bima ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bima ya afya kwa wote kuja na “kibano” cha upatikanaji wa baadhi ya huduma

    Muswada wa sheria ya bima ya afya kwa wote umesomwa bungeni kwa mara ya kwanza mwezi Septemba, 2022. Kwa mujibu wa kifungu cha 32, muswada huo umeweka zuio la upatikaji wa baadhi ya huduma muhimu kwa wananchi pasipo kuwa na bima ya afya. Inasomeka Zulo la kupata haadhi ya huduma pasipo kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote inakuja na sheria kali

    Serikali jana iliwasilisha Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote (UHI) 2022 Bungeni ukitoa masharti ya lazima kwa watu kujisajili katika mipango ya bima ili kupata huduma kadhaa za kijamii. Muswada huo pia unatambulisha Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania (Tira) kama mdhibiti mkuu aliyepewa jukumu...
  3. JamiiForums Tanzania Muswada wa Bima ya Afya kwa wote wasomwa Bungeni

    Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote umewasilishwa bungeni ambapo mwajiri wa sekta ya umma na binafsi rasmi atapaswa kumsajili mwajiriwa katika skimu ya bima ya afya ndani ya siku 30 tangu kuanza kwa mkataba wa ajira. Muswada huo uliosomwa kwa mara ya kwanza leo, Ijumaa Septemba 23,2022...
  4. JamiiForums Tanzania Watumishi wa JWTZ wakatiwe Bima ya Afya

    Andiko hili limechochewa na habari ya kujinyonga kwa mwanajeshi William Chacha Giriago huko Dodoma, na malalamiko ya wastaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania ambayo yako kila siku, kuhusu wao kukosa Bima ya Afya. JWTZ linajinyumbulisha kuwa lina hospitali pande zote, kuweza kutoa huduma kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mkakati wa kuwa na Bima ya Afya kwa wote na kuikuza NHIF

    Mheshimiwa Rais, naomba upokee maoni haya kuhusu NHIF. Ili kufikia lengo la afya kwa wote na pia kuwa na NHIF stable, ni vema kila raia wa Tanzania mwenye NIDA hadi watoto wasajiliwe na kuwa wanachama wa NHIF. Michango ya NHIF iwekwe kwenye mfumo wa TOZO kwenye bidhaa kama umeme, maji na mizigo...
  6. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kufilisika haiwezi kutatuliwa kwa mipango ya Ummy Mwalimu

    Wanabodi, Katika kipindi hiki ambacho Shirika la Bima ya Afya Tanzania (NHIF) linafilisika, ni vyema kufahamu jitihada zinazo chukuliwa na serikali kuhakikisha kwamba watanzania walio jiunga na mfuko huu wanaelendea kupata huduma. Kwanza kabisa tujaribu kuangalia athari ya shirika hili...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu ushindani wafanyakazi wajiunge na bima ya afya wanayoitaka

    Hadi sasa kuna kampuni nyingi za bima ya afya nchini ikiwemo NHIF. Cha ajabu, katika mazingira sawa ya kibiashara licha ya NHIF kuwa na upendeleo wa kuwa na wanachama wengi kuliko kampuni zote za bima nchini kwa kujaziwa wanachama lukuki kutoka serikalini na taasisi za serikali, ni NHIF pekee...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Magonjwa yasiyoambukiza yanauelemea Mfuko wa Bima ya Afya

    Waziri amesema wagonjwa wa saratani wanaopata tiba za mionzi kwa Bima ya NHIF mwaka 2015/16 zilikuwa Tsh. Bilioni 9 na hadi kufikia mwaka 2021/22 gharama za malipo zimefikia Tsh. Bilioni 22.5, ongezeko ambalo haliendani na idadi ya wanachama wa NHIF. Ameongeza kuwa huduma za matibabu ya figo...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wabunge wanyimwa huduma za "Masaji" na Urembo kwenye Bima ya Afya

    Wabunge walitaka huduma za Urembo na "Massage" zijumuishwe kwenye Vifurushi vya Bima za Matibabu yao ambapo Tume ya Huduma za Bunge (PSC) imekataa na kuwataka kutumia fedha zao wenyewe kupata huduma hizo. Hata hivyo, Wabunge hao watapata Bima ya Tsh. Milioni 206 ikijumuisha na familia zao...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuelekea bima ya afya kwa wote, serikali iweke tozo maalum kwenye sigara, pombe, soda ili mama na mtoto watibiwe bure

    Haina shaka kwamba pombe na sigara, soda na vinywaji aina yake, na pengine sekta ya madini, ndio visababishi vikubwa vya maradhi. Visababisha maradhi basi viwe na mchango katika tiba. Serikali ikae ifanye tathmini ili kujua endapo itaongezwa shilingi 100 kwa kila kinywaji, itapatikana shilingi...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Bima ya Afya (NHIF) inakaribia kufa

    Wakati mikakati ya kuboresha huduma za afya ikiendelea kuwekwa, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amebainisha dalili za kufa kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kutokana na kulemewa na madeni ya matibabu ya wanachama wake. Akifungua mkutano wa siku tano wa kikanda wa kuwajengea uwezo kuhusu...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Bima ya Afya ya Jamii

    BIMA YA AFYA YA JAMII 🇹🇿 UTANGULIZI; Salamu Watanzania wote. Ni muhimu kwa nchi hasa zinazoendelea, kuwa na dira/sera ambayo ndio muongozo wa utoaji na usimamizi wa huduma na maendeleoya nchi husika. Ili nchi yoyote isonge mbele kiuchumi, inahitaji jamii yenye Afya Bora ili...
  13. JamiiForums Tanzania NHIF yasitisha mabadiliko yaliyokuwa yaanze 2/8/2022

    Baada ya wananchi kupigia kelele mabadiliko ya mfuko wa bima ya afya, hatimaye NHIF wamesitisha mabadiliko hayo. Hii ndio nguvu ya mitandao ya kijamii ============== Pamoja na hivyo kumetolewa taarifa mbili ambazo ni wazi zina onesha wahusika hawakujipanga, taarifa ya kwanza imetolewa na NHIF...
  14. JamiiForums Tanzania Kupunguza Fraud mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Uhudumie hospitali za umma tu

    Ieleweke kuwa kuna mlipuko wa uanzishwaji wa Hospitali binafsi almaarufu Polyclinics na Specislized clinics hapa nchini ambazo kwa maoni yangu nyingi zimejibatiza majina tu. Nyingi ya clinic hizi zinategemea malipo kutoka mfuko wa bima ya afya (NHIF) na kiukweli bila NHIF nyingi zitakufa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa watu wote kwa Nchi yetu bado sana, Tuanze na Wajawazito

    Habari wanaJF, Kwanza kabisa tukubaliane kwa Nchi yetu imekuwa shida sana kupata Takwimu za afya ,ni ngumu kujua watu wangapi wanazaliwa kwa siku , wanaofariki kwa siku , ni wastani wa watu wangapi wanapata ujauzito kwa Siku . Hivyo kwa Uzoefu wangu nitakuja na Takwimu ambazo zitareflect kidogo...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt Nasra: Asilimia 85 ya Watanzania Hawana Bima ya Afya

    OFISI YA WASEMAJI WA KISEKTA. HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA AFYA DR. NASRA OMAR – ACT WAZALENDO KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI NA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23. Utangulizi: Leo tarehe 16 Mei 2022, Waziri wa Afya Mh Ummy Ali Mwalimu (Mb.), amewasilisha Bungeni...
  17. JamiiForums Tanzania Anayejua jinsi ya kulipia bima ya afya NHIF kupitia huduma ya TIGOPESA

    Habarini jamani, Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kampuni bora ya Bima ya Afya

    Heshima kwenu wadau wa jukwaa. Ndugu yangu ana ugonjwa inasemekana wa neva. Ni kampun gan bora kwa bima ili kukabiliana na tiba bora nchini? Maana hii kupimwa pimwa tu bila tiba inatupiga sana pesa! Sio mtumishi.
  19. JamiiForums Tanzania Bima ya afya kwa wote isigeuzwe 'tozo' ya kuonana na daktari

    Moja ya maamuzi muhimu ambayo yatafanywa na Serikali na kimsingi yanachochea tabasamu zaidi kwa mamilioni ya watanzania ni hili la BIMA KWA WOTE ama 'Bima kwa kila Mtanzania.' Nimefarijika sana kuona hata waziri mwenye dhamana ya Wizara ya Afya Nchini, Dkt. Gwajima kuthibitisha kwamba zaidi 85%...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Sera ya Bima ya Afya kwa Wote ni ya CCM au CHADEMA?

    Kuna baadhi ya makamanda wameniambia sera ya Bima ya Afya kwa Wote ni ya Chadema na kwamba Hayati Magufuli aliikopa kutoka Ufipa akaitia kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM. Mimi naamini hii ni sera ya CCM na imekuwepo tangia mzee Wassira akiwa ndiye mratibu wa ilani ya chama. Wanaojua zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…