binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inafuatilia kwa ukaribu matukio ya hivi karibuni ya utekaji wa viongozi na wananchama wa CHADEMA

    “Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inafuatilia kwa ukaribu matukio ya hivi karibuni ya utekaji wa viongozi na wananchama wa CDM.” - Kamishna Dkt. Solomon Ayele Dersso.
  2. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Saikolojia ya kujiamini na faida zake kwa binadamu

    Kila mwanadamu ana nafsi (self) ya kipekee ambayo inahitaji mazingira chanya na msukumo wa ndani (internal will) ili kukuwa. Wengi wetu hatuthamini msukumo wa ndani kwenye ukuaji wa nafsi zetu bali tunathamini sana mazingira yetu kama kichocheo namba moja cha ukuwaji wa nafsi zetu. Kwa mtizamo...
  3. JamiiForums Tanzania UN: Ukosefu wa ajira na elimu hufanya wengi wawe wahanga wa biashara ya binadamu

    Umoja wa Mataifa(UN) umeripoti kuwa ukosefu wa elimu huwafanya watu wengi waingie katika utumwa unaotokana na biashara ya binadamu Wahanga wa Biashara ya binadamu wametakiwa sana ili kuonesha namna ya kukomesha biashara hiyo haramu Aidha #COVID19 imetajwa kuwa na uwezekano wa kuongeza matukio...
  4. JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

    "Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume PIA, SOMA: - CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima
  5. JamiiForums Tanzania Binadamu tunazaliwa tukiwa wazee

    Ushahidi kwamba binadamu tunazaliwa tukiwa wazee ni muonekano wa mtoto mchanga wa kuanzia siku moja mpaka siku nne. Kuanzia ngozi mpaka sura ya mtoto mchanga wa siku moja mpaka nne wengine mpaka kumi huwa ni ya kizee kabisa. Kiujumla muonekano mzima wa mtoto mchanga ni wakizee Ila kadri muda...
  6. JamiiForums Tanzania Miaka michache baadaye Sokwe wote watakuwa binadamu

    Imethibitishwa kuwa miaka zaidi ya 500 kutoka sasa sokwe wote waliopo duniani watakuwa wanadamu, mabadiliko kama proof yameshaanza kuonekana kwa baadhi ya sokwe hadi leo. Wanachojiuliza ni kwamba maisha ya binadamu wa kawaida yatakuwaje? Social services kwa sokwe wengine waliobadilika lazima...
  7. JamiiForums Tanzania Je, wamjua Binadamu anayeongoza kufanya mema na binadamu anayeongoza kufanya mabaya duniani?

    Binadamu tumeumbiwa mapungufu na kila mmoja ana yake. Ila tumezidiana kwa kiwango fulani.. Kuna mwingine anapenda kula chakula kingi...ila hapendi kuona mtu kavimbiwa. Kuna mwingine anapenda muziki mzuri ila hawapendi wanamuziki. Kuna mwingne anapenda dini sana lakini hapendi kushiriki...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini binadamu yeyote mwenye roho na matendo mema kifo humpata mapema?

    Ulishafanya utafiti kwako na kama bado nashauri ufanye. Ipo hivi watu wenye roho na matendo mema huwa ni vigumu mno kuzidi umri wa 50+. Wengi wao hufariki chini ya umri huo na kawaida vifo vyao huacha simanzi kuu! "...baba wa watu alikuwa mwema ama kijana wa watu ndiyo kwanza ameanza maisha...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya leo ni wito wa ustaarabu kwa Rais Samia, rais Samia Suluhu, sio malaika, ni binadamu kama binaadamu wengine wote na anaweza kukosea kama binaadamu wengine wote, kwa kufanya makosa...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kuzikwa kaburini, binadamu huchukua muda gani kuanza kuoza?

    Ndugu zangu, hongereni kwa weekend. Binadamu akishazikwa kaburini, inamchukua muda kuanza kuoza na hatimae kupoteza sura yake ya awali? Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  11. L

    JamiiForums Tanzania “Tukio la kutoroka kwa tembo” la China latoa njia ya kufikiria jinsi ya kulinda wanyamapori na kuondoa mizozo na binadamu

    Nchi nyingi hasa za Afrika zimebarikiwa kuwa na hazina kubwa ya wanyama pori ambao wanachukuliwa kama kivutio cha watalii lakini pia wanatumika kama chanzo cha kuiingizia nchi mapato yanayotokana na utalii, na pesa zinazopatikana zinatumika kuleta maendeleo ya nchi. Mwezi Mei mwaka jana...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ngolo Kante: Mimi ni binadamu kama binadamu wengine Sina uspecial wowote msinikuze

    Ngolo Kante ameamua kuwajibu watu baada ya kuwa wakisema yeye ni humble kuliko watu wote namnukuu "Ni kweli kuna muda mwingine huwa kuna hii picha kwamba mimi ni mtu wa pekee sana na mtu mzuri sana" "Lakini mwisho wa siku mimi ni mtu wa kawaida.Mchezaji ambaye nipo na wachezaji wengine.Hakuna...
  13. JamiiForums Tanzania Fahamu mambo haya

    1) Ukikaaa kwa dakika 15 bila kutikisika lazima ulale.. 2) Mara nyingi mtu anapolia hukumbuka matukio ya nyuma ndio yanamuongezea kilio. 3) Kwa sekunde 3 baada ya kuamka kutoka usingizini binadamu huwa hakumbuki jambo lolote. 4) Watu wenye aibu ndio watu wenye akili zaidi na waaminifu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wakati China ikijitahidi kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja, Marekani inadhuru maslahi ya nchi nyingine ili kujiendeleza

    Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) limetoa tahariri ikisema, wakati China inapohimiza ujenzi wa jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja, Marekani inanyakua nafasi ya maendeleo ya nchi nyingine ili kujiendeleza zaidi. Hivi karibuni, Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi alihudhuria...
  15. JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Tanzania na mahakama ya haki za binadamu Afrika yaendelea kuimarika

    The Diplomat Kwa siku kadhaa kumekua na Upotoshaji katika Mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu, Suala ambalo halina ukweli wowote. Jana Mei 27, 2021 Katika muendelezo wa kuonyesha ni kwa jinsi gani masuala ya Haki za Binadamu ni kipaumbele...
  16. JamiiForums Tanzania Swali: Je, ni kweli binadamu tuna (free will) chaguzo huru kama tunavyo aminishwa?

    Free will is the capacity for agents to choose between different possible courses of action unimpeded. Free will is closely linked to the concepts of moral responsibility, praise, guilt, sin, and other judgements which apply only to actions that are freely chosen.
  17. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni Mwanachama Hai Mahakama Haki za Binadamu Afrika

    TANZANIA NI MWANACHAMA HAI WA MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA The Diplomat Kumekua na mitazamo hasi inayokosoa kauli ya Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberata Mulamula aliyoizungumza jana Mei 25, 2021 Siku ya Afrika Duniani kwa kusema "Tanzania ni mwana chama hai wa Mahakama ya Haki za...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini nchi za Afrika zinakosoa nchi za Magharibi kuhusu suala la 'Haki za Binadamu' la China?

    Hivi karibuni, watu kutoka sekta mbalimbali barani Afrika wamezikosoa nchi za magharibi kwa kutoa shutuma zisizo na msingi dhidi ya hali ya haki za binadamu nchini China. Hii ni kwa sababu China na nchi za Afrika zina historia ya mateso na maono yanayofanana katika masuala mbalimbali, ndio maana...
  19. JamiiForums Tanzania Petra Diamonds kulipa faini ya tsh. Bilioni 14.02 kwa kukiuka haki za binadamu Tanzania

    Ndugu zangu, niwape pongezi sana wale wote ambao walijitokeza kwa ujasiri na kuripoti manyanyaso waliyopitia! Ukipita kwenye migodi na makampuni mengi sana sana zaidi ya 90% kuna uvunjaji mkubwa sana wa haki za binadamu kwa kisingizio cha Wenyeji "kuvamia au kuiba" kwenye maeneo hayo. Mbaya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Hatari ya anga za juu: Kuna vyombo vingine vinavyotishia maisha ya binadamu katika anga za juu vinavyoweza kuangukia dunia wakati wowote

    Hatari ya anga za juu:Kuna vyombo vingine vinavyotishia maisha ya binadamu katika anga za juu vinavyoweza kuangukia dunia wakati wowote Ulimwengu haupo salama. Licha ya kuanguka kwa njia salama kwa roketi ya China kutoka anga za juu na kuwapa watu wengi afueni, bado kuna hatari kwani kuna zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…