania Ni nini kilikufanya uache ajira yako kwenye sekta binafsi uiingie Kwenye utumishi wa Umma ? Ni marurupu au Mikopo ?

    Habarini za Muda huu ndugu na Jamaa wa Jamvi letu pendwa la HHM. Baada ya salam ambayo utamaduni wetu watanzania kabla ya kuwasilisha Jambo kwa hadhira. Nimekuja na hiyo ajenda kufuatia msururu wa mawazo kichwani kwangu yakiigia na kutoka, mengine nikiyapatia majibu mengine siati majibu yake...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

    Ma bro hamjambo....... Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri. Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Enyi wawezeshaji wa mdahalo juu ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi muwaelimishe hao wachangiaji wenu vinginevyo hapo mnapoteza tu muda

    Ninachokiona ktk mdahalo ni wananchi kuwasilisha malalamiko yao serikalini kupitia huo mdahalo. Wanatumia huo mdahalo km medium tu, warudisheni wachangiaji kwenye mstari wengine hapo ni wale janja janja waliozoea kukwepa kodi ndio maana karibu kila mfanyabiashara analalamikia bandari kwasababu...
  6. JamiiForums Tanzania Nakipongeza chama changu CHADEMA kwa msimamo thabiti juu ya UCHAFUZI. Binafsi nitatumia uwezo wangu wote kuhakikisha nakuwa sehemu ya kuuvuruga

    Naapa kwa Mungu lazima niuvuruge Uchafuzi mkuu wa mwaka 2025. Nikiondoka na roho hata moja tu ya mchafuzi nitakuwa na amani kubwa moyoni. Kubwa sana! Nikipongeze Chama changu CHADEMA kwa msimamo thabiti. Sasa huko mitaani kazi yetu itakiwa nyepesi sana maana itakuwa ni kazi moja tu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Tunaposema awepo mgombea binafsi muwe mnaelewa, angalia Sasa vijana waliokuwa wanategemea kupambana kupitia Chadema

    Chadema angalau ni chama ambacho kinajulikana kwa wananchi mpaka wa vijijini na kina hamasa kwenye uchaguzi Vijana wengi walitegemea Chadema maana kule ccm ni wazee na matajiri,kijana kupenya si rahisi
  8. N

    JamiiForums Tanzania Binafsi sina namba ya NIDA

    Wakuu mi binafsi sina namba ya NIDA lakin nina passport ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na nimeshasafiri nchi zaidi ya 35. Asa wakuu wa jf mnaniweka kwenye kundi gani? Mnipe mchongo wa kupata namba ya NIDA online mana mi mambo ya kupanga foleni kusubiri masaa siwezi kabisa.
  9. JamiiForums Tanzania Binafsi kama mwanamke hajabarikiwa Nyuma ni changamoto sana

    Mwanamke ambaye hajabarikiwa Nyuma awekeze katika Kutafuta pesa sana tofauti na hapo hali sio nzuri Ahsante
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Prof Adolf Mkenda: Sekta binafsi inaalikwa kwenye Ujenzi wa Hosteli popote ila iwe tu karibu na chuo chenye upungufu wa Hosteli kwa sharti ya Ubia

    === Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Faustine Mkenda amezikaribisha Kampuni, Watu binafsi au Mashirika ya kiria kuchangamkia fursa za kujenga na kuendesha Nyumba kwaajili ya mabweni | Hosteli maeneo jirani na vilipo vyuo ambavyo vinaupungufu wa Hosteli kwaaji ya...
  11. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya , Ofisi ya CAG, Tuelezeni Ukweli kuhusu NHIF, hii FAIDA ya NHIF imetokea wapi? CCM mpaka lini mtaendelea kua Waongo??.

    Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !! Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!. Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa. Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Nauza Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) kwa matumizi ya ofisi na binafsi

    Bidhaa: Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) Kazi: Printing,scanning and photocopying Bei: Tsh 350,000/= Eneo: Kimara mwisho-Dar es salaam Mawasiliano: 0624576521 Ofa: wino+ Rimu
  13. JamiiForums Tanzania Mbali na kazi unayoifanya ni kazi gani nyingine unaipendelea zaidi lakini unajizuia kwa sababu zako binafsi?

    Ugonile. Binafsi kipindi niko mdogo ndoto yangu kubwa ilikua kuwa Hakimu/Judge lakini baada ya kugraduate iyo kozi na kuipractice kidogo mahakamani niliona majukumu ni mengi sana ambayo yataniitaji niwe mtu wa kusoma kila siku kitu ambacho nakichukia sana ivyo nikaamua kuipiga chini nikageukia...
  14. JamiiForums Tanzania Binafsi nikiona mtu Personality yake imemezwa na ushabiki wa Simba na Yanga huwaga napata mashaka na IQ yake

    Unakutana na Mtu anaamka asubuhi akifika tu kwenye kijiwe cha kahawa au mgahawani lazima itakuwa ndio mada atakayodiscuss kwanza kuliko kingine chochote na bora ingekuwa vitu concrete katika timu yake ya aidha simba au yanga bali utakuta ni udaku Akitoka kwenye kijiwe hicho cha kahawa akasogea...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi nyie mnajijuaje kua ni Extrovert cjui Introvert, binafsi niseme tu mie sijui nipo kundi gani

    Naiona ona sana mijadala hii me nashindwa kujidiscribe kiukweli....nisaidieni on my behalf me napenda kukaa ndani (nmepanga self) mambo yooote namalizia ndani nikitoka nje kutafta vya kupika tu😂 km Nina vitu vya week bc sitoki ndani iyo week yote Sina rafiki biashara zangu nazikagua mwisho wa...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati watanzania wafanyakazi wanaofilisi makampuni sekta binafsi

    Nimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo imalaseko, nakumatt na game na shoprite ilivyofunga, ukiwauliza wengi wanasema hawaoni faida ila bidhaa...
  17. JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini ziara binafsi za Tundu Lisu mikoani zimepoa yaani zipo kama hazipo tu?

    Ukitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na...
  18. JamiiForums Tanzania Binafsi: Sihitaji kupendwa , nnachohitaji ni kuheshimiwa tu

    WAKUU, 1. Uwezi kunambia Kila mara Unanipenda (unalia Hadi chozi) na penzi hunipi, kisa eti Hatujafunga ndoa. Binafsi naona Unaniigizia tu. 2. Sioni mantiki ya kuninyima penzi na najua kabisa nmekukuta huna BIKRA. Ukininyima penzi naamini UMENIDHARAU. 3. Kunibania penzi kiukweli hakuwezi...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Sitaki kusikia mtu anaambiwa akanunue dawa nje ya hospitali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku tabia ya waganga katika hospitali za serikali kuwaandikia wagonjwa dawa na kuwaelekeza kununua dawa hizo katika maduka ya dawa ya watu binafsi wakati Serikali imetoa dawa za kutosha kwenye zahati,vituo vya afya na hospitali za Wilaya. Ametoa marufuku...
  20. JamiiForums Tanzania ugawaji wa majimbo kwa sasa ni ustawi wa maendeleo ya jamii zetu au maslahi binafsi ya watu

    Ukikaa unawaza je kuna haja ya kuendelea kujaza wabunge bungeni na kulipana posho na kuongezea serikali mzigo na kuacha huduma za kijamii zikiendelea kudozorota mfano afya na elimu ambazo miundombinu inajengwa ila mashuleni walimu hakuna vitendea kazi hafifu, kwenye afya majengo yapo wahudumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…